Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DKT. TITUS KAMANI ATEMBELEA MAONESHO YA KIMATAIFA YA KILIMO NCHINI UFARANSA

Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi,Mhe. Dkt. Titus Kamani akitembelea mabanda ya maonesho ya kimataifa ya kilimo yanayofanyika katika Jiji la Paris nchini Ufaransa,na kujionea aina ya mifugo inayoshindanishwa. Hapa anaangalia ng'ombe wa nyama aina ya Charolaise.Mhe. Dkt. Kamani akiangalia kondoo wa sufi waliopo kwenye mabanda ya maonesho.Umati wa watu kutoka mataifa mbalimbali duniani waliohudhuria maonesho hayo. Takriban watu milioni moja wametembelea maonesho hayo kwa mwaka huu 2015...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

TANZANIA YASHIRIKI KWA MARA KWANZA MAONESHO YA KIMATAIFA YA BIDHAA ZA KILIMO YA PARIS 2020, UFARANSA


Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa, Mhe. Samwel Shelukindo (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na Ujumbe wa Tanzania unaoshiriki kwa mara ya kwanza katika Maonesho ya Kimataifa ya Bidhaa za Kilimo ya Paris yanayofanyika mjini humo kuanzia tarehe 22 Februari 2020 hadi tarehe 1 Machi 2020.
Wageni mbalimbali wakipata maelezo kuhusu fursa za bidhaa za kilimo zinazopatikana Tanzania walipotembelea Banda la la Tanzania wakati wa Maonesho ya Kimataifa ya Bidhaa za Kilimo yanayofanyika jijini...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI WA KILIMO, CHAKULA NA USHIRIKA ATEMBELEA BANDA LA JESHI LA MAGEREZA MAONESHO YA 38 YA BIASHARA YA KIMATAIFA JIJINI DAR

Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Mhe. Christopher Chiza(Shati jeupe) akiangalia zao la Mahindi yaliyolimwa katika Bustani Maalum ya Shamba Darasa katika Banda la Jeshi la Magereza alipotembelea Banda hilo kujionea Kilimo cha Kisasa na Biashara Maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa, Jijini Dar es Salaam(wa kwanza kulia) ni Mtaalam wa Kilimo wa Jeshi la Magereza, Mrakibu wa Magereza, Uswege Mwakahesya. Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Mhe. Christopher Chiza akiangalia zao la...

 

10 years ago

Michuzi

ZIARA YA MHE.DKT. TITUS KAMANI (MB) KATIKA WILAYA ZA KITETO NA KILINDI

Mhe. Dkt. Titus Kamani (Mb) amefanya ziara katika Wilaya za Kiteto na Kilindi kukagua ujenzi wa malambo kwa ajili ya maji ya mifugo na binadamu. Malambo hayo yamegharamiwa na Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi katika bajeti ya mwaka 2014/15. Lambo la Olpopong lililopo Wilaya ya Kiteto limegharimu Tshs.584 milioni. Aidha lambo la Kwamaliga lililopo Wilaya ya Kilindi litagharimu Tshs.1.25 bilioni. Mifugo zaidi ya 60,000 kutoka katika Vijiji vya Kimana, Ngabolona Ndaleta inatarajiwa...

 

10 years ago

GPL

WAZIRI DKT TITUS KAMANI ATEKETEZA ZANA HARAMU ZA UVUVI KATIKA ZIARA YAKE MKOANI RUKWA

Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dkt. Titus Mlengeya Kamani (wa kwanza kushoto) akiongoza zoezi la kuteketeza zana haramu za uvuvi huko Kasanga, Wilaya ya Kalombo mkoani Rukwa juzi wakati wa ziara yake. Zana haramu za uvuvi zikiteketea.…

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI MHE. DKT. TITUS MLENGEYA KAMANI (Mb) AZINDUA MRADI WA UFUGAJI WA SAMAKI NDANI YA ZIWA VICTORIA

Mgeni Rasmi Waziri wa Maendeleao ya Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt. Titus Mlengeya Kamani (MB) akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Mradi wa Ufugaji wa Samaki ndani ya Ziwa Viktoria Kiteule cha Bulamba kwa kutumia teknolojia mpya ya vizimba (Cages). Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Tarime Mhe.John Henjewele, Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Mara. Kulia ni Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Raphael M. Muhuga.Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Mhe. Dkt. Titus Mlengeya Kamani akipandikiza...

 

10 years ago

Michuzi

MH. KAMANI AKAMILISHA ZIARA NCHINI UFARANSA KWA KUTEMBELEA BANDARI YA UVUVI

Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dkt. Titus Kamani (Mb) alipotembelea Bandari ya Uvuvi ya Boulogne (Port de Boulogne Sur Mer) ambayo ni ya tatu kwa ukubwa Barani Ulaya. Bandari ina eneo la Ha.150 ambalo lina huduma zote muhimu kwa sekta ya uvuvi ikiwa ni pamoja na mnada wa samaki, viwanda vya kuchakata samaki, maabara ya kuhakiki ubora wa mazao ya samaki, Taasisi ya utafiti na mafunzo kwa wavuvi na wasindikaji wa samaki.
Mhe. Dkt. Kamani akiwa katika mnada wa samaki na kupatiwa maelezo...

 

11 years ago

Mwananchi

SIASA: Wadaiwa kutaka ‘kumvuruga’ Dk Titus Kamani

>Baadhi ya viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na jumuiya zake wilayani hapa, wanadaiwa kuunda kambi rasmi ya kuvuruga utekelezaji wa Ilani ya chama hicho unaofanywa na Mbunge wa Jimbo la Busega, Dk Titus Kamani.

 

11 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete atembelea banda la TTCL maonesho ya kimataifa ya biashara

d12

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa kwenye banda la TTCL kwenye maonesho ya kimataifa ya biashara maarufu kama SabaSaba alipotembelea tena  jana Julai 6, 2014 baada ya ziara yake ya juzi kutokamilika kutokana na muda.

d11

Baadhi ya wafanyakazi na viongozi wakipiga picha ya pamoja na Rais Jakaya Kikwete nje ya Banda la TTCL kwenye maonesho ya Kimataifa ya Biashara maarufu kama SabaSaba jana Juai 6, 2014.

IMG_0227

Rais Jakaya Kikwete akipata maelezo juu ya utendaji kazi wa shughuli za mkongo wa taifa wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani