TUUNGANE KUTOKOMEZA UKATILI WANAOFANYIWA NDUGU ZETU ALBINO
Elnest Mangu. Hakika Mungu ni wa ajabu kwa sababu anatupenda wote bila ubaguzi, hivyo hatunabudi kumhimidi milele. Baada ya kusema hayo niseme wazi kwamba leo napenda nizungumzie suala la kuhuzunisha la mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi, wengine huwaita Maalbino. Hili suala linasikitisha sana licha ya ukweli kwamba limekuwa likipigiwa kelele kila kukicha lakini hatua zinazochukuliwa hazina uzito ukilinganisha na tatizo...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo10 years ago
Michuzi11 Mar
11 years ago
Mwananchi08 Mar
‘Tuungane kupinga ukatili wa kijinsia’
11 years ago
Habarileo23 Jan
Mradi wa kutokomeza ukatili kwa watoto wazinduliwa
SERIKALI imezindua mradi wa kusimamia matukio ya ukatili kwa watoto nchini, lengo likiwa ni kuhakikisha haki inapatikana.
5 years ago
MichuziWIZARA YABARIKI MSAFARA WA KUTOKOMEZA UKATILI WA KIJINSIA
Kaimu Katibu Mkuu Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii kutoka Wizara Bw. Leornard Mchau akizungumza na wawakilishi wa msafara wa wa kitaifa wa wa kijinsia wenye lengo la kutokomeza ukatili wa kijinsia leo jijini Dodoma utakoanzia Mpanda mkoano Latavi tarehe 24/02/2020.Msanii wa Muziki wa kizazi kipya Nurdin Bilal Shetta akielezea namana...
9 years ago
Mzalendo Zanzibar24 Oct
Wasia wa Ndugu zetu wa (Uamsho) waloko Ndani .
Mwana Familia Kawaida kila week hupewa siku moja ya kuweza kuonana na mdogo wetu ambae yuko ndani kwa tuhuma za Kesi ya Ugaidi ( Uamsho) mara nyingi tukionana nae ilikua tunaweza kupata muda angalau wa takika […]
The post Wasia wa Ndugu zetu wa (Uamsho) waloko Ndani . appeared first on Mzalendo.net.
10 years ago
GPLKAJALA KUTOKOMEZA MAUAJI YA ALBINO
10 years ago
Vijimambo24 Nov
TAMBUENI JUHUDI ZETU KUZUIA UKATILI DHIDI YA WALEMAVU WA NGOZI-TANZANIA
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, imesisitiza haja na umuhimu wa Jumuiya ya Kimataifa ya kutambua mchango unaofanywa na serikali wa kukabiliana na vitendo vya kikatili dhidi ya wananchi wake wenye matatizo ya ulemavu wa ngozi ( albino)Wito huo wa Tanzania umetolewa mapema wiki hii ( Jumanne) wakati Wajumbe wa Kamati ya Tatu ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa walipopitisha kwa kupiga kura, Azimio linalotaka Juni 13 ya kila mwaka iwe ni...