Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WIZARA YABARIKI MSAFARA WA KUTOKOMEZA UKATILI WA KIJINSIA



Kaimu Katibu Mkuu Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii kutoka Wizara Bw. Leornard Mchau akizungumza na wawakilishi wa msafara wa wa kitaifa wa wa kijinsia wenye lengo la kutokomeza ukatili wa kijinsia leo jijini Dodoma utakoanzia Mpanda mkoano Latavi tarehe 24/02/2020.Msanii wa  Muziki wa kizazi kipya Nurdin Bilal Shetta akielezea namana...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Msafara wa kijinsia unaolenga kutokomeza vitendo vya kikatili kuelekea Siku ya Wanawake Duniani wazinduliwa rasmi mkoani Katavi.

Na Mwandishi Wetu Katavi

Msafara wa kijinsia unaolenga kutokomeza vitendo vya kikatili kuelekea Siku ya Wanawake Duniani umezinduliwa rasmi mkoani Katavi.

Akizungumza wakati akizindua Msafara huo Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mhe. Juma Zuberi Homera amesema kuwa vitendo vya kikatili vimekuwa vikishamiri kila siku katika jamii zetu hivyo vinatakiwa kupatiwa mbinu ya kupambana navyo.

Ameongeza kuwa Serikali haiwezi kuvumilia kuona wanawake na watoto wanafanyiwa vitendo vya kikatili hivyo itahakikisha...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wizara kuharakisha kesi ukatili wa kijinsia

WIZARA ya Katiba na Sheria, imesema inaandaa utaratibu utakaowezesha uharakishwaji wa upelelezi na usikilizaji wa kesi za ukatili wa kijinsia. Taarifa hiyo ilitolewa bungeni jana na Naibu Waziri wa wizara...

 

5 years ago

Michuzi

MSAFARA WA KIJINSIA WAMPA SHAVU KIJANA MJASIRIAMALI

  Mwakilishi wa Katibu Mkuu Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii Bi. Imelda Kamugisha akizungumza na wananchi wa mkoa wa Shinyanga wakati wa mapokezi ya msafara wa kijinsia ulifika mkoani humo kwa lengo la kutoa elimu ya kupambana na vitendo vya ukatili wa kijinsia. Wasanii Shetta na G nako wakitumbuiza katika Eneo la Nguzo nane Mkoani Shinyanga wakati Msafara wa kijinsia unaolenga kutoa elimu ya mapambano dhidi ya vitendo vya kikatili uliposimama mkoani hapo. Msafara wa Kijinsia ukiongozwa na...

 

11 years ago

Habarileo

Mradi wa kutokomeza ukatili kwa watoto wazinduliwa

SERIKALI imezindua mradi wa kusimamia matukio ya ukatili kwa watoto nchini, lengo likiwa ni kuhakikisha haki inapatikana.

 

10 years ago

GPL

TUUNGANE KUTOKOMEZA UKATILI WANAOFANYIWA NDUGU ZETU ALBINO

Elnest Mangu. Hakika Mungu ni wa ajabu kwa sababu anatupenda wote bila ubaguzi, hivyo hatunabudi kumhimidi milele. Baada ya kusema hayo niseme wazi kwamba leo napenda nizungumzie suala la kuhuzunisha la mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi, wengine huwaita Maalbino. Hili suala linasikitisha sana licha ya ukweli kwamba limekuwa likipigiwa kelele kila kukicha lakini hatua zinazochukuliwa hazina uzito ukilinganisha na tatizo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ukatili wa kijinsia ukomeshwe

MASHIRIKA matano yanayojishughulisha na utetezi wa haki za kijinsia kupitia mradi wao wa GEWE II, ambao ni mpango wa kutokomeza ukatili na unyanyasaji wa kijinsia dhidi ya wanawake na watoto...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ukatili wa kijinsia jeshini ukomeshwe

Waziri wa ulinzi wa Marekani Chuck Hagel amesema wizara yake imepiga hatua katika kukomesha ukatili wa kijinsia jeshini.

 

10 years ago

Mwananchi

Mwanamke anayepambana na ukatili wa kijinsia

Ukiumwa na nyoka ukiona unyasi unashtuka ,ndivyo ilivyokuwa kwa Rhobi Pristiana Samwel (42)mratibu wa nyumba salama iliyo chini ya Kanisa la Anglikana Mugumu Serengeti Dayosisi ya Mara.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ukatili wa kijinsia unakandamiza wanawake

UKATILI wa kijinsia ni msemo mpana sana. Unagusa binadamu wote wanawake na wanaume. Lakini ni ukweli usiopingika kwamba ukatili wa kijinsia unawaathiri kwa asilimia kubwa wanawake na wasichana kuliko ilivyo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani