Wizara kuharakisha kesi ukatili wa kijinsia
WIZARA ya Katiba na Sheria, imesema inaandaa utaratibu utakaowezesha uharakishwaji wa upelelezi na usikilizaji wa kesi za ukatili wa kijinsia. Taarifa hiyo ilitolewa bungeni jana na Naibu Waziri wa wizara...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi
WIZARA YABARIKI MSAFARA WA KUTOKOMEZA UKATILI WA KIJINSIA


Kaimu Katibu Mkuu Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii kutoka Wizara Bw. Leornard Mchau akizungumza na wawakilishi wa msafara wa wa kitaifa wa wa kijinsia wenye lengo la kutokomeza ukatili wa kijinsia leo jijini Dodoma utakoanzia Mpanda mkoano Latavi tarehe 24/02/2020.

11 years ago
Tanzania Daima18 Feb
Ukatili wa kijinsia ukomeshwe
MASHIRIKA matano yanayojishughulisha na utetezi wa haki za kijinsia kupitia mradi wao wa GEWE II, ambao ni mpango wa kutokomeza ukatili na unyanyasaji wa kijinsia dhidi ya wanawake na watoto...
11 years ago
Tanzania Daima24 May
Ukatili wa kijinsia unakandamiza wanawake
UKATILI wa kijinsia ni msemo mpana sana. Unagusa binadamu wote wanawake na wanaume. Lakini ni ukweli usiopingika kwamba ukatili wa kijinsia unawaathiri kwa asilimia kubwa wanawake na wasichana kuliko ilivyo...
11 years ago
Mwananchi08 Mar
‘Tuungane kupinga ukatili wa kijinsia’
10 years ago
Mwananchi01 Feb
Mwanamke anayepambana na ukatili wa kijinsia
10 years ago
BBCSwahili05 Dec
Ukatili wa kijinsia jeshini ukomeshwe
11 years ago
Habarileo20 Feb
Ukatili wa kijinsia wachochea Ukimwi
IMEELEZWA kuwa ukatili wa kijinsia ni mojawapo ya njia kuu inayoeneza Ukimwi na ongezeko lolote la vitendo hivyo linachochea pia ongezeko la maambukizo. Kauli hiyo imetolewa na Meneja mradi wa kupambana na ukatili wa kijinsia ili kupunguza maambukizi ya virusi vya Ukimwi, Muhammad Hassan kutoka Shirika la WOWAP.
11 years ago
Tanzania Daima12 Dec
Fahamu aina za ukatili wa kijinsia
UKATILI wa kijinsia ni jambo kubwa kwenye ajenda za haki za binadamu kimataifa, na unaweza kuwapata wanaume, wanawake na watoo ambao ndio waathirika wakubwa. Hali hii inatokana na mifumo mbalimbali...
11 years ago
Tanzania Daima12 Apr
Vita ukatili wa kijinsia Zanzibar kitendawili
NINI kifanyike kutokomeza ukatili wa kijinsia unaoendelea kutesa Tanzania bara na Visiwani kwa ujumla? Hili ni suala ambalo halijapata jibu kwani wanaharakati mbalimbali wanafanya makongamano, mikutano na tafiti ili kuweza...