Ukatili wa kijinsia ukomeshwe
MASHIRIKA matano yanayojishughulisha na utetezi wa haki za kijinsia kupitia mradi wao wa GEWE II, ambao ni mpango wa kutokomeza ukatili na unyanyasaji wa kijinsia dhidi ya wanawake na watoto...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili05 Dec
Ukatili wa kijinsia jeshini ukomeshwe
11 years ago
Tanzania Daima15 Mar
Kivulini: Ukatili kwa wanawake ukomeshwe
SHIRIKA la Kutetea Haki za Wanawake na Wasichana la Kivulini, limewataka Watanzania kushirikiana kupiga vita ukatili wa kijinsia dhidi ya wanawake. Wito huo ulitolewa hivi karibuni na Mkurugenzi wa Shirika...
11 years ago
Tanzania Daima12 Dec
Fahamu aina za ukatili wa kijinsia
UKATILI wa kijinsia ni jambo kubwa kwenye ajenda za haki za binadamu kimataifa, na unaweza kuwapata wanaume, wanawake na watoo ambao ndio waathirika wakubwa. Hali hii inatokana na mifumo mbalimbali...
10 years ago
Mwananchi01 Feb
Mwanamke anayepambana na ukatili wa kijinsia
11 years ago
Mwananchi08 Mar
‘Tuungane kupinga ukatili wa kijinsia’
11 years ago
Tanzania Daima24 May
Ukatili wa kijinsia unakandamiza wanawake
UKATILI wa kijinsia ni msemo mpana sana. Unagusa binadamu wote wanawake na wanaume. Lakini ni ukweli usiopingika kwamba ukatili wa kijinsia unawaathiri kwa asilimia kubwa wanawake na wasichana kuliko ilivyo...
11 years ago
Habarileo20 Feb
Ukatili wa kijinsia wachochea Ukimwi
IMEELEZWA kuwa ukatili wa kijinsia ni mojawapo ya njia kuu inayoeneza Ukimwi na ongezeko lolote la vitendo hivyo linachochea pia ongezeko la maambukizo. Kauli hiyo imetolewa na Meneja mradi wa kupambana na ukatili wa kijinsia ili kupunguza maambukizi ya virusi vya Ukimwi, Muhammad Hassan kutoka Shirika la WOWAP.
10 years ago
Mwananchi24 Nov
Kampeni kupinga ukatili wa kijinsia yaiva
11 years ago
Tanzania Daima12 Oct
Ukatili wa kijinsia kwa wanawake wanasiasa
TUNAPOZUNGUMZIA ukatili wa kijinsia, tunazungumzia somo pana sana. Hasa wakati huu tunapoandika Katiba yetu Mpya, ni lazima kuliangalia somo hili kwa umakini mkubwa. Jamii nzima inahusika na kuguswa na ukatili...