Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Msafara wa kijinsia unaolenga kutokomeza vitendo vya kikatili kuelekea Siku ya Wanawake Duniani wazinduliwa rasmi mkoani Katavi.

Na Mwandishi Wetu Katavi

Msafara wa kijinsia unaolenga kutokomeza vitendo vya kikatili kuelekea Siku ya Wanawake Duniani umezinduliwa rasmi mkoani Katavi.

Akizungumza wakati akizindua Msafara huo Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mhe. Juma Zuberi Homera amesema kuwa vitendo vya kikatili vimekuwa vikishamiri kila siku katika jamii zetu hivyo vinatakiwa kupatiwa mbinu ya kupambana navyo.

Ameongeza kuwa Serikali haiwezi kuvumilia kuona wanawake na watoto wanafanyiwa vitendo vya kikatili hivyo itahakikisha...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Vitendo vya kikatili adha inayowakumba wanawake

UKIZUNGUMZIA ukatili wa kijinsia, akili za watu wengi zinajikita katika unyanyasaji wa wanawake. Hali hiyo inatokana na ukweli kuwa ukatili wa kijinsia kwa kiwango kikubwa huwakumba wanawake kuliko wanaume. Lakini...

 

5 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS MGENI RASMI SIKU YA WANAWAKE DUNIANI KITAIFA MKOANI SIMIYU

 Na Stella Kalinga, Simiyu RS
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani ambayo Kitaifa yatafanyika katika Uwanja wa Halmashauri ya Mji wa Bariadi Mkoani Simiyu.

Akizungumza na Waandishi wa Habari ofisini kwake Mjini Bariadi Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka amesema Maadhimisho haya yanaongozwa na kauli Mbiu "Kizazi cha Usawa kwa Maendeleo ya Tanzania ya Sasa na ya ...

 

10 years ago

Michuzi

MAMA SALMA KIKWETE MGENI RASMI KILELE CHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI MKOANI DAR

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipokewa na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Ndugu Raymond Mushi wakati akiwasili kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja katika kilele cha maadhimisho ya siku ya wanawake duniani mkoani Dar esb Salaam terehe 8.3.2015.Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na mamia ya akina mama kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja wakati wa kilele cha maadhimisho ya siku ya wanawake duniani mkoani Dar es Salaam tarehe 8.3.2015.Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipokea zawadi...

 

5 years ago

Michuzi

WIZARA YABARIKI MSAFARA WA KUTOKOMEZA UKATILI WA KIJINSIA



Kaimu Katibu Mkuu Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii kutoka Wizara Bw. Leornard Mchau akizungumza na wawakilishi wa msafara wa wa kitaifa wa wa kijinsia wenye lengo la kutokomeza ukatili wa kijinsia leo jijini Dodoma utakoanzia Mpanda mkoano Latavi tarehe 24/02/2020.Msanii wa  Muziki wa kizazi kipya Nurdin Bilal Shetta akielezea namana...

 

5 years ago

CCM Blog

WANANCHI WATAKIWA KUUNGA MKONO SERIKALI DHIDI YA VITENDO VYA KIKATILI HASA KWA WANAWAKE NA WTOTO

  Na Mwandishi Wetu TaboraMkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri amewataka wananchi wa Mkoa huo kuunga mkono juhudi za Serikali katika mapambano dhidi ya vitendo vya kikatili hasa kwa wanawake na watoto.
Mkuu wa mkoa huyo ameyasema hayo jana mkoani humo wakati akiupokea Msafara wa Kijinsia kutokomeza ukatili unaolenga kutoa elimu kwa jamii kuhusu madhara ya kufanya vitendo vya ukatili wa kijinsia kuelekea Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yatakayofanyika Kitaifa Simiyu Machi 08,...

 

5 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB YAADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI 2020 KWA KUHAMASISHA USAWA WA KIJINSIA KATIKA JAMII

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela akifungua sherehe za maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani kwa wafanyakazi wa Benki ya CRDB.
Benki ya CRDB imefanya hafla ya kusherehekea ‘Siku ya Wanawake Dunia’ ikilenga kuhamasisha usawa wa kijinsia katika jamii. Akizungumza katika hafla hiyo, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela alisema Benki ya CRDB inachukulia kwa umuhimu suala la kumuwezesha mwanamke na ndiomana
Benki hiyo imetoa kipaumbele cha ajira kwa...

 

5 years ago

Michuzi

JAMII YATAKIWA KUPINGA UKATILI WA AINA ZOTE KUELEKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI


Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Wizara ya Afya- Idara Kuu ya maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bw. Prudence Constantine na kushoto ni Afisa Maendeleo yaJamii Mkuu Bw. Erasto Ching’oro (kulia) akiongea na waandishi wa Habari kuhusu Maadhimisho ya Siku ya wanawake Duniani kwa mwaka 2020 jijini Dar es salaam leo hii.
Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Wizara ya Afya- Idara Kuu ya maendeleoya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bw. Prudence Consntatine na...

 

9 years ago

Michuzi

WADAU WA AFYA MKOANI MBEYA WAKUTANA NA KUJADILIANA KUELEKEA SIKU YA MAADHIMISHO YA UKIMWI DUNIANI

Afisa Maendeleo ya jamii Mkoa wa Mbeya Ndugu Stellah Kategile akiwasilisha maada kwa wadau wa Sekta ya Afya Mkoani Mbeya katika kikao cha kujadili juu ya kuelekea katika siku ya maadhimisho ya Ukimwi Duniani Tarehe 1 Desemba mwaka huu.Mrakibu wa Polisi Mkuu  dawati la jinsi na watoto Mkoa wa mbeya Ndugu Debora Mrema akielezea masuala mbaliimbali  yanayolikumba Dawati hilo katika kupambana na ukatili wa kijinsi Mkoani humo huku akisisitiza juu ya wadau kujitokeza na kutoa michango yao ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani