WANANCHI WATAKIWA KUUNGA MKONO SERIKALI DHIDI YA VITENDO VYA KIKATILI HASA KWA WANAWAKE NA WTOTO
Na Mwandishi Wetu TaboraMkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri amewataka wananchi wa Mkoa huo kuunga mkono juhudi za Serikali katika mapambano dhidi ya vitendo vya kikatili hasa kwa wanawake na watoto.
Mkuu wa mkoa huyo ameyasema hayo jana mkoani humo wakati akiupokea Msafara wa Kijinsia kutokomeza ukatili unaolenga kutoa elimu kwa jamii kuhusu madhara ya kufanya vitendo vya ukatili wa kijinsia kuelekea Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yatakayofanyika Kitaifa Simiyu Machi 08,...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziKAMPUNI YA GGML YATOA SHILINGI BILIONI 1.6 KUUNGA MKONO JUHUDI ZA SERIKALI MAPAMBANO DHIDI YA VIRUSI VYA CORONA
KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imetoa Shilingi bilioni 1.6 kuunga mkono juhudi za Serikali katika kudhibiti maambukizi ya Virusi vya Corona ambayo hadi sasa yamesambaa katika nchi 210 duniani Tanzania ikiwemo.
Pia GGML imezindua mikakati...
11 years ago
Tanzania Daima01 Mar
Vitendo vya kikatili adha inayowakumba wanawake
UKIZUNGUMZIA ukatili wa kijinsia, akili za watu wengi zinajikita katika unyanyasaji wa wanawake. Hali hiyo inatokana na ukweli kuwa ukatili wa kijinsia kwa kiwango kikubwa huwakumba wanawake kuliko wanaume. Lakini...
5 years ago
MichuziMsafara wa kijinsia unaolenga kutokomeza vitendo vya kikatili kuelekea Siku ya Wanawake Duniani wazinduliwa rasmi mkoani Katavi.
Msafara wa kijinsia unaolenga kutokomeza vitendo vya kikatili kuelekea Siku ya Wanawake Duniani umezinduliwa rasmi mkoani Katavi.
Akizungumza wakati akizindua Msafara huo Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mhe. Juma Zuberi Homera amesema kuwa vitendo vya kikatili vimekuwa vikishamiri kila siku katika jamii zetu hivyo vinatakiwa kupatiwa mbinu ya kupambana navyo.
Ameongeza kuwa Serikali haiwezi kuvumilia kuona wanawake na watoto wanafanyiwa vitendo vya kikatili hivyo itahakikisha...
9 years ago
Habarileo04 Sep
‘Ngoma huzidisha vitendo vya kikatili kwa watoto’
KAMATI ya Ulinzi wa Mtoto ngazi ya Kijiji cha Manerumango Kaskazini mkoani Pwani imekiri kuwa kipindi cha ngoma ndio wakati ambao vitendo vya ukatili kwa watoto hutokea hasa kupata ujauzito na wengine kulawitiwa.
5 years ago
MichuziWANANCHI WATAKIWA KUIUNGA MKONO SERIKALI KWA KUBORESHA HUDUMA ZA MATIBABU YA KIBINGWA HAPA NCHINI
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Godwin Mollel akiwajulia hali wagonjwa wanaotibiwa katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakati wa ziara yake ya kikazi aliyofanya katika Taasisi hiyo leo jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuangalia huduma za matibu ya moyo zinazotolewa.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Godwin Mollel akimsikiliza Msimamizi wa wodi ya watoto Afisa Muuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)...
10 years ago
MichuziWananchi watakiwa kuuchukia uhalifu kwa vitendo
Hayo yalisemwa jana na Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi, Abdulrahman Kaniki wakati alipokuwa akifungua semina ya siku moja katika ukumbi wa Nkurumah iliyokuwa na kauli mbiu ya Kataa uhalifu iliyoandaliwa kwa pamoja kati ya Jeshi la Polisi na...
5 years ago
MichuziWATENDAJI VITENDO VYA KIKATILI HAWATAKUWA SALAMA-DAS MASWA
Mwakilishi wa Katibu Mkuu Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii Bi. Imelda Kamugisha akieleza Lengo la Msafara wa kijinsia wakati ulipopokelewa katika Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu.
Msafara wa Kijinsia wakiwa katika picha ya pamoja na uongozi wa Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu mara baada ya kuupokea Msafara wa kijinsia ulipofika...
5 years ago
MichuziDC NJOMBE AAGIZA KUKAMATWA WALIMU WAFANYAYO VITENDO VYA KIKATILI
Hayo yamebainika leo Makambako mkoani Njombe wakati msafara wa kijinsia kutokomeza ukatili ulipofika mkoani humo kwa ajili ya kutoa elimu ya kutokomeza ukatili dhidi ya wanawake na watoto.
Mhe. Ruth amesema kuwa Serikali haipingi adhabu ya viboko ila sio kutoa adhabu ya viboko vya kupitiliza na...
10 years ago
VijimamboNaungana na Wewe Kupinga Vitendo vya kikatili juu ya Albino
Leo hii naongea nanyi nikiwa Baba, Mume, Mwandishi Mwandamizi, Blogger, na mengine mengi, lakini hali yangu sasa inaanza kunikwaza.
Haya mauaji jamani, nimejiteua kuwa Balozi, nitatetea, na kusimama mbele ya wenzangu wote wenye hali kama hii, kama ni wanasiasa ama wafanyabiashara, wanataka kutuua kwa maslahi...