Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MSAFARA WA KIJINSIA WAMPA SHAVU KIJANA MJASIRIAMALI

  Mwakilishi wa Katibu Mkuu Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii Bi. Imelda Kamugisha akizungumza na wananchi wa mkoa wa Shinyanga wakati wa mapokezi ya msafara wa kijinsia ulifika mkoani humo kwa lengo la kutoa elimu ya kupambana na vitendo vya ukatili wa kijinsia. Wasanii Shetta na G nako wakitumbuiza katika Eneo la Nguzo nane Mkoani Shinyanga wakati Msafara wa kijinsia unaolenga kutoa elimu ya mapambano dhidi ya vitendo vya kikatili uliposimama mkoani hapo. Msafara wa Kijinsia ukiongozwa na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WAKONGWE WA DANSI PROFESA ABBU OMAR NA FRESH JUMBE WAMPA SHAVU ALLY CHOKI NCHINI JAPAN

Imeripotiwa na Hiroshi Takeuchi Tokyo,Japan, 
Wanamuziki wa kongwe wa muziki wadansi Abbu Omar Njenga aka Abbu Omar na Fresh Jumbe Mkuu wenye ngome yao nchini Japan,siku ya jumamosi 21 Machi 2015 walitia fora kwa kushiriki jukwaani na kumpa baraka zote mwanamuziki Ally Choki katika onyesho lililofanyika katika ukumbi wa Sonudai-Kanagawa Prefecture, Sagamihara City,Tokyo, Japan. 
Wakongwe hao waliobobea katika muziki kwa maiaka mingi Abbu Omar Njenga mpiga gitaa au mpini na mtunzi aliyewahi...

 

5 years ago

Michuzi

WIZARA YABARIKI MSAFARA WA KUTOKOMEZA UKATILI WA KIJINSIA



Kaimu Katibu Mkuu Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii kutoka Wizara Bw. Leornard Mchau akizungumza na wawakilishi wa msafara wa wa kitaifa wa wa kijinsia wenye lengo la kutokomeza ukatili wa kijinsia leo jijini Dodoma utakoanzia Mpanda mkoano Latavi tarehe 24/02/2020.Msanii wa  Muziki wa kizazi kipya Nurdin Bilal Shetta akielezea namana...

 

5 years ago

CCM Blog

UFUGAJI MBWA WAMPA KIJANA UTAJIRI MKOANI KAGERA

Na Lydia Lugakila Kagera:-

Kijana mkoani Kagera aliyepambana na ukosefu wa ajira  kwa muda mrefu afanikiwa kujiajiri na kutoa ajira kwa vijana 1000 asimulia ufugaji wa mbwa na kilimo cha miti kumpatia utajiri atoa neno kwa serikali.

Kijana huyo Evance Kamenge amebainisha hayo mbele ya Naibu waziri ofisi waziri mkuu Kazi, Vijana, Ajira Sera na watu wenye ulemavu Anthony Mavunde katika kongamano la umoja wa vijana CCM mkoani Kagera lililofanyika katika ukumbi wa Linas uliopo manispaa ya Bukoba...

 

5 years ago

CCM Blog

UFUGAJI MBWA WAMPA UTAJIRI KIJANA MKOANI KAGERA

Kijana Evance Kamenge akisimulia alivyopambana na ajira

Na Lydia Lugakila Kagera
Kijana mkoani Kagera aliyepambana na ukosefu wa ajira  kwa muda mrefu afanikiwa kujiajiri na kutoa ajira kwa vijana 1000 asimulia ufugaji wa mbwa na kilimo cha miti kumpatia utajiri atoa neno kwa serikali.

Kijana huyo Evance Kamenge amebainisha hayo mbele ya Naibu waziri ofisi waziri mkuu Kazi, Vijana, Ajira Sera na watu wenye ulemavu Anthony Mavunde katika kongamano la umoja wa vijana CCM mkoani Kagera...

 

9 years ago

Mwananchi

Manji ashinda tuzo nyingine ya mjasiriamali kijana Afrika

Mfanyabiashara maarufu nchini na Mwenyekiti wa Kampuni ya Quality Group Limited (QGL), Yusuf Manji ameshinda tuzo ya kiongozi mjasiriamali kijana wa Afrika kwa kuchangia ukuaji wa biashara barani humo.

 

5 years ago

Michuzi

Msafara wa kijinsia unaolenga kutokomeza vitendo vya kikatili kuelekea Siku ya Wanawake Duniani wazinduliwa rasmi mkoani Katavi.

Na Mwandishi Wetu Katavi

Msafara wa kijinsia unaolenga kutokomeza vitendo vya kikatili kuelekea Siku ya Wanawake Duniani umezinduliwa rasmi mkoani Katavi.

Akizungumza wakati akizindua Msafara huo Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mhe. Juma Zuberi Homera amesema kuwa vitendo vya kikatili vimekuwa vikishamiri kila siku katika jamii zetu hivyo vinatakiwa kupatiwa mbinu ya kupambana navyo.

Ameongeza kuwa Serikali haiwezi kuvumilia kuona wanawake na watoto wanafanyiwa vitendo vya kikatili hivyo itahakikisha...

 

9 years ago

Mwananchi

MJASIRIAMALI : Mazingira yanawezaje kumuathiri mjasiriamali?

Katika moja ya makala zangu za nyuma niliwahi kuandika juu ya umuhimu wa kuwa na mazingira mazuri ya kufanyia biashara. Katika makala haya ninaangazia athari za kuwa na mazingira mabovu ya kufanyia biashara kwa wajasiriamali.

 

10 years ago

Mwananchi

Kona ya mjasiriamali

Mimi ni msanii wa muziki na malengo yangu ni siku moja kuwa msanii bora ili niache kazi hii ya uchoraji ingawa nayo ni fani yangu.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ndoto ya mjasiriamali

Hii ni Makala ya mwisho katika mfululizo wa ndoto ya Africa,Makala ambayo ilikuwa ikiwaangazia wajasiriamali wa bara hili kwa muda wa wiki nane sasa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani