Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAARIFA YA JESHI LA POLISI NCHINI JUU YA MAUAJI YA NDUGU ZETU ALBINO

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

TUUNGANE KUTOKOMEZA UKATILI WANAOFANYIWA NDUGU ZETU ALBINO

Elnest Mangu. Hakika Mungu ni wa ajabu kwa sababu anatupenda wote bila ubaguzi, hivyo hatunabudi kumhimidi milele. Baada ya kusema hayo niseme wazi kwamba leo napenda nizungumzie suala la kuhuzunisha la mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi, wengine huwaita Maalbino. Hili suala linasikitisha sana licha ya ukweli kwamba limekuwa likipigiwa kelele kila kukicha lakini hatua zinazochukuliwa hazina uzito ukilinganisha na tatizo...

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA YA JESHI LA POLISI NCHINI KUELEKEA KIPINDI CHA SIKUKUU

Tunapoelekea kipindi hiki cha sikukuu ya Pasaka ambayo inaanza kesho Ijumaa Kuu, Jeshi la Polisi nchini, linatoa tahadhari kwa wananchi, kuwa makini katika suala zima la ulinzi na usalama wa maisha na mali zao. 
Uzoefu unaonyesha kwamba, katika kipindi kama hiki cha sikukuu kuna baadhi ya watu hupenda kutumia fursa hiyo kufanya vitendo vya uhalifu. Hata hivyo, Jeshi la Polisi katika mikoa yote limejipanga vizuri kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama kuhakikisha ...

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA YA JESHI LA POLISI NCHINI KUFUATIA UPOTOSHWAJI UNAOENEZWA KWA NJIA YA MITANDAO

Katika siku za hivi karibuni kumeibuka tabia ya baadhi ya watu wachache wasiofahamika kutunga na kusambaza ujumbe kupitia simu za mikononi na mitandao mbalimbali ya kijamii wenye lengo la kuwatia hofu wananchi, jambo ambalo ni kinyume cha sheria. Aidha, watu hao wanaosambaza taarifa hizo wanajifanya kwamba taarifa hizo zimetoka kwenye taasisi za kimataifa na taasisi zingine zinazoaminika jambo ambalo siyo kweli.
Jeshi la Polisi nchini linawataka wote wenye tabia hiyo kuacha mara moja na...

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA YA JESHI LA POLISI KANDA MAALUM YA DAR ES SALAAM JUU YA KUTIWA MBARONI KWA WATUHUMIWA SUGU WA KUPORA RAIA WA KIGENI NA AKINA MAMA

Watuhumiwa wanne wamekamatwa jijini Dar es Salaam katika makutano ya barabara ya Bibi Titi na Ohio karibu na Hotel ya Serena baada ya kumpora raia wa kigeni wakiwa na gari dogo rangi ya kijivu yenye nambari za usajili T787 DBU Toyota Cienta.
Hivi karibuni kumeibuka wimbi la wahalifu kuwapora pesa na vitu vya thamani kama mikufu, bangili, hereni pia pete na vitu mbalimbali vya thamani raia wa kigeni na akina mama ambao hupenda kutembea na pochi. Wahalifu hawa hutumia gari dogo ambalo mara kwa...

 

11 years ago

Michuzi

Taarifa Kwa Wahitimu Wa Kidato cha Sita 2014 ya Kujiunga na Jeshi la Polisi Nchini

Katika mwaka wa fedha 2014/2015 Jeshi la Polisi linatarajia kuajiri wahitimu wa kidato cha sita mwaka 2014 na kidato cha nne mwaka 2013. Ili kutekeleza azma hii tumeweka fomu kwenye tovuti ambayo wahitimu watarajiwa wa kidato cha sita wa mwaka 2014 watajaza kabla ya kufanya mitihani yao ya kumaliza kidato cha sita.

Baada ya kujazwa kikamilifu wakabidhi fomu kwa wakuu wa shule ambao watazirejeshe kwa Makamada wa Polisi wa mikoa kabla ya tarehe 17.03.2014. Wahitimu wa kidato cha nne...

 

10 years ago

Dewji Blog

Jeshi la Polisi Usalama Barabarani watoa taarifa ya kusitisha suala la kusoma kwa madereva nchini

Mpinga

Kamanda wa Polisi wa Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania, DCP  Mohammed R. Mpinga – DCP (kulia) akitoa maelezo ya kiutalaamu juu ya suala la kusoma kwa madereva ambalo kwa sasa suala hilo limesitishwa hadi hapo litakapokamilika kwa mchakato wake. Kushoto kwake ni Mwenyekiti wa madereva nchini, Clement Masanja.  Taarifa hiyo aliitoa leo jijini katika ukumbi wa habari MAELEZO, jijini Dar es Salaam. (Picha na Andrew Chale wa Modewji blog).

TAARIFA KWA UMMA

 Hivi karibuni nchi yetu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani