Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAARIFA YA JESHI LA POLISI NCHINI KUELEKEA KIPINDI CHA SIKUKUU

Tunapoelekea kipindi hiki cha sikukuu ya Pasaka ambayo inaanza kesho Ijumaa Kuu, Jeshi la Polisi nchini, linatoa tahadhari kwa wananchi, kuwa makini katika suala zima la ulinzi na usalama wa maisha na mali zao. 
Uzoefu unaonyesha kwamba, katika kipindi kama hiki cha sikukuu kuna baadhi ya watu hupenda kutumia fursa hiyo kufanya vitendo vya uhalifu. Hata hivyo, Jeshi la Polisi katika mikoa yote limejipanga vizuri kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama kuhakikisha ...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

TAARIFA YA JESHI LA POLISI KUELEKEA SIKUKUU YA EID-EL-FITR

Jeshi la Polisi Tanzania linapenda kutoa shukrani za dhati kwa wananchi wote, vyama vya siasa, taasisi mbalimbali za serikali, madhehebu ya dini, asasi za kiraia na vyombo vya habari kwa ushirikiano wa dhati katika kusimamia masuala ya amani na usalama hapa nchini.
Tunapoelekea kipindi hiki cha kusherehekea sikukuu ya Eid-El-Fitr, Jeshi la Polisi linatoa wito kwa wananchi wote kuwa makini na kusheherekea sikukuu hiyo kwa amani na utulivu pasipo vitendo ama viashiria vyovyote vya uvunjifu wa...

 

5 years ago

Michuzi

HUU NDIO MPANGO MKAKATI WA JESHI LA POLISI MBEYA KUELEKEA SIKUKUU

Katika kuelekea sikukuu ya Eid El fitr Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limejipanga kikamilifu kusimamia usalama katika kipindi chote cha maadhimisho ya sikukuu ya EID EL FITR kwa kuhakikisha sherehe hizi zinafanyika kwa Amani na Utulivu. 
Kwa kutambua kuwa Mkoa wetu unapakana na nchi jirani ya Malawi [Kasumulu] tumejipanga kuimarisha ulinzi na kuendelea kudhibiti uhalifu katika vipenyo vyote [njia zisizo rasmi]. Pia kuendelea na zoezi la kukagua watu wanaopita mpakani ili kujiridhisha kuhusu...

 

11 years ago

Michuzi

Taarifa Kwa Wahitimu Wa Kidato cha Sita 2014 ya Kujiunga na Jeshi la Polisi Nchini

Katika mwaka wa fedha 2014/2015 Jeshi la Polisi linatarajia kuajiri wahitimu wa kidato cha sita mwaka 2014 na kidato cha nne mwaka 2013. Ili kutekeleza azma hii tumeweka fomu kwenye tovuti ambayo wahitimu watarajiwa wa kidato cha sita wa mwaka 2014 watajaza kabla ya kufanya mitihani yao ya kumaliza kidato cha sita.

Baada ya kujazwa kikamilifu wakabidhi fomu kwa wakuu wa shule ambao watazirejeshe kwa Makamada wa Polisi wa mikoa kabla ya tarehe 17.03.2014. Wahitimu wa kidato cha nne...

 

10 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI MKOANI DODOMA KUIMARISHA ULINZI KATIKA KIPINDI CHA MKUTANO MKUU WA CCM

  Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi ACP David Misime ---JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI    JESHI LA POLISI TANZANIA Nina imani kila mmoja anayo taarifa kuwa wiki hii hapa Dodoma kutakuwa na Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi.  Mkutano huo utajumuisha Viongozi wa Kitaifa na Wajumbe wengi.  Kutokana na unyeti wa mkutano huo mawazo na masikio ya watu wengi wa ndani na nje ya Tanzania watayaelekeza katika Mkoa wetu kutaka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani