Wasabato walaani ukatili kwa albino
KANISA la Waadventista Wasabato Nyanda za Juu Kusini, limelaani visa vya kikatili wanavyotendewa watu wenye ulemavu wa ngozi (albino), ikiwemo kukatwa viungo vyao na kuuawa, likisema watu wanaowatendea uovu huo wamelaaniwa na Mungu.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo24 Jun
Kamani: Nitakomesha ukatili kwa albino
WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Dk Titus Kamani anayewania urais wa Tanzania kupitia CCM, amemaliza kutafuta wadhamini katika mikoa 15 nchini, huku akitaja moja ya vipaumbele vyake ni kupambana na wote wenye imani za kishirikina ambazo zinawafanya waue watu wenye ulemavu wa ngozi (albino).
11 years ago
Tanzania Daima24 May
Wanaharakati walaani mtoto kufanyiwa ukatili
TAASISI zinazojihusisha na utetezi wa haki za binadamu, wanawake na watoto, zimelaani kitendo cha walezi wa mtoto Nasra Rashid (4) kumficha katika boksi tangu akiwa na miezi tisa hadi sasa...
10 years ago
Dewji Blog08 Jun
Ushahidi wakwamisha kesi dhidi ya ukatili kwa albino
Mtaalamu wa masuala ya vyombo vya habari jamii na Mkufunzi Bi Rose Haji Mwalimu (aliyesimama) wakati wa ufunguzi kijiji cha Usagara, wilayani Misungwi mkoani Mwanza hivi karibuni.
Na Modewjiblog team, Mwanza
Tabia ya watu kukwepa kutoa ushahidi mahakamani ni sababu mojawapo ya wahalifu wa mauaji ya albino kutotiwa hatiani na kuachiwa huru.
Hayo yameelezwa katika warsha zilizoendeshwa mfululizo wilayani Misungwi, Kahama na Bariadi za ushirikishwaji wa jamii katika kuzuia na kutokomeza...
10 years ago
GPLWALEMAVU WA NGOZI WALAANI UKATILI DHIDI YAO
10 years ago
StarTV27 Feb
Ukatili dhidi ya wenye Albinism, viongozi wa dini walaani.
Na Wilson Elisha,
Mwanza.
Viongozi wa kamati ya amani ya dini ya Mkoa wa Mwanza wamesema vitendo cha ukatili vinavyoendelea nchini dhidi ya watu wenye ulemavu wa ngozi Albino vya kuwaua kwa kuwakata mapanga kuwa ni laana kwa wanaofanya hivyo na havikubaliki katika jamii.
Kutokana na hali hiyo viongozi hao wameiomba Serikali kuchukua hatua za makusudi kuhakikisha wale wote wanaohusika wanachukuliwa hatua za kisheria ili haki iweze kutendeka wakati huu ambao wameandaa kongamano la wazi la...
11 years ago
Tanzania Daima13 Jan
Albino walaani unyanyapaa
CHAMA cha Watu Wenye Ulemavu wa Ngozi nchini (Albino-TAS), Mkoa wa Mwanza, kimelaani unyanyapaa wanaofanyiwa na kuiomba serikali kuwapatia huduma bora za kiafya na elimu. Wameomba pia kusaidiwa vyumba kwa...
10 years ago
Mwananchi08 Mar
Waganga walaani mauaji ya albino
10 years ago
Habarileo10 Mar
Tiba Asili walaani mauaji ya albino
SHIRIKISHO la Vyama vya Tiba Asili Tanzania limelaani mauaji wanayofanyiwa walemavu wa ngozi, vikongwe na kunajisi watoto yanayofanyika kwa baadhi ya mikoa ya Kanda ya Ziwa.
10 years ago
MichuziKATIBU MKUU WA DIVISHENI YA AFRIKA MASHARIKI NA KATI WA KANISA LA WAADIVENTISTA WASABATO AWEKA JIWE LA MSINGI LA MSINGI KATIKA KANISA LA WASABATO KIGAMBONI