Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Albino walaani unyanyapaa

CHAMA cha Watu Wenye Ulemavu wa Ngozi nchini (Albino-TAS), Mkoa wa Mwanza, kimelaani unyanyapaa wanaofanyiwa na kuiomba serikali kuwapatia huduma bora za kiafya na elimu. Wameomba pia kusaidiwa vyumba kwa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Al-Shaimaa akemea unyanyapaa kwa albino

MBUNGE wa Viti Maalumu, Al- Shaimaa Kwegyir, amekemea vikali unyanyapaa unaofanywa kwa wenye ulemavu wa ngozi.

 

10 years ago

Mwananchi

Waganga walaani mauaji ya albino

Siku chache baada ya Mkuu wa Mkoa wa Geita, Fatma Mwassa kutamka kuwafutia vibali waganga wa kienyeji huku wenzao 32 wakishikiliwa na polisi kutokana na kuibuka kwa mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi (albino), Chama cha Waganga wa Tiba Asilia Tanzania (Chawatiata) tawi la mji wa Katoro wilayani Geita, kimeomba Serikali kuwachukulia hatua kali wanaobainika kuhusika na vitendo hivyo badala ya kuwafutia vibali waganga wote.

 

10 years ago

Habarileo

Tiba Asili walaani mauaji ya albino

SHIRIKISHO la Vyama vya Tiba Asili Tanzania limelaani mauaji wanayofanyiwa walemavu wa ngozi, vikongwe na kunajisi watoto yanayofanyika kwa baadhi ya mikoa ya Kanda ya Ziwa.

 

10 years ago

Habarileo

Wasabato walaani ukatili kwa albino

KANISA la Waadventista Wasabato Nyanda za Juu Kusini, limelaani visa vya kikatili wanavyotendewa watu wenye ulemavu wa ngozi (albino), ikiwemo kukatwa viungo vyao na kuuawa, likisema watu wanaowatendea uovu huo wamelaaniwa na Mungu.

 

10 years ago

BBCSwahili

Unyanyapaa ni Changamoto:China

Hatma ya mvulana mmoja ,China anayeishi na virusi vya wa ukimwi iko mashakani baada ya wanakijiji kumtaka ahame kijijni.

 

5 years ago

Michuzi

WANANCHI WAACHE UNYANYAPAA WA CORONA

Na Mwandishi wetu Mihambwe
Afisa Tarafa Mihambwe amepinga vikali tabia mbaya ya kunyanyapaa Watu wanaokuja toka kwenye maeneo ya wilaya na mikoa mingine  kwa kuwahisi wameambukizwa virusi vya Corona pasipo kuthibitishwa na Wataalamu wa afya.
Gavana Shilatu amewasisitiza Wananchi wa Tarafa ya Mihambwe kuzijua vyema dalili za Mtu mwenye virusi vya Corona kama vile kikohozi kibichi, homa, maumivu ya mwili, kuuma kwa koo na awe amethibitishwa na Wataalamu wa afya na sio kuanza ubaguzi wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wenye VVU walia na unyanyapaa

SHERIA ya kuzuia na kudhibiti ukimwi ya mwaka 2008, ilipitishwa na Bunge Februari 2008, kisha Rais Jakaya Kikwete kuweka saini kuidhinisha kuanza kutumika rasmi. Katika sheria hiyo sehemu ya saba...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Jamii yatakiwa kuacha unyanyapaa

JAMII imetakiwa kuondokana na suala la unyanyapaa kwani ni janga kubwa linalochangia ubaguzi na kuhatarisha maisha ya watu. Akizungumza na Tanzania Daima jijini Dar es Salaam jana, Mwenyekiti wa Faharisi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Unyanyapaa usitawale Bunge Maalumu la Katiba

NI zaidi ya miaka mitatu sasa Kamati ya Faharisi ya Unyanyapaa Tanzania imekuwa ikijitahidi kutoa elimu kwa jamii na kuandaa mikakati kabambe itakayosaidia kupunguza na hata kuondoa kabisa suala la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani