Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jamii yatakiwa kuacha unyanyapaa

JAMII imetakiwa kuondokana na suala la unyanyapaa kwani ni janga kubwa linalochangia ubaguzi na kuhatarisha maisha ya watu. Akizungumza na Tanzania Daima jijini Dar es Salaam jana, Mwenyekiti wa Faharisi...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Jamii yatakiwa kuwathamini wagonjwa

CHAMA cha Maofisa Ustawi wa Jamii Tanzania (Taswo) Tawi la Mtwara, wameitaka jamii kuona umuhimu wa kuwasaidia na kuwathamini wagonjwa ikiwa ni pamoja na kuwatembelea hospitalini.  Wito huo umetolewa mwishoni...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Jamii yatakiwa kutambua mchango wa walemavu

JAMII imetakiwa kutambua, pia kuthamini mchango unaotolewa na watu wenye ulemavu kwani watu hao wana uwezo mkubwa  katika kuchangia pato la familia na taifa. Ushauri huo ulitolewa na Agnes Machenje,...

 

11 years ago

Habarileo

Jamii yatakiwa kupunguza dawa za kulevya

JAMII imetakiwa kupambana na kupunguza matumizi ya dawa za kulevya, ambazo zimekuwa zikiathiri nguvu kazi kwa vijana.

 

11 years ago

Mwananchi

Jamii yatakiwa kusaidia watoto wa kike Mwanza

Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta ametoa wito kwa jamii nchini kuwasaidia watoto wa kike kukabiliana na changamoto za maisha na kuacha kujiingiza kwenye vitendo viovu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Jamii yatakiwa kutenga fedha kusaidia walemavu

WAKAZI wa Wilaya ya Monduli, mkoani Arusha na maeneo jirani wameombwa kutenga sh 1,500 katika matumizi yao ya siku kwa ajili ya kuchangia gharama za uendeshaji wa kituo cha kulelea...

 

10 years ago

Dewji Blog

Jamii yatakiwa kushiriki kupunguza ajali za barabarani

Kaimu Mganga Mkuu wa Serikali, Dk. Mohamed Ally Mohamed (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari wakati akifungua semina hiyo Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Kitengo cha Maafa na Dharura, Dk.Elias Kwesi.

Mkurugenzi Msaidizi Kitengo cha Maafa na Dharura, Dk.Elias Kwesi (kulia), akizungumza katika semina hiyo kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi Kaimu Mganga Mkuu wa Serikali, Dk. Mohamed Ally Mohamed kufungua semina hiyo.

Ofisa Mradi wa Usalama Barabarani wa Shirika la...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali yatakiwa kuthamini maofisa ustawi wa jamii

BAADHI ya wahitimu wa Chuo cha Ustawi wa Jamii wamesema serikali kutoitambua Idara ya Ustawi wa Jamii husababisha wataalamu wake washindwe kutekeleza majukumu yao ipasavyo katika jamii. Akizungumza kwa niaba...

 

11 years ago

Habarileo

Jamii yashauriwa kuacha pombe

JAMII imetakiwa kupunguza matumizi ya bidhaa zitokanazo na tumbaku, ikiwemo uvutaji wa sigara na kunywa pombe ili kujiepusha na magonjwa mbalimbali yasiyoambukiza.

 

10 years ago

Dewji Blog

Elimu zaidi yatakiwa kubadili jamii kuthamini maalbino

DSC_0016

Meneja wa Kituo cha Habari na Mawasiliano cha Redio Sengerema mkoani Mwanza  Bw. Felician Ncheye akiwakaribisha mameneja wa Redio za jamii nchini (hawapo pichani) walioshiriki kwenye mafunzo ya siku moja ya kutoa elimu kwa Redio za jamii nchini juu ya kuandaa vipindi vyenye ujumbe sahihi wa masuala yanayohusu watu wenye Albinism iliofanyika katika kituo cha Redio Jamii Sengerema hivi karibuni. Katikati ni Afisa mtetezi na ushawishi kutoka shirika linaloshughulika na watu wenye Albinism  la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani