Jamii yashauriwa kuacha pombe
JAMII imetakiwa kupunguza matumizi ya bidhaa zitokanazo na tumbaku, ikiwemo uvutaji wa sigara na kunywa pombe ili kujiepusha na magonjwa mbalimbali yasiyoambukiza.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog18 Aug
Serikali yashauriwa kutunga sera ya kudhibiti pombe
Banda la Mtandao wa mashirika yapatayo 30 ya kupambana na matumizi ya kupita kiasi ya pombe nchini (Tanzania Network Against Alcohol Abuse) kwenye maadhimisho ya siku ya kimataifa ya vijana duniani.(Picha na Zainul Mzige wa MOblog).
Na Mwandishi Wetu
SERIKALI imeshauriwa kutunga sera madhubuti ya udhibiti wa pombe katika jamii ili pamoja na mambo mengine kuhakikisha vijana wanalindwa dhidi ya bidhaa hiyo kwenye soko.
Akizungumza na Moblog Tanzania jijini Dar es Salaam katika viwanja vya...
11 years ago
GPL
SERIKALI YASHAURIWA KUTUNGA SERA YA KUDHIBITI POMBE
11 years ago
Tanzania Daima19 Mar
Jamii yashauriwa kutunza kinywa
WANANCHI wameshauriwa kutunza kinywa na kujijengea tabia ya kutembelea vituo vya afya mara kwa mara ili kujua jinsi ya kujilinda dhidi ya magonjwa mbalimbali ya kinywa. Akizungumza na Tanzania Daima ...
11 years ago
Tanzania Daima23 Mar
Jamii yashauriwa kupima afya ya sikio
JAMII imeshauriwa kutembelea vituo vya afya mara kwa mara ili kujua namna ya kujitunza na kujikinga dhidi ya maradhi mbalimbali yanayotokanayo na masikio. Akizungumza na Tanzania Daima Jumapili jijini Dar...
10 years ago
MichuziJAMII YASHAURIWA KUTUMIA KINYWAJI CHA TREVO
Pia aliongezea kuwa Kinywaji cha Trevo ni kinywaji kilichotengenezwa kwa ubora wa hali ya juu kinaachuhusisha vyakula mbalimbali nyenye kiwango kikubwa vya virutubisho na kutoka mataifa...
9 years ago
Habarileo05 Dec
Jamii yashauriwa kujali watu wenye ulemavu
JAMII nchini imehimizwa kuongeza ushirikiano kwa makundi ya watu walio na mahitaji maalumu hususan wenye ulemavu kwa kuwa kufanya hivyo kutawezesha uwepo wa jamii iliyo na ustawi na yenye kujali maslahi ya kila mmoja.
10 years ago
Mtanzania10 Aug
Jamii yashauriwa kuzingatia matumizi salama ya mitandao
NA CHRISTINA GAULUHANGA, DAR ES SALAAM
WATAALAMU wa mitandao wametoa wito kwa jamii juu ya matumizi salama ya mitandao ili kupunguza uhalifu katika kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu.
Wakizungumza na MTANZANIA kwa nyakati tofauti jijini Dar es Salaam wakati wa mkutano wa mawasiliano, mtaalamu wa usalama katika mitandao na uchunguzi wa makosa ya digitali, Yusuph Kileo, alisema matumizi mabaya ya mitandao yasipodhibitiwa yanaweza kuchangia kuyumba kwa...
11 years ago
Mwananchi01 Jul
AFYA: Wazee watakiwa kuacha pombe, sigara
10 years ago
Dewji Blog12 Mar
Jamii yashauriwa kuendeleza miradi inayoanzishwa ili kuvutia wawekezaji
Dwani wa kata ya Ihanja (CCM) Ayubu Noah, akizungumza kwenye hafla ya kata hiyo ya Ihanja, kukabdhiwa ili wauendeleze mradi wa ushiriki wa wanaume katika afya ya uzazi ni chanzo cha mabadiliko katika afya ya mama na mtoto.Kulia ni Afisa tathimini na ufuatiliaji TMEP, George Mutasingwa John na kushoto ni Afisa wa shirika la HAPA, Joseph Mnyambi.
Na Nathaniel Limu, Ikungi
WAKAZI wa vijijini tarafa ya Ihanja wilaya ya Ikungi mkoani Singida,wamehimizwa kujenga utamaduni wa kuendeleza miradi...