SERIKALI YASHAURIWA KUTUNGA SERA YA KUDHIBITI POMBE
![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/08/DSC_0279.jpg)
Banda la Mtandao wa mashirika yapatayo 30 ya kupambana na matumizi ya kupita kiasi ya pombe nchini (Tanzania Network Against Alcohol Abuse) kwenye maadhimisho ya siku ya kimataifa ya vijana duniani Mkurugenzi Mtendaji wa Makangarale Youth Theatre, ambao ni taasisi chini ya Tanzania Network Against Alcohol Abuse (TAAnet), Bw. Ismael Mnikite akifafanua jambo kwa Mgeni Rasmi kutoka… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog18 Aug
Serikali yashauriwa kutunga sera ya kudhibiti pombe
Banda la Mtandao wa mashirika yapatayo 30 ya kupambana na matumizi ya kupita kiasi ya pombe nchini (Tanzania Network Against Alcohol Abuse) kwenye maadhimisho ya siku ya kimataifa ya vijana duniani.(Picha na Zainul Mzige wa MOblog).
Na Mwandishi Wetu
SERIKALI imeshauriwa kutunga sera madhubuti ya udhibiti wa pombe katika jamii ili pamoja na mambo mengine kuhakikisha vijana wanalindwa dhidi ya bidhaa hiyo kwenye soko.
Akizungumza na Moblog Tanzania jijini Dar es Salaam katika viwanja vya...
10 years ago
Mwananchi15 May
Wataalamu: Tanzania iwe na sera maalumu kudhibiti matumizi ya pombe
10 years ago
Habarileo22 Mar
Washauriwa kutunga sheria kudhibiti uchafu
MKUU wa Wilaya ya Ilemela, Manju Msambya ameshauri Halmashauri ya Manispaa kutunga sheria ndogo ya kuzuia utupaji ovyo wa mifuko ya rambo, ili kurejesha hadhi ya usafi kwenye manispaa hiyo.
9 years ago
Mwananchi18 Dec
Tanzania yashauriwa kuboresha sera za sayansi
11 years ago
Habarileo18 Mar
Jamii yashauriwa kuacha pombe
JAMII imetakiwa kupunguza matumizi ya bidhaa zitokanazo na tumbaku, ikiwemo uvutaji wa sigara na kunywa pombe ili kujiepusha na magonjwa mbalimbali yasiyoambukiza.
5 years ago
BBCSwahili11 Mar
Coronavirus: Uganda yazindua sera mpya ya usafiri kudhibiti maambukizi
10 years ago
GPLJAMII YASHAURIWA KUJENGA UTAMADUNI WA KUSAIDIA WATU WENYE SHIDA MBALIMBALI
10 years ago
Tanzania Daima02 Sep
Serikali yashauriwa kupunguza kodi
SERIKALI imeshauriwa kupunguza kodi katika huduma za usafiri wa anga ili watanzania wengi wamudu kuutumia usafiri huo katika shughuli zao za kiuchumi. Ushauri huo ulitolewa jana na Meneja Mkuu wa...
11 years ago
Tanzania Daima11 Jan
Serikali yashauriwa kuboresha hospitali
SERIKALI imeshauriwa kuboresha huduma za hospitali nchini ili kupunguza vifo vya mama wajawazito na watoto chini ya miaka mitano vinavyotokana na ukosefu wa vifaatiba. Ushauri huo ulitolewa jijini Dar es...