Serikali yashauriwa kupunguza kodi
SERIKALI imeshauriwa kupunguza kodi katika huduma za usafiri wa anga ili watanzania wengi wamudu kuutumia usafiri huo katika shughuli zao za kiuchumi. Ushauri huo ulitolewa jana na Meneja Mkuu wa...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV11 Nov
Serikali yashauriwa kuweka mikakati ya kupunguza athari zitokanazo na majanga hasili.
Serikali imeshauriwa kuweka mikakati mahsusi ya kuwekeza kwenye Sayansi ili kupunguza kasi ya ongezeko la majanga ya asili duniani yakiwemo mafuriko, ukame na vimbunga yanayoweza kuleta athari kubwa kwa nchi zinazoendelea.
Maadhimisho ya siku ya sayansi duniani yanayofanyika Novemba 10 kila mwaka, yanakwenda sanjari na uzinduzi wa toleo jipya lenye dhana muhimu ya Sayansi Duniani kwa amani na maendeleo, likiwa na maana ya kuonyesha mwelekeo wa sayansi, teknolojia na maendeleo kwa kila...
9 years ago
StarTV17 Nov
 Serikali yashauriwa kuangalia upya kodi kwa shule binafsi
Wadau wa sekta ya elimu nchini,wameishauri serikali kuangalia upya sera yake katika masuala ya kodi kwa shule binafsi ambazo zinakwaza mendeleo ya sekta hiyo huku mzigo mkubwa ukibaki kuzielemea shule hizo pamoja na wazazi.
Wakizungumzia maendeleo ya elimu kwa shule binafsi wadau hao wamesema kazi inayofanyika ni kwa niaba ya serikali kwa kuwasomesha watoto wa watanzania na kuondoa dhana ya kwamba ni eneo la kujitengenezea faida.
Wadau hao akiwemo Mkurugenzi wa taasisi ya kielimu ya THE...
9 years ago
StarTV30 Nov
Serikali yashauriwa kutenga bajeti ya kununua vifaa tiba ili Kupunguza Vifo Vya Watoto
SERIKALI imepewa changamoto ya kutenga fedha katika bajeti yake na kununua vifaa tiba pamoja na dawa zitakazosaidia kupunguza au kuondoa kabisa vifo vya watoto wachanga hapa nchini ambapo ripoti mbalimbali zinaonyesha mwaka jana pekee imefikia watoto elfu kumi na tatu.
Changamoto hiyo imetolewa na Taasisi ya Doris Mollel Foundation muda mfupi baada ya kukabidhi vifaa vitakavyosaidia kuokoa maisha ya watoto wachanga hususani watoto njiti katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Iringa.
Ndani ya...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-_R3qJR-cmnw/VPh4QbR4GaI/AAAAAAABa6E/ezQGOHTCPk4/s72-c/DSC_0694.jpg)
WAFANYABIASHARA WA JIJI LA DAR ES SALAAM WAITAKA SERIKALI KUPUNGUZA KODI
Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyabiashara Dar es salaam (JWT), Philimon Chonde amesema suala la kupandishwa kwa kodi kwa asilimia mia moja limepitishwa kinyemela bila ya wao kuwashirikisha wala kujadiliana na wafanyabiashara hao.
Akizungumza leo katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Lamada Hotel jijini Dar es Salaam ukiwashirikisha wabunge, ameeleza kuwa mfumo wa kodi uliopo umekaa kikoloni kwani unawakandamiza wafanyabiashara ili waendelee kuwa ...
9 years ago
Mwananchi21 Oct
Mghwira aahidi kusimamia mapato ya kodi kupunguza umasikini
11 years ago
BBCSwahili12 Jul
Iraq yashauriwa iunde serikali
10 years ago
Tanzania Daima22 Oct
Serikali yashauriwa kufunza ujasiriamali
ILI kuondoka na wimba la ukosefu wa ajiri kwa vijana, Serikali imeshauriwa kuingiza somo ya ujasiriamali katika mitaala yake katika ngazi za elimu ilitolewayo hapa nchini. Ushauri huo ulitolewa mwishoni...
11 years ago
Tanzania Daima11 Jan
Serikali yashauriwa kuboresha hospitali
SERIKALI imeshauriwa kuboresha huduma za hospitali nchini ili kupunguza vifo vya mama wajawazito na watoto chini ya miaka mitano vinavyotokana na ukosefu wa vifaatiba. Ushauri huo ulitolewa jijini Dar es...
11 years ago
Mwananchi19 Dec
Serikali yashauriwa kuwekeza elimu ya awali