WAFANYABIASHARA WA JIJI LA DAR ES SALAAM WAITAKA SERIKALI KUPUNGUZA KODI

Na Tinah Reuben, Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyabiashara Dar es salaam (JWT), Philimon Chonde amesema suala la kupandishwa kwa kodi kwa asilimia mia moja limepitishwa kinyemela bila ya wao kuwashirikisha wala kujadiliana na wafanyabiashara hao.
Akizungumza leo katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Lamada Hotel jijini Dar es Salaam ukiwashirikisha wabunge, ameeleza kuwa mfumo wa kodi uliopo umekaa kikoloni kwani unawakandamiza wafanyabiashara ili waendelee kuwa ...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog18 Nov
Serikali khuduma ya maji kwa wakazi wa jiji la Dar es Salaam.
Na. Georgina Misama – Maelezo
[DAR ES SALAAM] Serikali inatarajia kuzalisha maji lita milioni 270 kwa siku baada...
9 years ago
Michuzi
Serikali Kuboresha Huduma ya Maji kwa Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam
Serikali inatarajia kuzalisha maji lita milioni 270 kwa siku baada ya kukamilika kwa mradi wa upanuzi wa Chanzo cha Maji cha Ruvu Chini na upanuzi wa mtambo wa kusafishia maji.
Mradi huo unaotekelezwa na Serikali kwa kushirikiana na Shirika la Kimarekani la Millenium Challenge Co-operation umegharimu kiasi cha shilingi bilioni 66.24 na unatarajiwa kukamilika wakati wowote baada ya kukamilika kwa kazi ya kulaza bomba linalosafirisha maji toka Ruvu chini kuja...
10 years ago
Michuzi.jpg)
Uchaguzi Serikali za Mitaa katika maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es salaam
.jpg)
.jpg)
.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima02 Sep
Serikali yashauriwa kupunguza kodi
SERIKALI imeshauriwa kupunguza kodi katika huduma za usafiri wa anga ili watanzania wengi wamudu kuutumia usafiri huo katika shughuli zao za kiuchumi. Ushauri huo ulitolewa jana na Meneja Mkuu wa...
10 years ago
Mwananchi09 Sep
Serikali yawasamehe wafanyabiashara kulipa kodi
10 years ago
Mwananchi09 Sep
Serikali yasamehe wafanyabiashara kulipa kodi
10 years ago
Michuzi
CCM MKOA WA DAR ES SALAAM WAITAKA TUME KUONGEZA VIFAA ILI KUFANIKISHA ZOEZI


Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Dar es Salaam kimeitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuongeza,vifaa na rasilimali watu...
5 years ago
Michuzi
WAFANYABIASHARA DAR WAELIMISHWA KUHUSU KODI YA ZUIO


Afisa Msimamizi wa Kodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bi. Catherine Mwakilagala akimuelimisha Mfanyabiashara wa eneo la Tabata Segerea jijini Dar es Salaam kuhusu masuala...
10 years ago
Vijimambo
CCM MKOA WA DAR ES SALAAM WAITAKA TUME KUONGEZA VIFAA PAMOJA NA RASILIMALI WATU ILI KURAHISISHA ZOEZI LA UANDIKISHAJI

Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Dar es Salaam kimeitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuongeza,vifaa na rasilimali watu ili wananchi wengi waweze kujiandikisha kwenye Daftari la kudumu la wapiga kura bila usumbufu.
Akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Katibu wa Siasa na Uenezi wa CCM mkoa wa Dar es Salaam Bw. Juma Simba Gadafi alisema...