Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAFANYABIASHARA DAR WAELIMISHWA KUHUSU KODI YA ZUIO


Afisa Msimamizi wa Kodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Isihaka Shariff akimuelimisha Mfanyabiashara wa maduka ya Ikupa Market katika eneo la Tabata Kinyerezi jijini Dar es Salaam kuhusu masuala mbalimbali yanayohusu kodi wakati wa Kampeni endelevu ya Elimu kwa Mlipakodi iliyoanza tangu tarehe 8 Juni, 2020.
Afisa Msimamizi wa Kodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bi. Catherine Mwakilagala akimuelimisha Mfanyabiashara wa eneo la Tabata Segerea jijini Dar es Salaam kuhusu masuala...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Wafanyabiashara Lindi waonywa kuhusu kodi

Johnson MinjaWAFANYABIASHARA mjini Lindi wameshauriwa kulipa kodi stahiki za Serikali kuisaidia kunyanyua uchumi wa taifa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wakulima waondolewa kodi ya zuio

SERIKALI kupitia Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeondoa kodi ya zuio kwa wakulima ambao hawana  namba la mlipakodi wakati wa kuuza mazao yao. Kauli hiyo imetokana na serikali kutambua kuwa...

 

10 years ago

Michuzi

WAFANYABIASHARA WA JIJI LA DAR ES SALAAM WAITAKA SERIKALI KUPUNGUZA KODI

Na Tinah Reuben, Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyabiashara Dar es salaam (JWT), Philimon Chonde amesema suala la kupandishwa kwa kodi kwa asilimia mia moja limepitishwa kinyemela bila ya wao kuwashirikisha wala kujadiliana na wafanyabiashara hao.
Akizungumza leo katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Lamada Hotel jijini Dar es Salaam ukiwashirikisha wabunge, ameeleza kuwa mfumo wa kodi uliopo umekaa kikoloni kwani unawakandamiza wafanyabiashara ili waendelee kuwa ...

 

5 years ago

Michuzi

MPANGAJI ANAYELIPA KODI YA ZUIO ANAPASWA KUREJESHEWA NA MWENYE NYUMBA

Na. Peter Haule na Josephine Majura, WFM, Dodoma

Serikali imesema kuwa Sheria ya Kodi ya Mapato inaruhusu mpangaji wa nyumba ya biashara kusajiliwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania na kuwa Wakala wa ukusanyaji wa Kodi ya Zuio (Withholding Tax) hivyo kuwa sehemu ya mlipaji wa kodi ya pango.

Hayo yameelezwa bungeni jijini Dodoma na Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango, alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum, Mhe. Pauline Gekul, aliyetaka kujua lini Serikali itabadili...

 

10 years ago

Michuzi

WAFANYABIASHARA MANISPAA YA SUMBAWANGA WALALAMIKIA KODI MBALIMBALI SERIKALINI, MKUU WA MKOA WA RUKWA AWATAKA KUWA WAZALENDO KULIPA KODI KWA HIARI KUJENGA NCHI YAO

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya akisikiliza risala ya umoja wa wafanyabiashara wa Manispaa ya Sumbawanga iliyokuwa ikisomwa kwake na Mwenyekiti wa umoja huo Ndugu Willington Kiziba Ndyetabura (Kulia). Katika risala hiyo yalikuwepo malalamiko mbalimbali ikiwemo ya matumizi ya mashine za EFD ambapo ni pamoja na gharama kubwa za mataengenezo, Ada ya ukaguzi wa majanga ya moto(Fire), Kupanda mara mbili kwa kodi ya mapato kwa wafanyabiashara wadogo na Ulinzi na Usalama kwa...

 

9 years ago

StarTV

Chadema yafungua kesi ya madai  kuhusu Zuio La Kuaga Mwili Wa Mawazo

Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimefungua kesi ya madai katika mahakama kuu kanda ya Mwanza kutengua zuio la jeshi la polisi mkoani humo kuzuia wafuasi wa chama hicho wasiuage mwili wa aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho mkoa wa Geita.

Kesi hiyo namba 10 ya mwaka 2015 imefunguliwa kwa hati ya dharura sana kwa niaba ya mlalamikaji mchungaji Charles Lugiko ambaye ni baba mlezi wa marehemu.

Katika mahakama kuu kanda ya Mwanza wafuasi wa chama cha demokrasia na maendeleo chadema...

 

9 years ago

Mwananchi

Wafanyabiashara wabanwa walipe kodi

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Felix Ntibenda amewataka wafanyabiashara  wadaiwa sugu kulipa kodi ndani ya siku saba  ili kutekeleza agizo la  Rais John Magufuli.

 

10 years ago

Mwananchi

Kodi yazidi kuwaliza wafanyabiashara

Jumuiya ya Wafanyabiashara wa Dar es Salaam imeilalamikia Serikali kwa kupandisha kodi hadi kufikia asilimia 100 bila kutathmini mwenendo wa biashara hapa nchini.

 

10 years ago

Mwananchi

Kodi za mabango zawakera wafanyabiashara

Chama cha Wafanyabiashara wa Viwanda na Kilimo (TCCIA), mkoani Morogoro kimesema baadhi ya sheria ndogo zinazotungwa na halmashauri, zimekuwa zikiwakandamiza wafanyabiashara na kusababisha migogoro baina yao na vyombo vingine vya Serikali.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani