Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAFANYABIASHARA MANISPAA YA SUMBAWANGA WALALAMIKIA KODI MBALIMBALI SERIKALINI, MKUU WA MKOA WA RUKWA AWATAKA KUWA WAZALENDO KULIPA KODI KWA HIARI KUJENGA NCHI YAO

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya akisikiliza risala ya umoja wa wafanyabiashara wa Manispaa ya Sumbawanga iliyokuwa ikisomwa kwake na Mwenyekiti wa umoja huo Ndugu Willington Kiziba Ndyetabura (Kulia). Katika risala hiyo yalikuwepo malalamiko mbalimbali ikiwemo ya matumizi ya mashine za EFD ambapo ni pamoja na gharama kubwa za mataengenezo, Ada ya ukaguzi wa majanga ya moto(Fire), Kupanda mara mbili kwa kodi ya mapato kwa wafanyabiashara wadogo na Ulinzi na Usalama kwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

RC MONGELLA AWATAKA WAFANYABIASHARA KULIPA KODI KWA WAKATI

 Na Veronica Kazimoto-Mwanza
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. John Mongella amewataka wafanyabiashara kutumia fursa ya kampeni ya elimu kwa mlipakodi inayoendelea mkoani hapa kulipa kodi kwa wakati ili kuiwezesha Serikali kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo huku wafanyabiashara hao wakiishukuru Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa zoezi hilo ambalo linawaleta karibu walipakodi na wakusanya kodi.  
Akizungumza na waandishi wa habari kuhusu kampeni hiyo ambayo imeanza June 15 hadi 22 mwaka...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wafundwa kulipa kodi kwa hiari

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), mkoani Mtwara, imetoa elimu kwa wafanyabiashara mbalimbali kuhusu ulipaji wa kodi kwa mujibu wa sheria. Akizungumza katika viwanja vya Mkanaledi, mkoani hapa mwishoni mwa wiki,...

 

9 years ago

Michuzi

RAIS MAGUFULI ATOA SIKU 7 KWA WAFANYABIASHARA WANAOKWEPA KULIPA KODI

 Rais John Magufuli ametoa siku 7 kwa wafanyabiashara waliokwepa kulipa kodi kwa kutorosha makontena  kuhakikisha wanalipa haraka.

 

11 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA RUKWA AKAGUA UJENZI WA MIRADI YA MAJI KATIKA MANISPAA YA SUMBAWANGA, APIGA MARUFUKU UHARIBIFU WA VYANZO VYA MAJI

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya (Mb) katikati akitoa maelekezo kwa watendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga na Mkandarasi anaejenga mradi wa maji wa kijiji cha Malonje ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa ahadi za Serikali za kufikisha huduma muhimu kwa wananchi. Mradi huo wa maji ambao unaelekea kukamilika umefadhiliwa na benki ya dunia kwa kushirikiana na Serikali ya Tanzania kwa gharama ya Tsh. Milioni 279. Katika maagizo aliyoyatoa ni pamoja na kupiga marufuku...

 

9 years ago

Mwananchi

Serikali yasamehe wafanyabiashara kulipa kodi

Serikali imekubali kupunguza viwango vya kodi kwa wafanyabiashara na kuiondoa kwa wale wenye mauzo yasiyozidi Sh4 milioni kwa mwaka.

 

9 years ago

Mwananchi

Serikali yawasamehe wafanyabiashara kulipa kodi

Serikali imekubali kupunguza viwango vya kodi kwa wafanyabiashara na kuiondoa kwa wale wenye mauzo yasiyozidi Sh4 milioni kwa mwaka.

 

9 years ago

MillardAyo

Matatu kutoka TRA >>>makusanyo ya kodi yaliyofikiwa, usajili wa pikipiki, walioshindwa kulipa kodi…

Mipango ya Rais Magufuli kuendelea kupambana na wabadhirifu wa mapato ya Serikali yameendeela kuchukua sura mpya. Kupitia Mamlaka ya Mapato TRA Rais aliweza kufanya mabadiliko makubwa ikiwa ni pamoja na kuwaondoa watendaji ambao walihusika katika upotevu wa fedha za umma pamoja na kuwabana wakwepa kodi ambao ni wafanyabiashara wakubwa. Kingine kilichonifikia leo kutoa  kutoka kwa […]

The post Matatu kutoka TRA >>>makusanyo ya kodi yaliyofikiwa, usajili wa pikipiki, walioshindwa kulipa kodi…...

 

5 years ago

Michuzi

DC MBONEKO AHAMASISHA WAFANYABIASHARA NA WANANCHI KULIPA KODI YA PANGO LA ARDHI SHINYANGA



Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Jasinta Mboneko (kulia) akitoa elimu ya ulipaji kodi ya pango la ardhi kwa Mwakilishi wa Mkurugenzi wa Kampuni ya Phantom Oil Tanzania Ltd  John Maguru (kushoto) inayodaiwa shilingi milioni 105 za pango la ardhi tangu mwaka 2007 leo Alhamis Aprili 2,2020 wakati akiongoza Kampeni ya Kuhamasisha Ulipaji wa Kodi ya Pango la Ardhi kwa wamiliki wa viwanja vya Biashara na makazi katika manispaa ya Shinyanga. Wa pili kushoto ni Mkuu wa Idara ya Ardhi na Mipango Mji...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani