Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wenye VVU walia na unyanyapaa

SHERIA ya kuzuia na kudhibiti ukimwi ya mwaka 2008, ilipitishwa na Bunge Februari 2008, kisha Rais Jakaya Kikwete kuweka saini kuidhinisha kuanza kutumika rasmi. Katika sheria hiyo sehemu ya saba...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

SPIKA NDUGAI ELIMU YA VVU NDIO DAWA YA KUONDOA UNYANYAPAA KWA WATU WANAOISHI NA VVU NCHINI

Na Ahmed Mahmoud, Arusha
Serikali imeeleza kuwa suala la elimu ya masuala ya vvu kwa jamii ni jambo endelevu na linatakiwa kuendelea kutolewa hususani kwenye suala la unyanyapaa ambalo limendelea kushika kasi kwa watu wanaoishi na maambukizi ya ukimwi.

Akiongea kwenye mkutano wa viongozi wa dini na madhehebu mbalimbali ulioandaliwa na Bunge na Baraza la watu walioishi na VVU Spika wa bunge Job Ngugai alisema kuwa katika umoja wao viongozi wa dini wanauwezo wa kuvunja ukimya kuondoa ubaguzi na...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AZINDUA MKAKATI WA KUPAMBANA NA UNYANYAPAA WA VVU NCHINI

*Unajumuisha viongozi wa dini, Serikali, wanasiasa na wadau wa afya
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali inatambua nguvu kubwa waliyonayo viongozi wa dini katika jamii na itaendelea kutoa ushirikiano wa dhati katika kuyatekeleza na hatimaye kufikia malengo yanayotarajiwa katika mwitikio wa UKIMWI Tanzania.
“Serikali inaunga mkono tamko na maazimio mliyoyafikia leo hii na itaendelea kutoa ushirikiano wa dhati katika kuyatekeleza na kufikia malengo yanayotarajiwa katika mwitikio wa...

 

10 years ago

Habarileo

Mradi wa ‘Sauti Yetu’ kusaidia wenye VVU

SHIRIKA lisilo la kiserikali linalohamasisha na kutetea haki za binadamu la WCSA linatekeleza mradi wa Sauti Yetu unaowalenga kuwasaidia watu wanaoishi na Virusi Vya Ukimwi (VVU) na Ukimwi ili sauti zao ziweze kusikika.

 

10 years ago

Mwananchi

Wake wenye VVU wapewa talaka Lindi

Baadhi ya wanaume mkoani hapa wanadaiwa kuwanyanyapaa wake zao kwa kuwapa talaka pindi wanapogundulika wana na maambukizi ya virusi Ukimwi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

TUSHIKAMANE: Wanawake wenye VVU walioungana kutoa elimu

KAMA kawaida ya safu hii ni kukuletea habari za wanamama ambao habari zao hazisikiki wala kuandikwa. Nimekuwa nikiwaletea habari za mama mmoja mmoja na tutaendelea kufanya hivi, lakini leo imekuwa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Zimamoto wakana kufukuza askari wanafunzi wenye VVU

JESHI la Zimamoto na Uokoaji limedai kuwa askari wanafunzi 37 waliyofukuzwa mafunzoni katika chuo cha Magereza Kiwira, Tukuyu mkoani Mbeya ni kutokana na kutokidhi vigezo mbalimbali tifauti na inavyodaiwa kwamba...

 

11 years ago

Mwananchi

MSEMAKWELI: Tuache kuwageuza wenye VVU kuwa watenda dhambi

>Nianze kwa kukusimulia kisa kimoja cha kusikitisha kilichomkuta msichana mmoja. Kisa hiki naamini kinawakuta watu wengi kwa njia tofauti, hasa wanaoishi na Virusi vya Ukimwi (VVU).

 

9 years ago

StarTV

Wenye shughuli za kuhamahama wako hatarini zaidi kupata VVU:

 

Utafiti ulioendeshwa na Taasisi ya Kimataifa inayojihusisha na usafirishaji haramu wa binadamu IOM kwa ushirikiano na Jumuiya ya nchi za Kusini mwa Afrika SADC unaonesha kuwa jamii kubwa inayofanya shughuli za kiuchumi kwenye maeneo ya bandari iko kwenye hatari ya kuambukizwa ugonjwa wa UKIMWI kutokana na kutokuwepo kwa mtandao unaotoa elimu ya kupambana na ugonjwa huo kwenye mazingira yao.

Taarifa hiyo inasema, elimu juu ya matumizi ya kinga bado ni changamoto kwa jamii hiyo hivyo wengi...

 

5 years ago

Michuzi

CUAMM YAJENGA JENGO LA HUDUMA KWA WATU WENYE VVU SIMIYU


Makamu wa Askofu wa Jimbo Katoliki Shinyanga, Padri Kizito Nyanga (katikati)  akikata utepe kuashiria uzinduzi wa jengo jipya la Huduma za tiba na matunzo kwa watuwanaoishi na Virusi vya Ukimwi (CTC) Juni 18, 2020  lililojengwa kwa msaada wa Shirika lisilo la Kiserikali la  Doctors With Africa- CUAMM kupitia mradi wa Test and Treat;  katika Zahanati ya Old Maswa inayomilikiwa na Kanisa Katoliki Jimbo la Shinyanga (Kulia) Kaimu Mganga Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Dkt....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani