Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Zimamoto wakana kufukuza askari wanafunzi wenye VVU

JESHI la Zimamoto na Uokoaji limedai kuwa askari wanafunzi 37 waliyofukuzwa mafunzoni katika chuo cha Magereza Kiwira, Tukuyu mkoani Mbeya ni kutokana na kutokidhi vigezo mbalimbali tifauti na inavyodaiwa kwamba...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Cuba kuwanoa askari Zimamoto

SERIKALI ya Cuba kupitia kitengo cha Zimamoto imesema ipo tayari kuendeleza ushirikiano na Tanzania kwa kutoa mafunzo maalumu kwa askari wa Zimamoto nchini ili kukabiliana na changamoto zinazojitokeza katika matukio...

 

9 years ago

Dewji Blog

Askari 482 wa Jeshi la Zimamoto wahitimu mafunzo ya awali ya fani hiyo

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbaraka Abdulwakili akikagua gwaride la askari wahitimu wa mafunzo ya awali ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji. Jumla ya askari 482 wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji wamehitimu mafunzo ya awali ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji yaliyofanyika nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam kwenye Chuo cha Uongozi cha Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Kimbiji.  Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbaraka Abdulwakili akipokea heshima toka kwa askari...

 

10 years ago

Michuzi

Mh. Silima awataka Askari wa Jeshi la Zimamoto na uokoaji nchini kuwa waadilifu

Na Lydia Churi, MAELEZO
Askari wa Jeshi la Zimamoto na uokoaji nchini wametakiwa kuwa waadilifu, waaminifu, watii na watekelezaji wa sheria zote za nchi kwa kuwa hizo ni miongoni mwa sifa za askari bora.
Akifunga rasmi mafunzo ya awali ya uzimaji wa moto katika viwanja vya ndege kwa askari  100 wa Jeshi la Zimamoto na uokoaji katika kambi ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Airwing, Ukonga jijini Dar es salaam, Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mheshimiwa Pereira Ame Silima amewataka...

 

5 years ago

Michuzi

ASKARI ZIMAMOTO KIWANJA CHA NDEGE DODOMA KUJENGEWA UWEZO KATIKA KUKABILIANA NA MAJANGA


 Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi wa Zimamoto na Uokoaji (ACF) Gilbert Mvungi, akizungumza na Maafisa na Akari wa Jeshi hilo wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya siku tano ya kuwajengea uwezo Maafisa na Akari wa Kiwanja cha Ndege Jijini Dodoma. Mafunzo hayo yanafanyika katika Ofisi za Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Kiwanja cha Ndege jijini Dodoma na kuratibiwa na Mamlaka ya Viwanja vya Ndege nchini (TAA) kwa kushirikiana na Jeshi la...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wenye VVU walia na unyanyapaa

SHERIA ya kuzuia na kudhibiti ukimwi ya mwaka 2008, ilipitishwa na Bunge Februari 2008, kisha Rais Jakaya Kikwete kuweka saini kuidhinisha kuanza kutumika rasmi. Katika sheria hiyo sehemu ya saba...

 

10 years ago

Habarileo

Mradi wa ‘Sauti Yetu’ kusaidia wenye VVU

SHIRIKA lisilo la kiserikali linalohamasisha na kutetea haki za binadamu la WCSA linatekeleza mradi wa Sauti Yetu unaowalenga kuwasaidia watu wanaoishi na Virusi Vya Ukimwi (VVU) na Ukimwi ili sauti zao ziweze kusikika.

 

10 years ago

Mwananchi

Wake wenye VVU wapewa talaka Lindi

Baadhi ya wanaume mkoani hapa wanadaiwa kuwanyanyapaa wake zao kwa kuwapa talaka pindi wanapogundulika wana na maambukizi ya virusi Ukimwi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

TUSHIKAMANE: Wanawake wenye VVU walioungana kutoa elimu

KAMA kawaida ya safu hii ni kukuletea habari za wanamama ambao habari zao hazisikiki wala kuandikwa. Nimekuwa nikiwaletea habari za mama mmoja mmoja na tutaendelea kufanya hivi, lakini leo imekuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani