Mh. Silima awataka Askari wa Jeshi la Zimamoto na uokoaji nchini kuwa waadilifu
Na Lydia Churi, MAELEZO
Askari wa Jeshi la Zimamoto na uokoaji nchini wametakiwa kuwa waadilifu, waaminifu, watii na watekelezaji wa sheria zote za nchi kwa kuwa hizo ni miongoni mwa sifa za askari bora.
Akifunga rasmi mafunzo ya awali ya uzimaji wa moto katika viwanja vya ndege kwa askari 100 wa Jeshi la Zimamoto na uokoaji katika kambi ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Airwing, Ukonga jijini Dar es salaam, Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mheshimiwa Pereira Ame Silima amewataka...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi
KATIBU MKUU KADIO AKAGUA KIWANJA CHA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI DODOMA KINACHOTARAJIWA KUJENGWA MAKAZI YA MAOFISA NA ASKARI WA JESHI HILO

5 years ago
CCM Blog
MKUU WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI AFANYA MABADILIKO YA MAKAMANDA

Makamanda walioguswa na mabadiliko hayo ni Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Zimamoto na Uokoaji (SACF) ABDALLAH MAUNDU anakwenda kuwa (RFO) Kamanda wa Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Kigoma, kabla ya nafasi hiialikuwa Makao Makuu Dodoma.
Aliyekuwa Kamanda wa Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Mara, Kamishna Msaidizi Mwandamizi (SACF) SALUM M. OMARI, anayekwenda kuwa (RFO) Kamanda wa Mkoa wa...
5 years ago
Michuzi
10 years ago
Michuzi01 Jul
10 years ago
MichuziNMB Yadhamini Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji.
Katika mkutano huo, NMB imeweka mabanda ya maonyesho yanayotoa elimu juu ya huduma mbalimbali zinazopatikana ndani ya benki ya NMB pamoja na kutoa huduma za papo kwa papo ambapo wajumbe wa mkutano huo walipata wasaa wa kufungua akaunti za chap chap pamoja na kupata huduma za NMB Wakala.
Kwa huduma za NMB Wakala, wateja wa NMB wanaweza kutoa na kuweka ...
11 years ago
Michuzi.jpg)
JAPAN YATOA MSAADA WA MAGARI KWA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI
.jpg)
10 years ago
Michuzi30 Jun
9 years ago
MichuziNAIBU KATIBU MKUU WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI NA KUWATAKA KUBUNI MIRADI MBALIMBALI YA KUONGEZA MAPATO NDANI YA JESHI HILO.