Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NMB Yadhamini Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji.

 Benki ya NMB imedhamini mkutano mkuu wa Mwaka wa Makanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Tanzania bara ulioanza leo mkoani Mororogoro. 
Katika mkutano huo, NMB imeweka mabanda ya maonyesho yanayotoa elimu juu ya huduma mbalimbali zinazopatikana ndani ya benki ya NMB pamoja na kutoa huduma za papo kwa papo ambapo wajumbe wa mkutano huo walipata wasaa wa kufungua akaunti za chap chap pamoja na kupata huduma za NMB Wakala. 
Kwa huduma za NMB Wakala, wateja wa NMB wanaweza kutoa na kuweka ...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

MKUU WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI AFANYA MABADILIKO YA MAKAMANDA

Mkuu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, (CGF) John W. Masunga, amefanya mabadiliko ya baadhi ya Makamanda wa Mikoa.
Makamanda walioguswa na mabadiliko hayo ni Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Zimamoto na Uokoaji (SACF) ABDALLAH MAUNDU anakwenda kuwa (RFO) Kamanda wa Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Kigoma, kabla ya nafasi hiialikuwa Makao Makuu Dodoma.
Aliyekuwa Kamanda wa Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Mara, Kamishna Msaidizi Mwandamizi (SACF) SALUM M. OMARI, anayekwenda kuwa (RFO) Kamanda wa Mkoa wa...

 

5 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU KADIO AKAGUA KIWANJA CHA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI DODOMA KINACHOTARAJIWA KUJENGWA MAKAZI YA MAOFISA NA ASKARI WA JESHI HILO

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio, wa kwanza kulia, akitoa maelekezo kwa Kamishna wa Utawala na Fedha wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Mbaraka Semwanza, pamoja na Maofisa Waandamizi wa Jeshi hilo, baada ya kumaliza kutembelea Kiwanja KK Plot 125 Mtumba Three, cha Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Dodoma, kinachotarajiwa kujengwa Makazi ya Maofisa na Askari wa Jeshi hilo, baada ya kupewa shilingi bilioni tano na Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt....

 

9 years ago

Michuzi

NAIBU KATIBU MKUU WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI NA KUWATAKA KUBUNI MIRADI MBALIMBALI YA KUONGEZA MAPATO NDANI YA JESHI HILO.

 Kaimu Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji,ambaye pia ni Kamishna wa Operesheni, Rogatius Kipali (kulia), akimkabidhi Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, John Mngodo, taarifa ya ujenzi la Jengo laa  linalotarajiwa kuwa Makao Makuu ya Jeshi hilo, alipotembelea Ofisi za Jeshi hilo zilizoko TAZARA ,jijini Dar es Salaam. Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, John Mngodo, akizungumza  na Maafisa wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji (hawapo pichani),...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI AZINDUA BARAZA DOGO LA WAFANYAKAZI JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI MJINI BAGAMOYO LEO

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil (kushoto) akizungumza na wajumbe wa Baraza Dogo la Wafanyakazi la Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kabla ya kulizindua Baraza hilo katika Hoteli ya Livingstone mjini Bagamoyo leo. Katika hotuba yake, Abdulwakil aliwataka viongozi wakuu wa jeshi hilo kushirikiana kikamilifu na watumishi wote ili kuleta mabadiliko chanya ndani ya jeshi hilo. Wapili kulia ni Kamishna Jenerali wa Jeshi hilo, Pius Nyambacha, Kulia ni...

 

11 years ago

Michuzi

BENKI YA NMB YADHAMINI MKUTANO MKUU WA MAKAMANDA WA POLISI MOSHI

BENKI ya NMB imetoa kiasi cha shilingi milioni 75, kudhamini mkutano mkuu wa siku sita wa Maafisa wa Jeshi la Polisi nchini unaoendelea katika chuo cha taaluma ya Jeshi la Moshi (MPA), Mkoani Kilimanjaro.   Mkutano huo ambao unajumuisha makamishna, makamanda wa mikoa ya Tanzania bara na Visiwani pamoja na maafisa wakuu waandamizi wa Jeshi hilo kutoka Makao makuu, ulizinduliwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhe.Pereira Sirima.   Akizungumza katika uzinduzi huo, Meneja wa NMB, kanda ya...

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA NMB YADHAMINI MKUTANO MKUU WA MAKAMANDA WA POLISI KWA MILIONI 75

Benki ya NMB leo imekabidhi hundi ya shilingi Milioni 75 kama udhamini wa mkutano wa mwaka wa maafisa wa Polisi nchini unaendelea mjini Dodoma katika ukumbi wa Kimataifa wa St Gasper.
Mkutano huo ambao unajumuisha makamishna, makamanda wa mikoa ya Tanzania bara na Visiwani pamoja na maafisa wakuu waandamizi wa Jeshi hilo kutoka Makao makuu, umezinduliwa leo na Waziri wa Mambo ya Ndani Mh Mathias Chikawe.
Akizungumza katika uzinduzi huo , Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa NMB,Tom Borgols, alisema...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani