Wake wenye VVU wapewa talaka Lindi
Baadhi ya wanaume mkoani hapa wanadaiwa kuwanyanyapaa wake zao kwa kuwapa talaka pindi wanapogundulika wana na maambukizi ya virusi Ukimwi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili17 Nov
Wapewa talaka kwa kuunga CCM Zanzibar
11 years ago
Tanzania Daima15 Mar
Wenye VVU walia na unyanyapaa
SHERIA ya kuzuia na kudhibiti ukimwi ya mwaka 2008, ilipitishwa na Bunge Februari 2008, kisha Rais Jakaya Kikwete kuweka saini kuidhinisha kuanza kutumika rasmi. Katika sheria hiyo sehemu ya saba...
10 years ago
Habarileo15 Dec
Vijana Lindi wapewa onyo
VIJANA wa Wilaya ya Lindi Mjini wametahadharishwa kutokubali kudanganywa na kutumiwa kufanya vurugu ambazo zinaharibu vitu vichache walivyonavyo na kwa kufanya hivyo wanarudisha nyuma maendeleo yao.
10 years ago
Habarileo15 Feb
Mradi wa ‘Sauti Yetu’ kusaidia wenye VVU
SHIRIKA lisilo la kiserikali linalohamasisha na kutetea haki za binadamu la WCSA linatekeleza mradi wa Sauti Yetu unaowalenga kuwasaidia watu wanaoishi na Virusi Vya Ukimwi (VVU) na Ukimwi ili sauti zao ziweze kusikika.
11 years ago
Tanzania Daima12 Jul
TUSHIKAMANE: Wanawake wenye VVU walioungana kutoa elimu
KAMA kawaida ya safu hii ni kukuletea habari za wanamama ambao habari zao hazisikiki wala kuandikwa. Nimekuwa nikiwaletea habari za mama mmoja mmoja na tutaendelea kufanya hivi, lakini leo imekuwa...
10 years ago
Tanzania Daima06 Sep
Zimamoto wakana kufukuza askari wanafunzi wenye VVU
JESHI la Zimamoto na Uokoaji limedai kuwa askari wanafunzi 37 waliyofukuzwa mafunzoni katika chuo cha Magereza Kiwira, Tukuyu mkoani Mbeya ni kutokana na kutokidhi vigezo mbalimbali tifauti na inavyodaiwa kwamba...
9 years ago
StarTV23 Sep
Wenye shughuli za kuhamahama wako hatarini zaidi kupata VVU:
Utafiti ulioendeshwa na Taasisi ya Kimataifa inayojihusisha na usafirishaji haramu wa binadamu IOM kwa ushirikiano na Jumuiya ya nchi za Kusini mwa Afrika SADC unaonesha kuwa jamii kubwa inayofanya shughuli za kiuchumi kwenye maeneo ya bandari iko kwenye hatari ya kuambukizwa ugonjwa wa UKIMWI kutokana na kutokuwepo kwa mtandao unaotoa elimu ya kupambana na ugonjwa huo kwenye mazingira yao.
Taarifa hiyo inasema, elimu juu ya matumizi ya kinga bado ni changamoto kwa jamii hiyo hivyo wengi...
11 years ago
Mwananchi21 Dec
MSEMAKWELI: Tuache kuwageuza wenye VVU kuwa watenda dhambi
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-A6Vm_ltNkH8/Xu0CwV7AlGI/AAAAAAALuq8/A9Vk0sKUUc4lest2ieD50muK5oIGL2v4QCLcBGAsYHQ/s72-c/PICHA-A-2048x1365.jpg)
CUAMM YAJENGA JENGO LA HUDUMA KWA WATU WENYE VVU SIMIYU
![](https://1.bp.blogspot.com/-A6Vm_ltNkH8/Xu0CwV7AlGI/AAAAAAALuq8/A9Vk0sKUUc4lest2ieD50muK5oIGL2v4QCLcBGAsYHQ/s640/PICHA-A-2048x1365.jpg)
Makamu wa Askofu wa Jimbo Katoliki Shinyanga, Padri Kizito Nyanga (katikati) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa jengo jipya la Huduma za tiba na matunzo kwa watuwanaoishi na Virusi vya Ukimwi (CTC) Juni 18, 2020 lililojengwa kwa msaada wa Shirika lisilo la Kiserikali la Doctors With Africa- CUAMM kupitia mradi wa Test and Treat; katika Zahanati ya Old Maswa inayomilikiwa na Kanisa Katoliki Jimbo la Shinyanga (Kulia) Kaimu Mganga Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Dkt....