Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mradi wa ‘Sauti Yetu’ kusaidia wenye VVU

SHIRIKA lisilo la kiserikali linalohamasisha na kutetea haki za binadamu la WCSA linatekeleza mradi wa Sauti Yetu unaowalenga kuwasaidia watu wanaoishi na Virusi Vya Ukimwi (VVU) na Ukimwi ili sauti zao ziweze kusikika.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

SHIRIKISHO LA VYAMA VYA WATU WENYE ULEMAVU TANZANIA WAIOMBA SERIKALI KUSAIDIA WATU WENYE UZIWI KUPATA TAARIFA SAHIHI KUHUSU CORONA


Na Said Mwishehe,Michuzi Globu ya jamii

UONGOZI wa Shirikisho la Vyama vya Watu wenye Ulemavu  Tanzania (SHIVYAWATA )lumesema kwamba uwepo wa tishio la virusi vya Corona (COVID-19) nchini umesababisha hofu kubwa kwa watu wenye uziwi kwani imekuwa ngumu kwao kupata maelekezo na miongozo ya Serikali pamoja na Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jisinsia, Wazee na Watoto.

Umesema kuwa matangazo mengi ambayo yametolewa na Wizara ya Afya yanashindwa kuwafikia watu wenye uziwi kwani hakuna watalaam wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wenye VVU walia na unyanyapaa

SHERIA ya kuzuia na kudhibiti ukimwi ya mwaka 2008, ilipitishwa na Bunge Februari 2008, kisha Rais Jakaya Kikwete kuweka saini kuidhinisha kuanza kutumika rasmi. Katika sheria hiyo sehemu ya saba...

 

10 years ago

Mwananchi

Wake wenye VVU wapewa talaka Lindi

Baadhi ya wanaume mkoani hapa wanadaiwa kuwanyanyapaa wake zao kwa kuwapa talaka pindi wanapogundulika wana na maambukizi ya virusi Ukimwi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Zimamoto wakana kufukuza askari wanafunzi wenye VVU

JESHI la Zimamoto na Uokoaji limedai kuwa askari wanafunzi 37 waliyofukuzwa mafunzoni katika chuo cha Magereza Kiwira, Tukuyu mkoani Mbeya ni kutokana na kutokidhi vigezo mbalimbali tifauti na inavyodaiwa kwamba...

 

11 years ago

Tanzania Daima

TUSHIKAMANE: Wanawake wenye VVU walioungana kutoa elimu

KAMA kawaida ya safu hii ni kukuletea habari za wanamama ambao habari zao hazisikiki wala kuandikwa. Nimekuwa nikiwaletea habari za mama mmoja mmoja na tutaendelea kufanya hivi, lakini leo imekuwa...

 

10 years ago

StarTV

Wenye shughuli za kuhamahama wako hatarini zaidi kupata VVU:

 

Utafiti ulioendeshwa na Taasisi ya Kimataifa inayojihusisha na usafirishaji haramu wa binadamu IOM kwa ushirikiano na Jumuiya ya nchi za Kusini mwa Afrika SADC unaonesha kuwa jamii kubwa inayofanya shughuli za kiuchumi kwenye maeneo ya bandari iko kwenye hatari ya kuambukizwa ugonjwa wa UKIMWI kutokana na kutokuwepo kwa mtandao unaotoa elimu ya kupambana na ugonjwa huo kwenye mazingira yao.

Taarifa hiyo inasema, elimu juu ya matumizi ya kinga bado ni changamoto kwa jamii hiyo hivyo wengi...

 

11 years ago

Mwananchi

MSEMAKWELI: Tuache kuwageuza wenye VVU kuwa watenda dhambi

>Nianze kwa kukusimulia kisa kimoja cha kusikitisha kilichomkuta msichana mmoja. Kisa hiki naamini kinawakuta watu wengi kwa njia tofauti, hasa wanaoishi na Virusi vya Ukimwi (VVU).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani