Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZIRI MKUU AZINDUA MKAKATI WA KUPAMBANA NA UNYANYAPAA WA VVU NCHINI

*Unajumuisha viongozi wa dini, Serikali, wanasiasa na wadau wa afya
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali inatambua nguvu kubwa waliyonayo viongozi wa dini katika jamii na itaendelea kutoa ushirikiano wa dhati katika kuyatekeleza na hatimaye kufikia malengo yanayotarajiwa katika mwitikio wa UKIMWI Tanzania.
“Serikali inaunga mkono tamko na maazimio mliyoyafikia leo hii na itaendelea kutoa ushirikiano wa dhati katika kuyatekeleza na kufikia malengo yanayotarajiwa katika mwitikio wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

SPIKA NDUGAI ELIMU YA VVU NDIO DAWA YA KUONDOA UNYANYAPAA KWA WATU WANAOISHI NA VVU NCHINI

Na Ahmed Mahmoud, Arusha
Serikali imeeleza kuwa suala la elimu ya masuala ya vvu kwa jamii ni jambo endelevu na linatakiwa kuendelea kutolewa hususani kwenye suala la unyanyapaa ambalo limendelea kushika kasi kwa watu wanaoishi na maambukizi ya ukimwi.

Akiongea kwenye mkutano wa viongozi wa dini na madhehebu mbalimbali ulioandaliwa na Bunge na Baraza la watu walioishi na VVU Spika wa bunge Job Ngugai alisema kuwa katika umoja wao viongozi wa dini wanauwezo wa kuvunja ukimya kuondoa ubaguzi na...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI CHIKAWE AZINDUA KIKOSI KAZI CHA KUPAMBANA NA UHALIFU WA KIMAZINGIRA NCHINI

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe akizungumza na viongozi wa wizara mbalimbali pamoja na Mashirika ya Kimataifa kabla ya kuzindua kikosi kazi cha kupambana na uhalifu wa kimazingira nchini kitakachokabiliana na Uvuvi haramu, Uwindaji haramu, Uvunaji wa miti haramu pamoja na uchimbaji wa madini haramu. Kikosi kazi hicho kimeundwa kwa kushirikisha Wizara za Mambo ya Ndani ya Nchi, Wizara Maliasili na Utalii, Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi na Ofisi ya Makamu wa Rais...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wenye VVU walia na unyanyapaa

SHERIA ya kuzuia na kudhibiti ukimwi ya mwaka 2008, ilipitishwa na Bunge Februari 2008, kisha Rais Jakaya Kikwete kuweka saini kuidhinisha kuanza kutumika rasmi. Katika sheria hiyo sehemu ya saba...

 

10 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA AZINDUA MKAKATI WA USAJILI NA KUTOA VYETI VYA KUZALIWA KWA WATOTO WA MWANZA

Naibu Waziri wa Katiba na sheria Mhe Ummy A. Mwalimu akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Mkakati wa Usajili na kutoa Vyeti vya Kuzaliwa kwa Watoto wenye Umri Chini ya Miaka Mitano wa Mkoa wa Mwanza. Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Ummy Mwalimu akihutubia Viongozi mbalimbali wa Serikali, Vyama vya Siasa na wananchi wakati wa uzinduzi wa Mkakati wa Usajili na kutoa Vyeti vya Kuzaliwa kwa Watoto wenye Umri chini ya Miaka Mitano Mkoa wa Mwanza. Mkakati unalenga kusogeza huduma za ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tacaids yaandaa mkakati kutokomeza VVU

TUME ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS) imeandaa mkakati wa kitaifa na kimataifa kutokomeza maambukizi mapya ya Virusi Vya Ukimwi (VVU) na vifo vinavyotokana na ugonjwa huo. Akizungumza na waandishi wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

ZIRO VVU; Mkakati wa kutokomeza maambukizi kwa watoto

“TANZANIA bila ukimwi inawezekana.” Msemo huu umekuwa ukisemwa sana na Rais Jakaya Kikwete katika hotuba zake. Si yeye pekee, bali pia viongozi, asasi na mashirika mbalimbali yaliyojitika kwenye mapambano dhidi...

 

11 years ago

Michuzi

MKUU WA WILAYA YA NKASI AZINDUA HUDUMA YA OPTION B PLUS MKOANI RUKWA (TIBA YA KUZUIA MAAMBUKIZI YA VVU KUTOKA KWA MAMA MJAMZITO KWENDA KWA MTOTO

Mkuu wa Wilaya ya Nkasi Iddi Hassan Kimanta kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya akikata utepe kuashiria kuzindua rasmi huduma ya Option B Plus Mkoani Rukwa jana tarehe 07 Juni, 2014 katika Kijiji cha Tamasenga Wilayani Sumbawanga. Huduma hiyo ina lengo la kutoa tiba ya kuzuia maambukizi ya virusi vya ukimwi kutoka kwa mama mjamzito kwenda kwa mtoto mchanga. Kaulimbiu ya huduma hiyo ikiwa "Amka Sasa Tokomeza VVU kwa Watoto, Kama mjamzito Pima VVU kwa maisha Bora,...

 

10 years ago

GPL

NAIBU WAZIRI OFISI YA WAZIRI MKUU TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA(TAMISEMI)MH.KASSIM MAJALIWA AZINDUA RASMI KAMPENI YA FISTULA MWISHONI MWA WIKI‏

Naibu waziri ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)Mh. Kassim Majaliwa (Kulia)akikabidhiwa hundi yanye thamani ya shilingi milioni 100/- na Meneja Biashara Idara ya Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Grace Lyon, kwa niaba ya hospitali ya CCBRT kwa ajili ya kampeni ya kutokomeza Fistula nchini  wakati wa Maadhimisho ya Kimataifa ya Fistula yaliyofanyika  kitaifa  katika Wilaya ya Mbogwe  mkoani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani