ZIRO VVU; Mkakati wa kutokomeza maambukizi kwa watoto
“TANZANIA bila ukimwi inawezekana.” Msemo huu umekuwa ukisemwa sana na Rais Jakaya Kikwete katika hotuba zake. Si yeye pekee, bali pia viongozi, asasi na mashirika mbalimbali yaliyojitika kwenye mapambano dhidi...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima24 Apr
Tacaids yaandaa mkakati kutokomeza VVU
TUME ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS) imeandaa mkakati wa kitaifa na kimataifa kutokomeza maambukizi mapya ya Virusi Vya Ukimwi (VVU) na vifo vinavyotokana na ugonjwa huo. Akizungumza na waandishi wa...
11 years ago
Habarileo25 Apr
Maambukizi VVU kwa watoto kufikia 5% mwaka 2015
WIZARA ya Afya na Ustawi wa Jamii inalenga kupunguza maambikizi ya virusi vya Ukimwi kwa watoto kutoka asilimia 26 hadi kufikia chini ya asilimia tano ifikikapo 2015.
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-_wPZiMksDwE/VGyB_eXuesI/AAAAAAAGyOY/MhWBs6EmAcQ/s72-c/images.jpg)
Watoto 130000 Wanaishi na Maambukizi ya VVU.
![](http://3.bp.blogspot.com/-_wPZiMksDwE/VGyB_eXuesI/AAAAAAAGyOY/MhWBs6EmAcQ/s1600/images.jpg)
TAKWIMU zinaonesha kwamba watoto 130000 wana maambukizi ya Virusi Vya UKIMWI (VVU) kati ya hao 39317 wamefikiwa na kupatiwa huduma ya dawa za kupunguza makali ya virusi hivyo.
Hayo yamesemwa leo na Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Dkt. Pindi Chana wakati akifungua kongamano la nne la kitaifa la VVU na UKIMWI kwa watoto linalofanyika katika Ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere uliopo jijini Dar-es-salaam.
Dkt . Chana alisema...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-A97rRFfuDlc/XtyAii9BQyI/AAAAAAALs3k/toHBU86pH0s2UwBc49VZYvpW0skTBHYUwCLcBGAsYHQ/s72-c/7fce7c90d38ac4c90a41698c6a00dbdb.jpg)
SERIKALI KUWEKA MKAKATI MADHUBUTI KUTOKOMEZA MAGONJWA SUGU KWA MIFUGO
![](https://1.bp.blogspot.com/-A97rRFfuDlc/XtyAii9BQyI/AAAAAAALs3k/toHBU86pH0s2UwBc49VZYvpW0skTBHYUwCLcBGAsYHQ/s640/7fce7c90d38ac4c90a41698c6a00dbdb.jpg)
Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi imeweka mkakati madhubuti wa kutokomeza Magonjwa yanayoandama mifugo ili kuwa na mifugo bora itakayozalisha kwa tija na kukuza uchumi wa nchi.
Kauli hiyo ilitolewa na Mkurugenzi wa Huduma za Mifugo wa Tanzania, Profesa Hezron Nonga katika Mkutano wa 45 wa Baraza la Veterinari uliofanyika jijini Dodoma Juni 4,
2020.
Akizungumza na Waandishi wa habari mara baada ya mkutano huo, Profesa Nonga alisema kuwa Tanzania kuna...
11 years ago
Tanzania Daima04 Jun
Maambukizi ya VVU kwa wajawazito yapungua
MAAMBUKIZI ya virusi vya ukimwi (VVU) kwa wajawazito yamepungua kutoka asilimia 3 hadi 2.3. Hayo yamebainishwa na Meneja wa shirika lisilo la kiserikali la EGPAF Mkoa wa Tabora, Alphaxard Lwitakubi, alipozungumza...
9 years ago
Habarileo02 Dec
Maambukizi VVU kwa wajawazito Dodoma yapungua
KIWANGO cha maambukizi ya virusi vya Ukimwi kwa wajawazito mkoani hapa kimeshuka kutoka asilimia 1.9 mwaka jana hadi kufikia asilimia 1.3 mwaka huu.
10 years ago
Mwananchi23 Feb
Maambukizi ya VVU yakithiri kwa wanaojidunga dawa za kulevya
11 years ago
Dewji Blog24 Jul
Tabia na tamaduni hatarishi zinazochangia maambukizi ya VVU kwa Vijana zabainishwa
Afisa Mradi wa Elimu ya Afya na VVU/UKIMWI kutoka UNESCO, Bw. Herman Mathias akitoa mada kuhusu tabia hatarishi zinazochangia maambukizi mapya ua VVU kwa Vijana katika warsha ya siku tatu ya Mradi wa SHUGA Redio inayofanyika katika Kituo cha Redio cha Nuru FM mjini Iringa.
Na Mwandishi wetu
Idadi kubwa ya Vijana hususan wa kike wenye umri kati ya miaka 15 hadi 24 wanaanza kufanya mapenzi katika umri mdogo jambo ambalo linaashiria hatari ya maambukizi ya VVU ikilinganishwa na idadi ya...