Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watoto 130000 Wanaishi na Maambukizi ya VVU.

Na Johary Kachwamba-MAELEZO.
TAKWIMU zinaonesha kwamba watoto 130000 wana maambukizi ya Virusi Vya UKIMWI (VVU) kati ya hao 39317 wamefikiwa na kupatiwa huduma ya dawa za kupunguza makali ya virusi hivyo.


Hayo yamesemwa leo na Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Dkt. Pindi Chana wakati akifungua kongamano la nne la kitaifa la  VVU na UKIMWI kwa watoto linalofanyika  katika Ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere uliopo jijini Dar-es-salaam. 
Dkt . Chana alisema...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Maambukizi VVU kwa watoto kufikia 5% mwaka 2015

WIZARA ya Afya na Ustawi wa Jamii inalenga kupunguza maambikizi ya virusi vya Ukimwi kwa watoto kutoka asilimia 26 hadi kufikia chini ya asilimia tano ifikikapo 2015.

 

11 years ago

Tanzania Daima

ZIRO VVU; Mkakati wa kutokomeza maambukizi kwa watoto

“TANZANIA bila ukimwi inawezekana.” Msemo huu umekuwa ukisemwa sana na Rais Jakaya Kikwete katika hotuba zake. Si yeye pekee, bali pia viongozi, asasi na mashirika mbalimbali yaliyojitika kwenye mapambano dhidi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Maambukizi VVU yapungua

MAAMBUKIZI ya virusi vya Ukimwi (VVU), kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto yamepungua kwa asilimia 90. Imeelezwa. Hayo yalisemwa na Meneja wa shirika la EGPAF Mkoa wa Tabora, Dk. Alphaxard...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Maambukizi ya VVU yapungua

TANZANIA imefanikiwa kupunguza viwango vya maambukizi mapya ya Virusi vya Ukimwi (VVU) kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto kutoka asilimia 26 mwaka 2009 hadi kufikia asilimia 15 mwaka 2012. Hayo...

 

10 years ago

Mwananchi

KUPUNGUZA MAAMBUKIZI YA VVU.

Jumuiya ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (Muhas), imeboresha hali ya vitendea kazi katika sehemu ambazo ni hatarishi zaidi ili kulinda watendaji wake dhidi ya maambukizi ya vvu yanayoweza kutokana na mazingira ya kazi

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tohara inapunguza maambukizi ya VVU

TAFITI kutoka nchi nyingi duniani zimebaini kwamba tohara kwa wanaume inapunguza maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU) kwa asilimia 60 kwa wanaume na asilimia 44 kwa wanawake. Pia imebaini kwamba...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Maambukizi ya VVU yaongezeka Moshi

MAAMBUKIZI ya virusi vya ukimwi (VVU) katika Halmashauri ya Wilaya ya Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro yameongezeka mara dufu kutoka asilimia 1.2 mwaka 2012 hadi asilimia 2.1 mwaka 2013. Takwimu hizo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Maambukizi ya VVU Katavi yaongezeka

KIWANGO cha maambukizi  ya  virusi vya ukimwi (VVU) mkoani Katavi,  yameongezeka  na kufikia  asilimia 5.9 ikilinganishwa  na asilimia 5.1 ya maambukizi ya VVU kitaifa. Taarifa hiyo ilitolewa mjini hapa jana...

 

11 years ago

Mwananchi

Maambukizi ya VVU yaongezeka migodini

Takwimu za maambukizi ya virusi vya Ukimwi, zimeongezeka katika maeneo yanayozunguka migodi ukilinganisha na maeneo mengine ya nchi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani