Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maambukizi ya VVU yakithiri kwa wanaojidunga dawa za kulevya

Serikali imetoka takwimu za utafiti wa maambukizi ya ukimwi nchini ukionyesha kuenea kwa kasi zaidi kwa maambukizi mapya ya VVU kwenye makundi maalumu ambayo ni wale wanaotumia dawa za kulevya ,Wanawake wanaofanya biashara ya ngono, na kundi la wanaume wanaofanya mapenzi ya jinsia moja.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Wanaojidunga dawa za kulevya wana VVU

ASILIMIA 36 ya watu wanaotumia dawa za kulevya kwa njia ya kujidunga sindano nchini, wana maambukizi ya virusi vya Ukimwi. Takwimu hizo huenda zikaongezeka, ikiwa jamii haitaelimishwa jinsi ya kupunguza madhara dhidi ya dawa hizo.

 

5 years ago

Michuzi

SPIKA NDUGAI ELIMU YA VVU NDIO DAWA YA KUONDOA UNYANYAPAA KWA WATU WANAOISHI NA VVU NCHINI

Na Ahmed Mahmoud, Arusha
Serikali imeeleza kuwa suala la elimu ya masuala ya vvu kwa jamii ni jambo endelevu na linatakiwa kuendelea kutolewa hususani kwenye suala la unyanyapaa ambalo limendelea kushika kasi kwa watu wanaoishi na maambukizi ya ukimwi.

Akiongea kwenye mkutano wa viongozi wa dini na madhehebu mbalimbali ulioandaliwa na Bunge na Baraza la watu walioishi na VVU Spika wa bunge Job Ngugai alisema kuwa katika umoja wao viongozi wa dini wanauwezo wa kuvunja ukimya kuondoa ubaguzi na...

 

5 years ago

Michuzi

Tanzania yashiriki Mkutano wa Kamisheni ya 63 ya Dawa za Kulevya ya Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Dawa za Kulevya na Jinai (UNODC) jijini Vienna, Austria

Kaimu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Madawa ya Kulevya Bw.james Kaji akiwasilisha hotuba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Mkutano wa Kamisheni ya 63 ya Dawa za Kulevya ya Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Dawa za Kulevya na Jinai (UNODC) kuhusu utekelezaji wa mikataba mbalimbali ya Kimataifa ya Madawa ya Kulevya. Tanzania katika mkutano huu, unaofanyika Vienna, Austria,imekuwa ni mfano bora wa namna ambavyo wameweza kujiimarisha katika Mapambano Dhidi ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Maambukizi ya VVU kwa wajawazito yapungua

MAAMBUKIZI ya virusi vya ukimwi (VVU) kwa wajawazito yamepungua kutoka asilimia 3 hadi 2.3. Hayo yamebainishwa na Meneja wa shirika lisilo la kiserikali la EGPAF Mkoa wa Tabora, Alphaxard Lwitakubi, alipozungumza...

 

9 years ago

Habarileo

Maambukizi VVU kwa wajawazito Dodoma yapungua

KIWANGO cha maambukizi ya virusi vya Ukimwi kwa wajawazito mkoani hapa kimeshuka kutoka asilimia 1.9 mwaka jana hadi kufikia asilimia 1.3 mwaka huu.

 

11 years ago

Habarileo

Maambukizi VVU kwa watoto kufikia 5% mwaka 2015

WIZARA ya Afya na Ustawi wa Jamii inalenga kupunguza maambikizi ya virusi vya Ukimwi kwa watoto kutoka asilimia 26 hadi kufikia chini ya asilimia tano ifikikapo 2015.

 

11 years ago

Tanzania Daima

ZIRO VVU; Mkakati wa kutokomeza maambukizi kwa watoto

“TANZANIA bila ukimwi inawezekana.” Msemo huu umekuwa ukisemwa sana na Rais Jakaya Kikwete katika hotuba zake. Si yeye pekee, bali pia viongozi, asasi na mashirika mbalimbali yaliyojitika kwenye mapambano dhidi...

 

11 years ago

Dewji Blog

Tabia na tamaduni hatarishi zinazochangia maambukizi ya VVU kwa Vijana zabainishwa

DSC_0092

 Afisa Mradi wa Elimu ya Afya na VVU/UKIMWI kutoka UNESCO, Bw. Herman Mathias akitoa mada kuhusu tabia hatarishi zinazochangia maambukizi mapya ua VVU kwa Vijana katika warsha ya siku tatu ya Mradi wa SHUGA Redio inayofanyika katika Kituo cha Redio cha Nuru FM mjini Iringa.

Na Mwandishi wetu

Idadi kubwa ya Vijana hususan wa kike wenye umri kati ya miaka 15 hadi 24 wanaanza kufanya mapenzi katika umri mdogo jambo ambalo linaashiria hatari ya maambukizi ya VVU ikilinganishwa na  idadi ya...

 

11 years ago

GPL

TABIA NA TAMADUNI HATARISHI ZINAZOCHANGIA MAAMBUKIZI YA VVU KWA VIJANA ZABAINISHWA‏

Afisa Mradi wa Elimu ya Afya na VVU/UKIMWI kutoka UNESCO, Bw. Herman Mathias akitoa mada kuhusu tabia hatarishi zinazochangia maambukizi mapya ua VVU kwa Vijana katika warsha ya siku tatu ya Mradi wa SHUGA Redio inayofanyika katika Kituo cha Redio cha Nuru FM mjini Iringa. Mratibu na Mkufunzi wa Redio Jamii kutoka UNESCO, Bi. Rose Haji Mwalimu akichangia mada iliyotolewa na Afisa Mradi wa Elimu ya Afya na VVU/UKIMWI… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani