Wanaojidunga dawa za kulevya wana VVU
ASILIMIA 36 ya watu wanaotumia dawa za kulevya kwa njia ya kujidunga sindano nchini, wana maambukizi ya virusi vya Ukimwi. Takwimu hizo huenda zikaongezeka, ikiwa jamii haitaelimishwa jinsi ya kupunguza madhara dhidi ya dawa hizo.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi23 Feb
Maambukizi ya VVU yakithiri kwa wanaojidunga dawa za kulevya
5 years ago
Michuzi
Tanzania yashiriki Mkutano wa Kamisheni ya 63 ya Dawa za Kulevya ya Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Dawa za Kulevya na Jinai (UNODC) jijini Vienna, Austria

5 years ago
Michuzi
SPIKA NDUGAI ELIMU YA VVU NDIO DAWA YA KUONDOA UNYANYAPAA KWA WATU WANAOISHI NA VVU NCHINI
Serikali imeeleza kuwa suala la elimu ya masuala ya vvu kwa jamii ni jambo endelevu na linatakiwa kuendelea kutolewa hususani kwenye suala la unyanyapaa ambalo limendelea kushika kasi kwa watu wanaoishi na maambukizi ya ukimwi.
Akiongea kwenye mkutano wa viongozi wa dini na madhehebu mbalimbali ulioandaliwa na Bunge na Baraza la watu walioishi na VVU Spika wa bunge Job Ngugai alisema kuwa katika umoja wao viongozi wa dini wanauwezo wa kuvunja ukimya kuondoa ubaguzi na...
10 years ago
Dewji Blog22 Jan
Kamati ya Masuala ya Ukimwi na Madawa ya Kulevya yajadili Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa Dawa za Kulevya ya mwaka 2014
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia mambo ya Bunge, Sera na Uratibu Mhe. William Lukuvi akifungua kikao cha Kamati ya Masuala ya Ukimwi na Madawa ya Kulevya kujadili Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa Dawa za Kulevya ya mwaka 2014 kilichofanyika 22/01/2015 katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wadau toka Taasisi mbalimbali zisizo za Kiserikali wakichangia mada kupitia vifungu mbalimbali vya Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa...
11 years ago
BBCSwahili30 Oct
Adhabu kali si dawa ya dawa za kulevya
10 years ago
Mwananchi20 May
Biashara ya dawa za kulevya
11 years ago
BBCSwahili07 Oct
Dawa za kulevya michezoni ni faida?
11 years ago
Uhuru Newspaper27 Oct
Vigogo wa dawa za kulevya watoweka
Wauza mahekalu, magari wakimbilia nje Mawakala wahaha, polisi wapigwa butwaa
LChikawe: Tutawanasa wote kimya kimya
NA MWANDISH WETU
SIKU chache baada ya kunaswa kwa watuhumiwa wanaotajwa kuwa ni vinara wa kusafirisha na kuingiza dawa za kulevya nchini, hali imeanza kuwa tete kwa vigogo wengine wa biashara hiyo.
Baadhi ya vigogo wakiwemo wafanyabiashara wakubwa nchini, wameanza kukimbia nje ya nchi kukwepa mkono wa sheria, huku wengine wakisubiri hali itulie ndipo wajitokeze.
Hatua hiyo inatokana...
11 years ago
Tanzania Daima26 Dec
Maiti yabambwa na dawa za kulevya
JESHI la Polisi mkoani Morogoro limenasa kete 24 za dawa za kulevya kwenye mwili wa marehemu Khalid Abdul Kitala (47) mkazi jijini Dar es Salaam. Mwili wa marehemu Kitala aliyekuwa...