Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kamati ya Masuala ya Ukimwi na Madawa ya Kulevya yajadili Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa Dawa za Kulevya ya mwaka 2014

PIX 1

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia mambo ya Bunge, Sera na Uratibu Mhe. William Lukuvi akifungua kikao cha Kamati ya Masuala ya Ukimwi na Madawa ya Kulevya kujadili Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa Dawa za Kulevya ya mwaka 2014 kilichofanyika 22/01/2015 katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.

PIX 2

Baadhi ya wadau toka Taasisi mbalimbali zisizo za Kiserikali wakichangia mada kupitia vifungu mbalimbali vya Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

UZINDUZI WA KAMATI YA KITAALAMU YA TUME YA KURATIBU NA UDHIBITI WA MADAWA YA KULEVYA ZANZIBAR


Na Ramadhan Ali-Maelezo ZANZIBAR  Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Fatma Abdulhabib Ferej (pichani) amesema juhudi za Serikali ya kuwasogezea wananchi maendeleo hazitokuwa na tija iwapo wimbi la vijana wa Zanzibar watatumika kusafirisha dawa za kulevya na wataendelea kuwa wahanga wa matumizi ya dawa hizo.   Amesema hatma ya maendeleo ya Taifa itategemea zaidi vijana wenye mwelekeo mzuri wa tabia na waliojiepusha na matumizi ya mihadharati ambayo inahatarisha afya...

 

10 years ago

GPL

KAMATI YA BUNGE YA UKIMWI NA MADAWA YA KULEVYA YATEMBELEA MAKAO MAKUU YA PSPF, WAFURAHISHWA NA MAFANIKIO YALIYOFIKIWA

Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Pensheni wa PSPF  Bw. George Yambesi (katikati) akizungumza na wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Ukimwi na Madawa ya Kulevya leo walipotembelea Makao Makuu ya PSPF, jijini Dar es salaam kuona namna mfuko huo ulivyopiga hatua katika  kuboresha maisha ya wananchama wake na mapambano dhidi ya ugonjwa wa Ukimwi na madawa ya kulevya. Kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe.Lediana...

 

10 years ago

Michuzi

KAMATI YA BUNGE YA UKIMWI NA MADAWA YA KULEVYA YATEMBELEA MAKAO MAKUU YA PSPF, WAFURAHISHWA NA MAFANIKIO YALIYOFIKIWA

Mkurugenzi Mkuu wa PSPF Bw. Adam Mayingu akisalimiana na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Ukimwi na Madawa ya Kulevya Mhe. Lediana Mg'ong'o Mkurugenzi Mkuu wa PSPF Bw. Adam Mayingu akitoa taarifa kwa wajumbe wa Kamati ya Bunge ya inayoshughulikia masuala ya Ukimwi na Madawa ya Kulevya walipotembelea Makao Makuu ya PSPF, jijini Dar es salaam.Kushoto ni viongozi wa Kamati hiyo Mhe. Diana Chilolo, Makamu Mwenyekiti na Lediana Mg’ong’o, Mwenyekiti wa kamati hiyo. Mwenyekiti wa Kamati ya...

 

5 years ago

Michuzi

Tanzania yashiriki Mkutano wa Kamisheni ya 63 ya Dawa za Kulevya ya Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Dawa za Kulevya na Jinai (UNODC) jijini Vienna, Austria

Kaimu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Madawa ya Kulevya Bw.james Kaji akiwasilisha hotuba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Mkutano wa Kamisheni ya 63 ya Dawa za Kulevya ya Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Dawa za Kulevya na Jinai (UNODC) kuhusu utekelezaji wa mikataba mbalimbali ya Kimataifa ya Madawa ya Kulevya. Tanzania katika mkutano huu, unaofanyika Vienna, Austria,imekuwa ni mfano bora wa namna ambavyo wameweza kujiimarisha katika Mapambano Dhidi ya...

 

10 years ago

GPL

WATUHUMIWA WA MADAWA YA KULEVYA MWAKA 2010 WATINGA KISUTU

Watuhumiwa hao wakitolewa mahabusu kwenda kizimbani kusikiliza kesi yao, hata hivyo haikusikilizwa kwa sababu hakimu hakuwepo.
Mtuhumiwa Leila aliyejitanda nguo akizungumza na askari magereza mahakamani hapo.…

 

5 years ago

Michuzi

Kaimu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Dawa za Kulevya James Kaji aunguruma jijini Vienna, Austria

 Kaimu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Madawa ya Kulevya James Kaji akiwasilisha hotuba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Mkutano wa Kamisheni ya 63 ya Dawa za Kulevya ya Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Dawa za Kulevya na Jinai (UNODC) kuhusu utekelezaji wa mikataba mbalimbali ya Kimataifa ya Madawa ya Kulevya. Tanzania katika mkutano huu unaofanyika jijini Vienna, Austria, imekuwa ni mfano bora kwa namna ambavyo wameweza kujiimarisha katika Mapambano Dhidi ya...

 

10 years ago

Michuzi

Mh. Lukuvi atoa taarifa ya Hali ya Madawa ya Kulevya nchini kwa Mwaka 2013


Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera,Uratibu na Bunge),Mh. William Lukuvi akisoma taarifa ya Hali ya Madawa ya Kulevya nchini kwa Mwaka 2013,wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari (hawapo pichani) Mjini Dodoma leo.
Sehemu ya waandishi wa habari wakiwa kwenye mkutano huo.Kitabu cha Kurasa 56 chenye taarifa ya Hali ya Dawa za Kulevya kwa Mwaka 2013.Baadhi ya picha za vielelezo ndani ya taarifa hiyo.Picha na Deusdedit Moshi,Globu ya Jamii,Kanda ya Kati.

 

10 years ago

Habarileo

Sheria mpya kudhibiti dawa za kulevya yaja

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge, William LukuviSERIKALI imetunga Sheria mpya kali zaidi itakayoondoa changamoto zilizokuwa zikijitokeza wakati wa matumizi ya Sheria ya Kuzuia Biashara Haramu ya Dawa za Kulevya Namba 9 ya mwaka 1995 inayotumika sasa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani