Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mh. Lukuvi atoa taarifa ya Hali ya Madawa ya Kulevya nchini kwa Mwaka 2013


Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera,Uratibu na Bunge),Mh. William Lukuvi akisoma taarifa ya Hali ya Madawa ya Kulevya nchini kwa Mwaka 2013,wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari (hawapo pichani) Mjini Dodoma leo.
Sehemu ya waandishi wa habari wakiwa kwenye mkutano huo.Kitabu cha Kurasa 56 chenye taarifa ya Hali ya Dawa za Kulevya kwa Mwaka 2013.Baadhi ya picha za vielelezo ndani ya taarifa hiyo.Picha na Deusdedit Moshi,Globu ya Jamii,Kanda ya Kati.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

OFISI YA MKEMIA MKUU YATOA TAARIFA YA DAWA ZA KULEVYA YA MWAKA 2013 NCHINI

Kushoto ni  Mkuu wa kitengo cha Jinai Kemia, Elias Mulima pamoja na Mkurugenzi wa Idara ya Sayansi na Makosa ya Jinai na Vinasaba, Gloria Omary wakisikiliza maswali kutoka kwa wanahabari (hawapo pichani). Wanahabari wakimsikiliza Gloria Omary alipokuwa akizungumza katika hafla hiyo.…

 

11 years ago

Michuzi

Wasira awasilisha Bungeni Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2013 na Mpango na Maendeleo wa Taifa 2014/15

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mahusiano na Uratibu, Mheshimiwa Stephen Masato Wasira (Mb) Akiwasilisha Bungeni Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2013 na Mpango na Maendeleo wa Taifa 2014/15. Wageni wa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mahusiano na Uratibu, Mheshimiwa Stephen Masato Wasira (Mb) ambao ni baadhi ya viongozi waandamizi wa Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango wakifuatilia kwa umakini uwasilishaji wa Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2013 na Mpango na...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kamati ya Masuala ya Ukimwi na Madawa ya Kulevya yajadili Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa Dawa za Kulevya ya mwaka 2014

PIX 1

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia mambo ya Bunge, Sera na Uratibu Mhe. William Lukuvi akifungua kikao cha Kamati ya Masuala ya Ukimwi na Madawa ya Kulevya kujadili Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa Dawa za Kulevya ya mwaka 2014 kilichofanyika 22/01/2015 katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.

PIX 2

Baadhi ya wadau toka Taasisi mbalimbali zisizo za Kiserikali wakichangia mada kupitia vifungu mbalimbali vya Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa...

 

11 years ago

CloudsFM

RAY C AENDELEA NA HARAKATI ZAKE,ATOA ELIMU JUU YA ATHARI ZA MADAWA YA KULEVYA KWA WANAFUNZI WA MAKONGO

STAA wa Bongo Fleva,Rehema Chalamila’Ray C’ameendelea na harakati zake za kutoa elimu juu ya athari za madawa ya kulevya kwenye jamii. Hivi karibuni msanii huyo kupitia Ray C Faundatiaon alitembelea shule ya sekondari ya Makongo na kutoa elimu juu ya athari za madawa hayo kwa wanafunzi wa shule hiyo.Kupitia account yake ya Instagram aliandika hivi…Ray C Foundation ikitoa Elimu Juu ya athari za madawa ya kulevya katika shule ya secondary Makongo......na Ina mpango wa kuzunguka shule zote za...

 

10 years ago

GPL

MADAWA YA KULEVYA, CHONJI HALI TETE

HALI tete, siku chache baada ya mfanyabiashara maarufu jijini Dar es Salaam, Muharani Mohammed Abdallah, maarufu kama Chonji kukamatwa na kutupwa gerezani kwa tuhuma za kukamatwa na dawa kulevya, sasa mali zake zimeanza kuchunguzwa. Mfanyabiashara maarufu jijini Dar es Salaam, Muharani Mohammed Abdallah, maarufu kama Chonji(mwenye suti), akiwa chini ya ulinzi. Vyanzo vyetu makini kutoka jeshi la polisi zinasema kuwa mali...

 

10 years ago

GPL

WATUHUMIWA WA MADAWA YA KULEVYA MWAKA 2010 WATINGA KISUTU

Watuhumiwa hao wakitolewa mahabusu kwenda kizimbani kusikiliza kesi yao, hata hivyo haikusikilizwa kwa sababu hakimu hakuwepo.
Mtuhumiwa Leila aliyejitanda nguo akizungumza na askari magereza mahakamani hapo.…

 

11 years ago

Michuzi

WAPAKISTANI WALIOKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA WATOROKA NCHINI

Mtuhumiwa Abdul Ghan Peer Bux.
 Imeelezwa kwamba Wapakistani wawili, Abdul Ghan Peer Bux na Shahbaz Malk (pichani) waliokamatwa  wakiwa  na  Watanzania  wanaotuhumiwa kwa kukutwa  na  madawa ya kulevya wametoroka nchini. 
Watuhumiwa hao walikamatwa Februari 21, 2011wakiwa na madawa ya kulevya yenye thamani ya  shilingi  bilioni 6.2,  Mbezi Beach  maeneo ya  Jogoo  jijini Dar sa Salaam.Habari za uchunguzi ndani ya Mahakama Kuu zinasema kuwa, Jaji Grace Mwakipesile anayesikiliza kesi  hiyo ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani