RAY C AENDELEA NA HARAKATI ZAKE,ATOA ELIMU JUU YA ATHARI ZA MADAWA YA KULEVYA KWA WANAFUNZI WA MAKONGO
STAA wa Bongo Fleva,Rehema Chalamila’Ray C’ameendelea na harakati zake za kutoa elimu juu ya athari za madawa ya kulevya kwenye jamii. Hivi karibuni msanii huyo kupitia Ray C Faundatiaon alitembelea shule ya sekondari ya Makongo na kutoa elimu juu ya athari za madawa hayo kwa wanafunzi wa shule hiyo.
Kupitia account yake ya Instagram aliandika hivi…Ray C Foundation ikitoa Elimu Juu ya athari za madawa ya kulevya katika shule ya secondary Makongo......na Ina mpango wa kuzunguka shule zote za...
CloudsFM
Habari Zinazoendana
11 years ago
Vijimambo
ALICHOKISEMA RAY C KUHUSU KUKAMATWA KWA CHIDI BENZ NA MADAWA YA KULEVYA

kutafuta suluhu,nimejaribu kila njia kukushauri badala yake ukaja na rungu la kimasai na kunitandika nalo nyumbani kwangu!nadhani janga hili lililokukuta litakuwa Kama jibu kwako kwamba
unakoenda si salama kabisa kaka yangu ni bora ubadilishe njia...
10 years ago
Michuzi
DUNIA KUJADILI CHANGAMOTO NA ATHARI YA MADAWA YA KULEVYA

10 years ago
Michuzi
Mh. Lukuvi atoa taarifa ya Hali ya Madawa ya Kulevya nchini kwa Mwaka 2013

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera,Uratibu na Bunge),Mh. William Lukuvi akisoma taarifa ya Hali ya Madawa ya Kulevya nchini kwa Mwaka 2013,wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari (hawapo pichani) Mjini Dodoma leo.




10 years ago
Dewji Blog28 Jun
Ray C Foundation yasaidia vijana zaidi ya 70 kuachana madawa ya kulevya
Mwanadada aliyewahi kung’ara kwenye tasnia ya muziki nchini na Afrika Mashariki, Rehema Chalamila ‘Ray C’ akihojiwa na wandishi wa habari wakati wa kilele cha siku ya Kimataifa kupinga matumizi ya dawa za kulevya na usafirishaji, iliyofanyika Juni 26, Bagamoyo-Pwani.
Na Andrew Chale, Modewjiblog, Bagamoyo
Mwanadada aliyewahi kung’ara katika tasnia ya muziki wa kizazi kipya, Rehema Chalamila ‘Ray C’ amesema moja ya sababu iliyomfanya kuanzisha taasisi yake ya kupambana madawa ya kulevya ya...
11 years ago
CloudsFM29 May
RAY C AMSAIDIA VIDEO QUEEN WA NGOMA YA NOORAH ALIYEATHIRIKA NA MADAWA YA KULEVYA
STAA wa Bongo Fleva Rehema Chalamila’Ray C’amemsaidia aliyekuwa video Queen wa ngoma ya Ice Cream ya msanii wa siku nyingi wa muziki huo Noorah baada ya kuathirika na utumiaji wa madawa ya kulevya.
Kupita ukurasa wa Instagram Ray C ambaye nae aliwahi kukumbwa na tatizo hilo akiweka picha yake pamoja na Doreen huku akidai kuwa amempata na amekubali kuanza matibabu kuachana na dawa za kulevya. Ray C ameandika kupitia ukurasa wake wa Instagram dakika chache zilizopita kuwa ”rayc1982 Mungu ni...
10 years ago
CloudsFM08 Jan
RAY C AFUNGUKA HABARI ZILIZOENEA KUWA AKATISHA DOZI YA MADAWA YA KULEVYA
Msanii mkongwe wa Bongo Fleva,Rehema Chalamila’’Ray C’’amefunguka habari zilizoenea kuwa amekatisha dozi ya kuacha madawa ya kulevya ya Methadone anayoichukua katika hospitali ya Mwananyamala,jijini Dar.
11 years ago
Michuzi
Wananchama wa Chama cha Wafanyakazi wa Taasisi za Elimu ya Juu, Sayansi, Teknolojia, Habari na Utafiti nchini (RAAWU), Tawi la Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) wakutana
9 years ago
Michuzi
DKT KIGWANGALLA ATOA USHAURI WAKE JUU YA UDHIBITI WA MADAWA SERIKALINI

MBUNGE mteule jimbo la Nzega vijijini Dkt Hamisi Kigwangalla (CCM) ametoa ushauri kwa wizara husika juu ya udhibiti wa kuvuja kwa madawa serikalini na kwenda kwenye maduka binafsi.
Kupitia ukarasa wake facebook Kigwangalla amesema #Sasa Kazi Tu Changamoto ya Udhibiti wa Kuvuja Madawa Kutoka Mfumo wa Serikali Kwenda Kwenye Maduka ya Watu Binafsi ni Katika Mambo ambayo mgombea Urais wa CCM, Ndg. John Pombe Magufuli alionesha kuwa...