Wananchama wa Chama cha Wafanyakazi wa Taasisi za Elimu ya Juu, Sayansi, Teknolojia, Habari na Utafiti nchini (RAAWU), Tawi la Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) wakutana
![](http://2.bp.blogspot.com/-KpP6UOlLcGA/UwuWeczkRMI/AAAAAAAFPTA/Ah0uRv8o32k/s72-c/se1.jpg)
Wananchama wa Chama cha Wafanyakazi wa Taasisi za Elimu ya Juu, Sayansi, Teknolojia, Habari na Utafiti nchini (RAAWU), Tawi la Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) wamekutana kwa semina ya siku mbili mwishoni mwa wiki iliyopita kupitia pamoja na mambo mengine; masuala ya nafasi na wajibu wa kisheria wa vyama vya wafanyakazi katika kuleta tija na ufanisi sehemu za kazi. Akifungua semina hiyo ya siku mbili kwa wanachama wa RAAWU tawi la HESLB, Kaimu Mkurugenzi Msaidizi wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi07 Dec
Nafasi ya kazi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB)
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-jM1o7O6hdjw/VaaBI8AGdBI/AAAAAAABRzk/sdo2WPNb7xM/s72-c/New%2BPicture%2B%25284%2529.jpg)
BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU YASOGEZA MBELE TAREHE YA MWISHO YA KUPOKEA MAOMBI YA MIKOPO
![](http://3.bp.blogspot.com/-jM1o7O6hdjw/VaaBI8AGdBI/AAAAAAABRzk/sdo2WPNb7xM/s640/New%2BPicture%2B%25284%2529.jpg)
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inapenda kuwafahamisha Waombaji wa mikopo na Umma kwa ujumla kuwa muda wa kuwasilisha maombi ya mikopo umeongezwa mbele hadi tarehe 31 Julai, 2015.
Hatua hii imechukuliwa ili kuwapa fursa wale ambao kwa sababu mbalimbali hawakuweza kufanya maombi ya mikopo katika muda uliopangwa. Itakumbukwa kuwa, awali Bodi ilianza kupokea maombi kwa njia ya mtandao tarehe 4 Mei, 2015 na mwisho wa kuwasilisha maombi ulipangwa kuwa tarehe 30 Juni, 2015.
Kupitia...
10 years ago
Dewji Blog20 Aug
Wanafunzi wa stashahada ya ualimu wa masomo ya Sayansi na Hisabati UDOM kunufaika na mikopo ya elimu ya juu
Mkurugenzi Msaidizi Habari, Elimu na Mawasiliano toka Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu Bw. Cosmas Mwaisobwa akiongea na waandishi wa habari(hawapo pichani) kuhusu maandalizi ya utoaji mikopo kwa mwaka wa masomo 2014/2015, wakati wa mkutano uliofanyika leo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari (MAELEZO) Bi. Zamaradi Kawawa.
Baadhi ya Waaandishi wa Habari wakimsikiliza Mkurugenzi Msaidizi Habari, Elimu na Mawasiliano toka Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa...
11 years ago
MichuziBODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU YAZUNGUMZA NA WANAHABARI DAR ES SALAAM LEO
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu ilianzishwa kwa sheria Na. 9 ya mwaka 2004 na kuanza rasmi majukumu yake Julai 2005. Bodi ina majukumu...
11 years ago
MichuziWAAJIRI NCHINI KUCHUKULIWA HATUA NA BODI YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU
Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu nchini imepanga kuwachukulia hatua waajiri wote nchini kwa kushindwa kuwasilisha taarifa za wahitimu wa...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-osmbxl6-X64/VbDWFGJ_DTI/AAAAAAACgM8/K1_6NtUq47c/s72-c/2.jpg)
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MAONESHO YA 10 YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA YA VYUO VYA ELIMU YA JUU NCHINI.
![](http://2.bp.blogspot.com/-osmbxl6-X64/VbDWFGJ_DTI/AAAAAAACgM8/K1_6NtUq47c/s640/2.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-8UvF0UU_NZQ/VbDWJzHJOOI/AAAAAAACgNE/ysScJJibNR0/s640/3.jpg)
10 years ago
GPLBODI YA MIKOPO ELIMU YA JUU YAELEZEA UREJESHWAJI WA MIKOPO
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-ZAKwFZCEa9o/U_8C2qEQnLI/AAAAAAAGKLM/3C6ya1ZfU_Y/s72-c/unnamed%2B(20).jpg)
BG Tanzania yawadhamini wanafunzi kumi kupata elimu ya juu ngazi ya stashahada ya uzamili ( Masters of science degree) ya sayansi nchini Uingereza
Katika hafla hii, wanafunzi watapata fursa ya kukutana na Meneja Mkuu wa BG Tanzania ( Derek Hudson) pamoja na wafanyakazi na wadau Mbalimbali.
Udhamini huu wa elimu ya juu ni kati ya mpango mkakati wa maendelo ya jamii...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-LCHK9nz4FDQ/U-DeZgFR0QI/AAAAAAAAkyA/iNfP8KW7ey8/s72-c/unnamed.jpg)
Waziri Makame azindua Mtandao wa Kuunganisha Taasisi za Elimu ya Juu na Utafiti
![](http://1.bp.blogspot.com/-LCHK9nz4FDQ/U-DeZgFR0QI/AAAAAAAAkyA/iNfP8KW7ey8/s1600/unnamed.jpg)
Mtandao huo umeunganisha Taasisi za Elimu ya Juu na Utafiti 22 nchini ambapo Vyuo Vikuu mbalimbali nchini vinaweza kuwasiliana, kutoa huduma ya elimu mtandao, maktaba mtandao,...