Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BG Tanzania yawadhamini wanafunzi kumi kupata elimu ya juu ngazi ya stashahada ya uzamili ( Masters of science degree) ya sayansi nchini Uingereza

27 Agosti, 2014, Dar es Salaam, Tanzania–BG Tanzania ilia​ndaa ​hafla kwa ajili ya kuwaaga wanafunzi kumi watanzania wali​o​faulu kupata udhamini wa elimu ya juu ngazi ya stashahada ya uzamili ( Masters of science degree ) ya sayansi kwenye vyuo vikuu nchini Uingereza.
Katika hafla hii, wanafunzi watapata fursa ya kukutana na Meneja Mkuu wa BG Tanzania ( Derek Hudson) pamoja na wafanyakazi na wadau Mbalimbali.
Udhamini huu wa elimu ya juu ni kati ya mpango mkakati wa maendelo ya jamii...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Wanafunzi wa stashahada ya ualimu wa masomo ya Sayansi na Hisabati UDOM kunufaika na mikopo ya elimu ya juu

IMG_1680

Mkurugenzi Msaidizi Habari, Elimu na Mawasiliano toka Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu Bw. Cosmas Mwaisobwa akiongea na waandishi wa habari(hawapo pichani) kuhusu maandalizi ya utoaji mikopo kwa mwaka wa masomo 2014/2015, wakati wa mkutano uliofanyika leo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari (MAELEZO) Bi. Zamaradi Kawawa.

IMG_1689

Baadhi ya Waaandishi wa Habari wakimsikiliza Mkurugenzi Msaidizi Habari, Elimu na Mawasiliano toka Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa...

 

11 years ago

Michuzi

Wananchama wa Chama cha Wafanyakazi wa Taasisi za Elimu ya Juu, Sayansi, Teknolojia, Habari na Utafiti nchini (RAAWU), Tawi la Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) wakutana

Wananchama wa Chama cha Wafanyakazi wa Taasisi za Elimu ya Juu, Sayansi, Teknolojia, Habari na Utafiti nchini (RAAWU), Tawi la Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) wamekutana kwa semina ya siku mbili mwishoni mwa wiki iliyopita kupitia pamoja na mambo mengine; masuala ya nafasi na wajibu wa kisheria wa vyama vya wafanyakazi katika kuleta tija na ufanisi sehemu za kazi.   Akifungua semina hiyo ya siku mbili kwa wanachama wa RAAWU tawi la HESLB, Kaimu Mkurugenzi Msaidizi wa...

 

10 years ago

Michuzi

Mdau Ephrahim Mushi alamba Nondozz yake ya Masters degree in Environmental Science katika Chuo Kikuu cha Wageningen University nchini Uholanzi

Mhandisi Ephrahim Mushi wa Wizara ya Nishati na Madini akiwa ameshika Nondozz yake ya Uzamili ya Sayansi ya Mazingira (Masters degree in Environmental Science) mara baada ya kuipokea katika chuo kikuu cha Wageningen University nchini Uholanzi siku ya Alhamisi tarehe 26 Septemba, 2014 na baadae kulifanyika tafrija ya mkia wa jogoo (Cocktail Party) ya kupongezana iliyofanyika katika hoteli ya De Werled katika mji wa Wageningen,nchini humo.Mhandisi Ephrahim Mushi wa Wizara ya Nishati na Madini...

 

9 years ago

StarTV

Masomo Ya Sayansi Ya Kijeshi  TMA, IAA kuanzishwa ngazi ya shahada, stashahada

 

Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi TMA kimesaini mkataba wa makubaliano na chuo cha IAA wa kuanzishwa program ya shahada pamoja na stashahada ya uzamili ya  masomo ya sayansi ya kijeshi.

Programu hiyo ina lengo la kuzalisha maofisa watakaokuwa na weledi katika kufikiri na kutekeleza wajibu wao kwenye masuala ya ulinzi.

Makubaliano hayo yamesainiwa na mkuu wa chuo cha mafunzo ya kijeshi kilichopo Monduli mkoani Arusha Meja Jenerali Paul Masao na mkuu wa taasisi ya mafunzo ya uhasibu iliyopo mkoani...

 

10 years ago

Michuzi

Eng. Ahmed Dau Alamba Nondozzzz ya Masters of Science Degree in Petroleum, Energy, Economics and Finance katika Chuo Kikuu cha Aberdeen

 Eng. Ahmed Dau akila pozi baada ya kulamba Nondozzzz ya Masters of Science Degree in Petroleum, Energy, Economics and Finance katika Chuo Kikuu cha Aberdeen Eng. Ahmed na Wazazi wake Dr Ramadhani K Dau na Mrs Zeinab Dau Kwenye mahafari Chuo Kikuu cha Aberdeen Waliosimama kutoka kushoto Meya wa London Haruna Mbeyu, Abdul Dau, Mohamed Janguo, Kheri Mahimbali (MSc oil and gas class of Feb 2014 Aberdeen). Walioketi kutoka kushoto Dr Ramadhani K Dau, Eng. Ahmed Dau na Mrs Zeinab Dau. Kwa picha...

 

9 years ago

Michuzi

IRELAND YAWADHAMINI WATANZANIA 14 KWA SHAHADA YA UZAMILI

Balozi wa Ireland nchini Tanzania, Bi. Fionnuala Gilsenan, akitoa hotuba yake wakati wa maonyesho ya sayansi kwa wanafunzi wa sekondari yanayoandaliwa na shirika la YST ambayo pia Ubalozi wake unadhamini kila mwaka.
Na Daniel Mbega

UBALOZI wa Ireland nchini Tanzania, umewapatia scholarship Watanzania 14 ili kusoma kozi mbalimbali za shahada ya uzamili (masters) na huku wanne kati yao wakienda kusoma vyuo vya nje ya nchi hasa University College Dublin, Dublin Institute of Technology na National...

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MAONESHO YA 10 YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA YA VYUO VYA ELIMU YA JUU NCHINI.

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikata utepe kuashiria kufungua  rasmi Maonesho ya 10 ya Sayansi ya Teknolojia ya Vyuo vya Elimu ya Juu, nchini yanayoendelea kwenye Viwanja vya Maonesho ya Biashara ya Kimataifa ya Sabasaba, jijini Dar es Salaam.  Maonesho hayo yamefunguliwa rasmi leo. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa mvumbuzi wa mashine ya kuchujia maji safi, Dkt....

 

10 years ago

Michuzi

BG TANZANIA KUZINDUA UDHAMINI WA SHAHADA YA UZAMILI YA SAYANSI YA MAFUTA NA GESI - CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM

BG Tanzania imetangaza  kutoa udhamini kwa wanafunzi 13 wa shahada ya uzamili  ya sayansi ya mafuta na gesi (MSc. in Petroleum Geology) itakayotolewa katika Chuo Kikuu cha Dar es salaam, Idara ya  Jiolojia  kwa mwaka wa masomo 2014/2015. Udhamini huu utahusisha malipo ya gharama za ada,  vitabu, pesa ya kijikimu na utafiti kwa muda wa miezi 18.
Katika hafla ya  uzinduzi huu, Mgeni rasimi alikuwa  Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh.  Mizengo Kayanza Pinda. Wageni wengine walio...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani