Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Masomo Ya Sayansi Ya Kijeshi  TMA, IAA kuanzishwa ngazi ya shahada, stashahada

 

Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi TMA kimesaini mkataba wa makubaliano na chuo cha IAA wa kuanzishwa program ya shahada pamoja na stashahada ya uzamili ya  masomo ya sayansi ya kijeshi.

Programu hiyo ina lengo la kuzalisha maofisa watakaokuwa na weledi katika kufikiri na kutekeleza wajibu wao kwenye masuala ya ulinzi.

Makubaliano hayo yamesainiwa na mkuu wa chuo cha mafunzo ya kijeshi kilichopo Monduli mkoani Arusha Meja Jenerali Paul Masao na mkuu wa taasisi ya mafunzo ya uhasibu iliyopo mkoani...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Wanafunzi wa stashahada ya ualimu wa masomo ya Sayansi na Hisabati UDOM kunufaika na mikopo ya elimu ya juu

IMG_1680

Mkurugenzi Msaidizi Habari, Elimu na Mawasiliano toka Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu Bw. Cosmas Mwaisobwa akiongea na waandishi wa habari(hawapo pichani) kuhusu maandalizi ya utoaji mikopo kwa mwaka wa masomo 2014/2015, wakati wa mkutano uliofanyika leo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari (MAELEZO) Bi. Zamaradi Kawawa.

IMG_1689

Baadhi ya Waaandishi wa Habari wakimsikiliza Mkurugenzi Msaidizi Habari, Elimu na Mawasiliano toka Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa...

 

10 years ago

Michuzi

BG Tanzania yawadhamini wanafunzi kumi kupata elimu ya juu ngazi ya stashahada ya uzamili ( Masters of science degree) ya sayansi nchini Uingereza

27 Agosti, 2014, Dar es Salaam, Tanzania–BG Tanzania ilia​ndaa ​hafla kwa ajili ya kuwaaga wanafunzi kumi watanzania wali​o​faulu kupata udhamini wa elimu ya juu ngazi ya stashahada ya uzamili ( Masters of science degree ) ya sayansi kwenye vyuo vikuu nchini Uingereza.
Katika hafla hii, wanafunzi watapata fursa ya kukutana na Meneja Mkuu wa BG Tanzania ( Derek Hudson) pamoja na wafanyakazi na wadau Mbalimbali.
Udhamini huu wa elimu ya juu ni kati ya mpango mkakati wa maendelo ya jamii...

 

10 years ago

IPPmedia

IAA, Mandela varsity, TMA team up to offer degrees in military science


IPPmedia
IAA, Mandela varsity, TMA team up to offer degrees in military science
IPPmedia
Arusha acting regional commissioner Jowika Kasuka (2nd L) hands over a prize to a military graduand who graduated. The Institute of Accountancy Arusha (IAA), Nelson Mandela African Institution of Science and Technology (NM-AIST) will ink a pact with ...

 

9 years ago

Dewji Blog

Chuo cha taaluma za Sayansi za afya za Zanzibar chafanya mahafali ya 22 nakutunuku stashahada kwa wahitimu 440!!

01 (1)

Mwenyekiti wa Baraza la Chuo cha Taaluma za Afya Zanzibar Dkt. AbdallahIsmail Kanduru akimkaribisha mgeni rasmi wa Mahafali ya 22 Balozi Seif Ali Iddi katika sherehe zilizofanyika Chuoni Mbweni.

02 (1)

Baadhi ya wahitimu waliomaliza masomo katika Chuo cha Taaluma za Afya Zanzibar wakiwa kwenye maandamano wakiingi katika kiwanja sherehe hizo. Picha na Makame Mshenga Maelezo Zanzibar.

03 (1)

 Mkuu wa Chuo cha Taaluma za Sayansi za Afya Zanzibar Dkt. Haji Mwita Haji akimkaribisha Mwenyekiti wa Baraza la...

 

11 years ago

GPL

GIGGS AMETUNUKIWA SHAHADA YA UDAKTARI WA SAYANSI

Aliyekuwa mchezaji na Kocha Msaidizi wa Manchester United, Ryan Giggs ametunukiwa Shahada ya Udaktari wa Sayansi kutoka Chuo Kikuu cha Bolton, England kutokana na mchango wake mkubwa katika mchezo wa soka. Giggs kwa sasa atajulikana kama Dk.Giggs kutokana na heshima hiyo kubwa aliyoipata.  

 

5 years ago

BBCSwahili

Sungura huenda akapata shahada kwa kuhudhuria masomo

Mwanafunzi wa chuo kikuu asisitiza sungura wake kupewa shahada baada ya kuhudhuria masomo

 

10 years ago

Dewji Blog

Hongera Mwalimu Dr. Nelson Ishengoma kwa kuhitimu masomo ya Shahada ya Udaktari

ishew

Dr Nelson Ishengoma akiwa katika pozi mara baada ya kutunukiwa shahada yake ya udaktari katika Mahafali ya Tano ya Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) yaliyofanyika jana katika viwanja vya Chimwaga vilivyopo Chuoni hapo.

 Hongera sana Mwalimu wangu na sasa Mwanzo wa Jina linaanza na Dr. Sio kazi rahisi lakini Mungu ameweza kukusimamia na kukuongoza. Nakuombea kwa Mungu ufanikiwe zaidi na zaidi. Kutoka Kwa Mwanafunzi wako  Josephat Lukaza.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani