Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chuo cha taaluma za Sayansi za afya za Zanzibar chafanya mahafali ya 22 nakutunuku stashahada kwa wahitimu 440!!

01 (1)

Mwenyekiti wa Baraza la Chuo cha Taaluma za Afya Zanzibar Dkt. AbdallahIsmail Kanduru akimkaribisha mgeni rasmi wa Mahafali ya 22 Balozi Seif Ali Iddi katika sherehe zilizofanyika Chuoni Mbweni.

02 (1)

Baadhi ya wahitimu waliomaliza masomo katika Chuo cha Taaluma za Afya Zanzibar wakiwa kwenye maandamano wakiingi katika kiwanja sherehe hizo. Picha na Makame Mshenga Maelezo Zanzibar.

03 (1)

 Mkuu wa Chuo cha Taaluma za Sayansi za Afya Zanzibar Dkt. Haji Mwita Haji akimkaribisha Mwenyekiti wa Baraza la...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Mahafali ya 22 ya Chuo cha Taaluma za Sayansi za Afya Zanzibar

Wahitimu wa Chuo cha Taaluma za Sayansi za Afya Zanzibar wamehimizwa kuwa tayari kufanya kazi popote watakapopangiwa ambapo watakuwa na wajibu wa kuthamini na kuchangia jitihada zinazoendelea kuchukuliwa na Serikali katika kupambana na maradhi mbali mbali yanayoisumbua jamii Nchini. Himizo hilo limetolewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dr. Ali Mohammed Shein kwenye Mahafali ya 22 ya Chuo cha Taaluma za Sayansi za Afya Zanzibar yaliyofanyika kwenye Kampas ya chuo...

 

10 years ago

Michuzi

CHUO CHA MAENDELEO YA UTALII ZANZIBAR CHAFANYA MAHAFALI YAKE YA SITA

Mgeni Rasmi katika Mahafali ya Sita ya Chuo cha Maendeleo ya Utalii Zanzibar Waziri wa Fedha wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Saada Mkuya akitoa hotuba kwa wahitimu hawapo pichani ambapo mewataka wajiajiri wenyewe badala ya kutegemea Serikali.Baadhi ya Wahitimu wa Fani ya Upishi wakiwa wanamsikiliza Mgeni Rasmi Waziri wa Fedha wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Saada Mkuya hayupo pichani wakati wa sherehe ya Mahafali ya Sita ya Chuoni hapo.Mwanafunzi Bora Chuoni...

 

11 years ago

Michuzi

CHUO CHA MAENDELEO YA UTALII ZANZIBAR CHAFANYA SHEREHE ZA MAHAFALI YA TANO

Mkurugenzi wa Chuo cha Maendeleo ya Utalii Zanzibar Bi. Zulekha Khamis Omar akitoa maelezo juu maendeleo ya Chuo katika Mahafali ya tano Chuoni hapo. Mwenyekiti wa Baraza la Chuo cha Maendeleo ya Utalii Zanzibar Khamis Mussa Omar akieleza machache kuhusu muelekeo wa Chuo hicho na kumkaribisha Mgeni rasmin kutunuku vyeti kwa wahitimu. Waziri wa Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo Saidi Ali Mbarouk akizunguza na wahitimu mbalimbali (hawapo pichani) mara baada ya kuwatunuku vyeti na...

 

10 years ago

Michuzi

CHUO KIKUU CHA SUMAIT ZANZIBAR CHAFANYA MAHAFALI YAKE YA KUMI NA NNE

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Ali Juma Shamhuna akiongoza wahadhiri na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Sumait Chukwani kuingia katika kiwanja cha Mhafali. Wa kwanza (kulia) kaimu Makamu Mkuu wa chuo hicho Prof. Hamad Rashid Hikmany (kushoto) Mwenyekiti wa Baraza la chuo Dkt. Abdulrahman Al Muhailan. Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.Baadhi ya wahitimu wa chuo Kikuu cha Sumait wakiwa kwenye maandamano kuingia uwanja wa mahafali.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

GPL

CHUO CHA TIBA IMTU CHAFANYA MAHAFALI YA SABA LEO

Wahitimu mbalimbali wakipewa vyeti.…

 

9 years ago

Dewji Blog

Chuo kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU) chafanya mahafali ya kwanza

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi  (MoCU) Pius Msekwa akitunuku Shahada ,Stashahada na Astashahada kwa wahitimu wa Chuo hicho wakati wa mahafali ya kwanza ya chuo hicho. Wahitimu wa kozi mbalimbali waliohitimu katika Chuo Kikuu cha Ushirika mjini Moshi,(MoCU) Miongoni mwa wageni waalikwa alikuwepo pia Mbunge wa jimbo la Moshi mjini, Jafary Michael. Makamu mkuu wa Chuo Kikuu cha Ushirika (MoCU) Profesa Faustine Bee akizungumza wakati wa sherehe za mahafali ya kwanza ya Chuo hicho...

 

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE ATUNUKU WAHITIMU WA CHUO CHA TAIFA CHA ULINZI KATIKA MAHAFALI YA KOZI YA PILI

 Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi Kanali James Ruzibiza Stashahada ya Usalama na Stratejia (Diploma in Security and Strategic Studies) katika mahafali ya Kozi ya Pili ya Chuo Cha Taifa cha Ulinzi (NDC) chuoni hapo Kunduchi jijini Dar es salaam leo Julai 26, 2014. Kanali Ruzibiza, ambaye anatokea Rwanda, ni mmoja wa washiriki tisa wa kozi waliotoka nchi za nje. Washiriki wengine kutoka nje y nchi walitoka Kenya, Malawi, Namibia, Nigeria, Uganda, zambia na...

 

9 years ago

Michuzi

CHUO CHA TAKWIMU MASHARIKI MWA AFRIKA CHAFANYA MAHAFALI YA KWANZA YA SHAHADA YA TAKWIMU RASMI

Na Emmanuel Ghula –NBS Serikali imevitaka vyuo na taasisi za elimu nchini kuhakikisha vinatoa mafunzo bora yanayoendana na mahitaji ya soko la ajira. Akizungumza jijini Dar es Salaam katika mahafali ya kwanza ya Shahada ya Takwimu Rasmi katika Chuo Cha Takwimu Mashariki mwa Afrika (EASTC), Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue amesema ni vyema vyuo na taasisi za elimu kuhakikisha vinafanya tafiti kujua mahitaji ya wataalamu wanaotakiwa na kutoa mafunzo yanayoendana na soko la ajira.“Nchi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani