Mahafali ya 22 ya Chuo cha Taaluma za Sayansi za Afya Zanzibar
Wahitimu wa Chuo cha Taaluma za Sayansi za Afya Zanzibar wamehimizwa kuwa tayari kufanya kazi popote watakapopangiwa ambapo watakuwa na wajibu wa kuthamini na kuchangia jitihada zinazoendelea kuchukuliwa na Serikali katika kupambana na maradhi mbali mbali yanayoisumbua jamii Nchini. Himizo hilo limetolewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dr. Ali Mohammed Shein kwenye Mahafali ya 22 ya Chuo cha Taaluma za Sayansi za Afya Zanzibar yaliyofanyika kwenye Kampas ya chuo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog05 Dec
Chuo cha taaluma za Sayansi za afya za Zanzibar chafanya mahafali ya 22 nakutunuku stashahada kwa wahitimu 440!!
Mwenyekiti wa Baraza la Chuo cha Taaluma za Afya Zanzibar Dkt. AbdallahIsmail Kanduru akimkaribisha mgeni rasmi wa Mahafali ya 22 Balozi Seif Ali Iddi katika sherehe zilizofanyika Chuoni Mbweni.
Baadhi ya wahitimu waliomaliza masomo katika Chuo cha Taaluma za Afya Zanzibar wakiwa kwenye maandamano wakiingi katika kiwanja sherehe hizo. Picha na Makame Mshenga Maelezo Zanzibar.
Mkuu wa Chuo cha Taaluma za Sayansi za Afya Zanzibar Dkt. Haji Mwita Haji akimkaribisha Mwenyekiti wa Baraza la...
10 years ago
Michuzi10 years ago
MichuziRAIS WA ZANZIBAR MGENI RASMI KATIKA MAHAFALI CHUO CHA UDAKTARI ZANZIBAR
10 years ago
Vijimambo04 Oct
RAIS KIKWETE AKAGUA CHUO CHA SAYANSI YA AFYA NA UCHUNGUZI WA MAGONJWA YA BINADAMU CHA UDOM
10 years ago
GPLJK ATEMBELEA CHUO CHA SAYANSI YA AFYA UDOM, AFUNGA KIKAO KAZI CHA VIONGOZI DODOMA
10 years ago
MichuziMAHAFALI YA 10 CHUO KIKUU CHA TAIFA CHA ZANZIBAR (SUZA) LEO
9 years ago
MichuziMAHAFALI YA KUMI NA MOJA CHUO KIKUU CHA TAIFA CHA ZANZIBAR "SUZA"
10 years ago
MichuziJK AKAGUA Chuo cha Sayansi ya Afya na Uchunguzi wa Magonjwa ya Binadamu UDOM
11 years ago
MichuziCHUO CHA MAENDELEO YA UTALII ZANZIBAR CHAFANYA SHEREHE ZA MAHAFALI YA TANO