RAIS KIKWETE AKAGUA CHUO CHA SAYANSI YA AFYA NA UCHUNGUZI WA MAGONJWA YA BINADAMU CHA UDOM
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo kutoka kwa Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma Profesa Shaaban Mlacha na Makamu Mkuu wa Chuo hicho Profesa Idris Kikula (tai nyekundu) alipofanya ziara ya ghafla kukagua maendeleo ya ujenzi wa majengo ya Chuo cha Sayansi ya Afya na Uchunguzi wa Magonjwa ya Binadamu cha chuo hicho mjini Dodoma Ijumaa Oktoba 3, 2014. Alikuta ujenzi umeshakamilika na kilichobaki ni uwekaji wa samani na vifaa vya kufanyia kazi ili kitovo hicho kianzi kazi rasmi...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-uYJ-7qHZIt4/VC_Mq8vozLI/AAAAAAAGntk/ePW5_QrlqhM/s72-c/u3.jpg)
JK AKAGUA Chuo cha Sayansi ya Afya na Uchunguzi wa Magonjwa ya Binadamu UDOM
![](http://3.bp.blogspot.com/-uYJ-7qHZIt4/VC_Mq8vozLI/AAAAAAAGntk/ePW5_QrlqhM/s1600/u3.jpg)
10 years ago
Michuzi14 Nov
NHIF YAJENGA KITUO CHA KISASA CHA UCHUNGUZI NA MATIBABU YA MAGONJWA YA BINADAMU UDOM MKOANI DODOMA
![1](https://ci5.googleusercontent.com/proxy/r-tQZqy8PH7f_inBM6_Ovwu3tsLLHkq3SmHT1mG1kk-TUZkvVr7Hzolv5zo6SIMvgw0E6BdfLXG6mdTap2GCbaxcJCC_Dw7vM2JW6ChZPit4mX7IbiuN=s0-d-e1-ft#http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/11/132.jpg)
10 years ago
Michuzi13 Nov
NHIF YAJENGA KITUO KIKUBWA CHA KISASA CHA UCHUNGUZI NA MATIBABU YA MAGONJWA YA BINADAMU UDOM MKOANI DODOMA.
![](https://1.bp.blogspot.com/-6uZC2qqFLE4/VGR-asVfGRI/AAAAAAAGw48/ZPiH2BXcPmQ/s1600/7.jpg)
Kwa mujibu wa Profesa Shaban Mlacha,amesema kuwa kituo hicho kitajikita zaidi kwenye magonjwa ya uchunguzi /Utafiti na...
10 years ago
GPL![](http://3.bp.blogspot.com/-R5XjpaarlVc/VC_Mr9kNtyI/AAAAAAAGnto/dsSJ-t_nHQc/s1600/u2.jpg)
JK ATEMBELEA CHUO CHA SAYANSI YA AFYA UDOM, AFUNGA KIKAO KAZI CHA VIONGOZI DODOMA
10 years ago
Michuzi14 Nov
NHIF YAJENGA KITUO KIKUBWA CHA KISASA CHA UCHUNGUZI NA MATIBABU YA MAGONJWA YA BINADAMU MKOANI DODOMA
![1](https://ci5.googleusercontent.com/proxy/r-tQZqy8PH7f_inBM6_Ovwu3tsLLHkq3SmHT1mG1kk-TUZkvVr7Hzolv5zo6SIMvgw0E6BdfLXG6mdTap2GCbaxcJCC_Dw7vM2JW6ChZPit4mX7IbiuN=s0-d-e1-ft#http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/11/132.jpg)
Kituo hiki kitahudumia wagonjwa kutoka maeneo mbalimbali ya mikoa ya jirani ya na mkoa wa Dodoma na kinajengwa kwa ufadhili wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya NHIF kwa gharama ya shilingi Bilioni 36 ambazo zimetolewa na mfuko huo kwa silimia 100.
Akizungumza na wahariri wa vyombo mbalimbali wanaohudhuria kongamano la Mfuko...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-lv0ys3pR-sE/U1kfUPhQuAI/AAAAAAAFcpo/LUbHaHjqi0A/s72-c/ko3.jpg)
RAIS KIKWETE AZINDUA UJENZI WA HOSPITALI KUBWA NA YA KISASA YA CHUO KIKUU CHA AFYA NA SAYANSI SHIRIKISHI MUHIMBILI KISASA KIJIJINI MLOGANZILA
![](http://3.bp.blogspot.com/-lv0ys3pR-sE/U1kfUPhQuAI/AAAAAAAFcpo/LUbHaHjqi0A/s1600/ko3.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-b-9rLuTAafY/U1kfVLo73AI/AAAAAAAFcpw/EFC0qCv_Fcw/s1600/ko4.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-F0x3h5mPITE/VmSs-LCa3bI/AAAAAAAIKi4/Q_boZOgeCGg/s72-c/351.jpg)
Mahafali ya 22 ya Chuo cha Taaluma za Sayansi za Afya Zanzibar
9 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-gTBMKdYzMxc/VfpAcqy-5gI/AAAAAAAD7q0/w70JrfxAWdY/s72-c/u1.jpg)
RAIS KIKWETE AKAGUA MAENDELEO YA KITUO CHA MICHEZO KWA VIJANA CHA KIDONGO CHEKUNDU DAR ES SALAAM
![](http://1.bp.blogspot.com/-gTBMKdYzMxc/VfpAcqy-5gI/AAAAAAAD7q0/w70JrfxAWdY/s640/u1.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-t_2HNPLAh9Q/VfpAcmC-aCI/AAAAAAAD7q8/-gk1Zwh1GPc/s640/u3.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-t6JtJ2JVO_I/VfpAettA4UI/AAAAAAAD7rM/8FTzbO7uKZQ/s640/u4.jpg)
9 years ago
Dewji Blog05 Dec
Chuo cha taaluma za Sayansi za afya za Zanzibar chafanya mahafali ya 22 nakutunuku stashahada kwa wahitimu 440!!
Mwenyekiti wa Baraza la Chuo cha Taaluma za Afya Zanzibar Dkt. AbdallahIsmail Kanduru akimkaribisha mgeni rasmi wa Mahafali ya 22 Balozi Seif Ali Iddi katika sherehe zilizofanyika Chuoni Mbweni.
Baadhi ya wahitimu waliomaliza masomo katika Chuo cha Taaluma za Afya Zanzibar wakiwa kwenye maandamano wakiingi katika kiwanja sherehe hizo. Picha na Makame Mshenga Maelezo Zanzibar.
Mkuu wa Chuo cha Taaluma za Sayansi za Afya Zanzibar Dkt. Haji Mwita Haji akimkaribisha Mwenyekiti wa Baraza la...