Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAAJIRI NCHINI KUCHUKULIWA HATUA NA BODI YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU

 Mkurugenzi Msaidizi  Urejeshaji Mikopo kutoka Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu  Bw. Robert Kibona akitoa mada wakati wa mkutano mkuu wa mwaka wa Wakurugenzi wa Utawala na Rasilimaliwatu Serikalini mjini Dodoma leo. Baadhi ya washiriki wa mkutano mkuu wa mwaka wa Wakurugenzi wa Utawala na Rasilimaliwatu Serikalini wakifatilia mada mjini Dodoma leo.



Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu nchini imepanga  kuwachukulia hatua waajiri wote nchini kwa kushindwa kuwasilisha taarifa  za wahitimu wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Wananchama wa Chama cha Wafanyakazi wa Taasisi za Elimu ya Juu, Sayansi, Teknolojia, Habari na Utafiti nchini (RAAWU), Tawi la Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) wakutana

Wananchama wa Chama cha Wafanyakazi wa Taasisi za Elimu ya Juu, Sayansi, Teknolojia, Habari na Utafiti nchini (RAAWU), Tawi la Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) wamekutana kwa semina ya siku mbili mwishoni mwa wiki iliyopita kupitia pamoja na mambo mengine; masuala ya nafasi na wajibu wa kisheria wa vyama vya wafanyakazi katika kuleta tija na ufanisi sehemu za kazi.   Akifungua semina hiyo ya siku mbili kwa wanachama wa RAAWU tawi la HESLB, Kaimu Mkurugenzi Msaidizi wa...

 

10 years ago

GPL

BODI YA MIKOPO ELIMU YA JUU YAELEZEA UREJESHWAJI WA MIKOPO

Mkurugenzi wa Habari Elimu wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu, Cosmas Mwaisogwa (katikati) akizungumza jambo, kulia ni Afisa Mwandamizi wa Elimu Bodi ya Elimu ya Juu, Veneranda Malima na kushoto ni Juma Chagonja, Mkurugenzi wa Urejeshaji Mikopo ya Elimu ya Juu. Wanahabari wakifuatilia mkutano huo.…

 

10 years ago

Vijimambo

BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU YASOGEZA MBELE TAREHE YA MWISHO YA KUPOKEA MAOMBI YA MIKOPO


Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inapenda kuwafahamisha Waombaji wa mikopo na Umma kwa ujumla kuwa muda wa kuwasilisha maombi ya mikopo umeongezwa mbele hadi tarehe 31 Julai, 2015. 

Hatua hii imechukuliwa ili kuwapa fursa wale ambao kwa sababu mbalimbali hawakuweza kufanya maombi ya mikopo katika muda uliopangwa. Itakumbukwa kuwa, awali Bodi ilianza kupokea maombi kwa njia ya mtandao tarehe 4 Mei, 2015 na mwisho wa kuwasilisha maombi ulipangwa kuwa tarehe 30 Juni, 2015. 

Kupitia...

 

9 years ago

Michuzi

Nafasi ya kazi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB)

Wadau, Nafasi ya kazi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) itakuwa wazi kuanzia Mwezi Septemba, 2016. Mchakato wa kumpata mrithi wa Bw. George Nyatega (Mkurugenzi Mtendaji wa sasa) umeanza. Kwa mwenye sifa afungue link hii http://www.heslb.go.tz/images/adverts/JOB_POSITION_ED_2015.pdf . Kila la heri.

 

11 years ago

Michuzi

BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU YAZUNGUMZA NA WANAHABARI DAR ES SALAAM LEO


Mkurugenzi Msaidizi wa Habari, elimu na mawasiliano wa bodi ya mikopo Tanzania, Cosmas Mwaisobwa akizungumza na waandishi wa habari Dar es salaam jana kuhusiana na masuala ya mikopo kwa wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu nchini. Pamoja nae ni Ofisa Mwandamizi Habari, elimu na mawasiliano, Veneranda Malima.   *********  1.0     UTANGULIZI
 Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu ilianzishwa kwa sheria Na. 9 ya mwaka 2004 na kuanza rasmi majukumu yake Julai 2005. Bodi ina majukumu...

 

5 years ago

Michuzi

WAAJIRI WASIOWAPELEKA WATUMISHI KUPATA MAFUNZO CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA KUCHUKULIWA HATUA


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Manejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Msaafu) George Huruma Mkuchika (Mb) akizungumza wakati wa Mahafali ya 28 ya Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania yaliyofanyika katika Kampasi ya Mbeya.

………………………………………………………………..

James Mwanamyoto – Dodoma

Waajiri katika Taasisi za Umma wenye watumishi ambao hawajapata mafunzo ya namna Serikali inavyofanya kazi, wametakiwa kuwapeleka watumishi hao kupata mafunzo Chuo cha Utumishi wa Umma mapema iwezekanavyo...

 

11 years ago

Habarileo

Bodi ya Mikopo kuwashitaki waajiri

BODI ya Mikopo ya Elimu ya Juu nchini imepanga kuwachukulia hatua waajiri wote nchini, kwa kushindwa kuwasilisha taarifa za wahitimu wa elimu ya juu, wanaodaiwa na Bodi hiyo.

 

10 years ago

Michuzi

WAKAGUZI WA MABEHEWA YA TRL YALIYOINGIZWA NCHINI HIVI KARIBUNI KUCHUKULIWA HATUA

 Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii
Waziri wa Uchukuzi,Samwel Sitta amesema kuwa mabehewa yaliyoingizwa nchini kutokea Kampuni ya M/S Hindusthan Engeneering Industries Limited yapo chini ya kiwango na hivyo wale ambao wamehusika na ukaguzi na kufanya mabehewa hayo yaingizwe nchini watachukuliwa hatua kwa mujibu wa sheria.
Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam mara alipotembelea Shirika la Reli Nchini (TRL),Sitta alisema serikali ikithibitisha waliokagua na kuleta mabehewa...

 

10 years ago

Mwananchi

Mikopo elimu ya juu yabagua masomo

Mbunge wa Viti Maalumu (CCM), Ritta Kabati ameihoji Serikali kuwa kwa nini Sera ya mikopo kwa elimu ya juu inatolewa kwa kozi za sayansi na ualimu badala ya kutoa mikopo kwa kozi zote.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani