WAKAGUZI WA MABEHEWA YA TRL YALIYOINGIZWA NCHINI HIVI KARIBUNI KUCHUKULIWA HATUA
![](http://3.bp.blogspot.com/-UvYKa77xdkk/VP8ax6A7eiI/AAAAAAAHJX8/XISP_zc4q-o/s72-c/trl3.jpg)
Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii
Waziri wa Uchukuzi,Samwel Sitta amesema kuwa mabehewa yaliyoingizwa nchini kutokea Kampuni ya M/S Hindusthan Engeneering Industries Limited yapo chini ya kiwango na hivyo wale ambao wamehusika na ukaguzi na kufanya mabehewa hayo yaingizwe nchini watachukuliwa hatua kwa mujibu wa sheria.
Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam mara alipotembelea Shirika la Reli Nchini (TRL),Sitta alisema serikali ikithibitisha waliokagua na kuleta mabehewa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-EmUEwx4yNEA/VIXGHkE3wMI/AAAAAAAG2G8/9OXrHU3LqqE/s72-c/unnamed%2B(87).jpg)
WAZIRI MKUU AKAGUA MABEHEWA MABEHEWA MAPYA YA TRL LEO
![](http://2.bp.blogspot.com/-EmUEwx4yNEA/VIXGHkE3wMI/AAAAAAAG2G8/9OXrHU3LqqE/s1600/unnamed%2B(87).jpg)
11 years ago
MichuziWAAJIRI NCHINI KUCHUKULIWA HATUA NA BODI YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU
Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu nchini imepanga kuwachukulia hatua waajiri wote nchini kwa kushindwa kuwasilisha taarifa za wahitimu wa...
11 years ago
Dewji Blog26 May
Balozi Dr Kamala alipokutana na Gavana wa Hainaut nchini Ubelgiji hivi karibuni
Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji,Luxermbourg na Jumuiya ya Ulaya Dr Kamala akilakiwa na Gavana wa jimbo la Hainaut nchini Ubelgiji Bw. Tommy Luclercq hivi karibuni alipomualika katika tafrija aliyoandaa katika jimbo lake.
Balozi Kamala akitia saini kitabu cha mapokezi huku gavana Tommy Luclercq akishuhudia utiaji wa saini hiyo.(picha na Maganga One).
11 years ago
Michuzi25 Jun
FILAMU MPYA YA KISWAHILI ILIYOCHEZWA NCHINI UHOLANZI KUINGIA MTAANI HIVI KARIBUNI
10 years ago
Dewji Blog09 Dec
Pinda apokea mabehewa mapya ya TRL
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Uchukuzi, Dr. Harrison Mwakyembe wakikagua moja ya mabehewa mapya ya TRL yaliyonunuliwa kwa fedha ya serikali wakati alipokwenda kwenye Bandari ya Dar es salaam Desemba 8, 2014 kupokea mabehewa hayo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongozwa na Waziri wa Uchukuzi, Dr. Harrison Mwakyembe (kulia kwake) na Naibu Waziri wake, Dr. Charles Tizeba (kulia) kukagua baadhi ya mabehewa mapya ya Shirika la Reli nchini (TRL)...
10 years ago
Habarileo17 Apr
Mabehewa chakavu yang’oa vigogo TRL
SERIKALI imewasimamisha kazi karibu viongozi wote wakuu wa Kampuni ya Reli nchini (TRL), kwa kile kilichoelezwa kuwa hujuma ya mabilioni ya shilingi yaliyotumika kununua mabehewa chakavu.
11 years ago
GPL25 Jun
FILAMU MPYA YA KISWAHILI ILIYOCHEZWA NCHINI UHOLANZI KUINGIA MTAANI HIVI KARIBUNI
11 years ago
Dewji Blog25 Jun
Trailer: Filamu mpya ya Kiswahili iliyochezwa nchini Uholanzi kuingia mtaani hivi karibuni
Filamu mpya ya kiswahili iliyochezwa nchini Uholanzi chini ya Director mpya Hija Salehe.Filamu yenye mafunzo,ucheshi na vingi vihoja ndani ya wasanii wapya wenye mvuto na ujuzi mwingi ndani yake.tazama kibwagizo tu kidogo uhondo unakuja hivi karibu.Jina la filamu ni NIMPENDE NANI
Kutana na wasanii wenye makeke kama Omary Abbas, Khatib Mustapha, Nicolas Gabino, Mrembo anayekubalika Sonia Kasuka, Shamim Sudi, na wengine kibao ambao ni gumzo katika filamu hii mpya ya Kiswahili.
10 years ago
VijimamboPINDA APOKEA MABEHEWA MAPYA YA TRL LEO