FILAMU MPYA YA KISWAHILI ILIYOCHEZWA NCHINI UHOLANZI KUINGIA MTAANI HIVI KARIBUNI
Filamu mpya ya Kiswahili iliyochezwa nchini Uholanzi chini ya Director mpya Hija Salehe iitwayo NIMPENDE NANI. Filamu hii yenye mafunzo, ucheshi na vingi vioja ndani ya wasanii wapya wenye mvuto na ujuzi mwingi ndani yake. Tazama kibwagizo tu kidogo uhondo unakuja hivi karibu. Kutana na wasanii wenye makeke kama Omary Abbas, Khatib Mustapha, Nicolas Gabino, Mrembo anayekubalika Sonia Kasuka, Shamim Sudi na wengine kibao...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi25 Jun
FILAMU MPYA YA KISWAHILI ILIYOCHEZWA NCHINI UHOLANZI KUINGIA MTAANI HIVI KARIBUNI
11 years ago
Dewji Blog25 Jun
Trailer: Filamu mpya ya Kiswahili iliyochezwa nchini Uholanzi kuingia mtaani hivi karibuni
Filamu mpya ya kiswahili iliyochezwa nchini Uholanzi chini ya Director mpya Hija Salehe.Filamu yenye mafunzo,ucheshi na vingi vihoja ndani ya wasanii wapya wenye mvuto na ujuzi mwingi ndani yake.tazama kibwagizo tu kidogo uhondo unakuja hivi karibu.Jina la filamu ni NIMPENDE NANI
Kutana na wasanii wenye makeke kama Omary Abbas, Khatib Mustapha, Nicolas Gabino, Mrembo anayekubalika Sonia Kasuka, Shamim Sudi, na wengine kibao ambao ni gumzo katika filamu hii mpya ya Kiswahili.
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/XPz6Z0Ysaa8/default.jpg)
FILAMU MPYA YA KISWAHILI ILIYOCHEZWA NCHINI UHOLANZI ''Nimpende Nani (Gentleman au Bongo Flavor)''
9 years ago
Dewji Blog30 Dec
TAZAMA FILAMU MPYA YA KISWAHILI ILIYOCHEZWA NCHINI UHOLANZI â€Nimpende Nani (Gentleman au Bongo Flavor)â€
Filamu ya Kiswahili iliyotengenezwa na Watanzania waishio Holland katika kuendeleza mila,desturi na sifa za Kiswahili popote duniani. Hii ni filamu ya majaribio katika utengenezaji wetu wa filamu, tuna matumaini mtaipokea vizuri na tusameheane kwa mapungufu mtayoyaona. Bonyeza Play hapa chini kuitazama….
9 years ago
Dewji Blog25 Oct
Filamu mpya kutoka Zimbabwe inakuja hivi karibuni: GRINGO TROUBLEMAKER!
Na Andrew Chale,Modewjiblog
[Harare-ZIMBABWE] Filamu mpya iliyojaa vimbwanga vya kila aina kutoka kwa waigizaji mahiri wa nchini hapa ipo mbioni kuingia mtaani na majumba ya sinema mbalimbali.
Kwa mujibu wa mandao wa Zollywoodzim (http://www.zollywoodzim.co.uk) unaorusha habari za filamu na wasanii mbalimbali wa nchini hapa umeelezea kuwa, filamu hiyo ni ya kipekee na yenye ubora wa hali ya juu ambao mtazamaji anapokuwa anaitazama ikaweza kumvunja mbavu hadi kupitiliza kwa jinsi ilivyojaa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/5wu8U2MaqbhVVJT97K-tz7czuP7urh0CmgJmzF1EOLcvo71foc5qVgLBTLvW44Jl5iEtNDHuYMSM8IqwleVJlSwHq12jEb8j/002.JAY.jpg?width=750)
VODACOM YATANGAZA RASMI ZAWADI ZITAKAZOKABIDHIWA KWA MABINGWA WA LIGI HIVI KARIBUNI
11 years ago
Dewji Blog26 May
Balozi Dr Kamala alipokutana na Gavana wa Hainaut nchini Ubelgiji hivi karibuni
Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji,Luxermbourg na Jumuiya ya Ulaya Dr Kamala akilakiwa na Gavana wa jimbo la Hainaut nchini Ubelgiji Bw. Tommy Luclercq hivi karibuni alipomualika katika tafrija aliyoandaa katika jimbo lake.
Balozi Kamala akitia saini kitabu cha mapokezi huku gavana Tommy Luclercq akishuhudia utiaji wa saini hiyo.(picha na Maganga One).
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-UvYKa77xdkk/VP8ax6A7eiI/AAAAAAAHJX8/XISP_zc4q-o/s72-c/trl3.jpg)
WAKAGUZI WA MABEHEWA YA TRL YALIYOINGIZWA NCHINI HIVI KARIBUNI KUCHUKULIWA HATUA
![](http://3.bp.blogspot.com/-UvYKa77xdkk/VP8ax6A7eiI/AAAAAAAHJX8/XISP_zc4q-o/s1600/trl3.jpg)
Waziri wa Uchukuzi,Samwel Sitta amesema kuwa mabehewa yaliyoingizwa nchini kutokea Kampuni ya M/S Hindusthan Engeneering Industries Limited yapo chini ya kiwango na hivyo wale ambao wamehusika na ukaguzi na kufanya mabehewa hayo yaingizwe nchini watachukuliwa hatua kwa mujibu wa sheria.
Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam mara alipotembelea Shirika la Reli Nchini (TRL),Sitta alisema serikali ikithibitisha waliokagua na kuleta mabehewa...