Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Filamu mpya kutoka Zimbabwe inakuja hivi karibuni: GRINGO TROUBLEMAKER!

gringo2

Na Andrew Chale,Modewjiblog

[Harare-ZIMBABWE] Filamu mpya iliyojaa vimbwanga vya kila aina kutoka kwa waigizaji mahiri wa nchini hapa ipo mbioni kuingia mtaani na majumba ya sinema mbalimbali.

Kwa mujibu wa mandao  wa Zollywoodzim (http://www.zollywoodzim.co.uk) unaorusha habari za filamu na wasanii mbalimbali wa nchini hapa umeelezea kuwa, filamu  hiyo ni ya kipekee na yenye ubora wa hali ya juu ambao mtazamaji anapokuwa anaitazama ikaweza kumvunja mbavu hadi kupitiliza kwa jinsi ilivyojaa...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

FILAMU MPYA YA KISWAHILI ILIYOCHEZWA NCHINI UHOLANZI KUINGIA MTAANI HIVI KARIBUNI

Filamu mpya ya kiswahili iliyochezwa nchini Uholanzi chini ya Director mpya Hija Salehe.Filamu yenye mafunzo,ucheshi na vingi vihoja ndani ya wasanii wapya wenye mvuto na ujuzi mwingi ndani yake.tazama kibwagizo tu kidogo uhondo unakuja hivi karibu.Jina la filamu ni NIMPENDE NANI Kutana na wasanii wenye makeke kama Omary Abbas,Khatib Mustapha,Nicolas Gabino,Mrembo anayekubalika Sonia Kasuka,Shamim Sudi,na wengine kibao ambao ni gumzo katika filamu hii mpya ya kiswahili.

 

11 years ago

GPL

FILAMU MPYA YA KISWAHILI ILIYOCHEZWA NCHINI UHOLANZI KUINGIA MTAANI HIVI KARIBUNI‏

Filamu mpya ya Kiswahili iliyochezwa nchini Uholanzi chini ya Director mpya Hija Salehe iitwayo NIMPENDE NANI. Filamu hii yenye mafunzo, ucheshi na vingi vioja ndani ya wasanii wapya wenye mvuto na ujuzi mwingi ndani yake. Tazama kibwagizo tu kidogo uhondo unakuja hivi karibu.  Kutana na wasanii wenye makeke kama Omary Abbas, Khatib Mustapha, Nicolas Gabino, Mrembo anayekubalika Sonia Kasuka, Shamim Sudi na wengine kibao...

 

11 years ago

Dewji Blog

Trailer: Filamu mpya ya Kiswahili iliyochezwa nchini Uholanzi kuingia mtaani hivi karibuni

swahili movie 1

Filamu mpya ya kiswahili iliyochezwa nchini Uholanzi chini ya Director mpya Hija Salehe.Filamu yenye mafunzo,ucheshi na vingi vihoja ndani ya wasanii wapya wenye mvuto na ujuzi mwingi ndani yake.tazama kibwagizo tu kidogo uhondo unakuja hivi karibu.Jina la filamu ni NIMPENDE NANI

movie swahili 2

Kutana na wasanii wenye makeke kama Omary Abbas, Khatib Mustapha, Nicolas Gabino, Mrembo anayekubalika Sonia Kasuka, Shamim Sudi, na wengine kibao ambao ni gumzo katika filamu hii mpya ya Kiswahili.

 

10 years ago

Michuzi

Mfumo mpya wa upokeaji wa maombi ya kazi kwa njia ya mtandao kuzinduliwa hivi karibuni.

Sekretarieti ya ajira katika Utumishi wa umma inatarajia kuzindua mfumo mpya wa utumaji na upokeaji wa maombi ya kazi kwa njia ya mtandao kupitia “Recruitment portal” hivi karibuni baada ya hatua za majaribio ya mfumo huo kuonyesha mafanikio.Sababu za kuanzisha mfumo huu mpya zinalenga kuboresha utendaji kazi wa taasisi katika kufikisha huduma kwa wateja, kuongeza ufanisi katika mchakato wa ajira, Kupunguza muda wa mchakato wa Ajira ili kukidhi mahitaji ya wadau, kuwafikia waombaji wa nafasi...

 

9 years ago

Bongo5

Facebook kuanza majaribio ya button mpya ya ‘dislike’ hivi karibuni— asema Mark Zuckerberg

Mwanzilishi wa mtandao wa Facebook, Mark Zuckerberg amesema kuwa wanalifanyia kazi ombi la kuongeza button ya ‘dislike’ ambayo imekuwa ikiombwa na watumiaji wengi wa mtandao huo. Mark amesema kuwa muda si mrefu wataanza kuifanyia majaribio button hiyo; “Tumewasikia na tunaifanyia kazi na tutawaletea kitu kitakachokidhi mahitaji ya jamii kubwa. Watu wamekuwa wakiulizia kuhusu button ya […]

 

11 years ago

Michuzi

10 years ago

GPL

PART II YA SAKATA LA ADEBAYOR NA FAMILIA YAKE; AMCHANA MDOGO WAKE AITWAYE ROTIMI, KUTOKA PART III HIVI KARIBUNI

Emmanuel Adebayor akiwa na mdogo wake Rotimi Adebayor. KAMA alivyoahidi, staa wa Klabu ya Tottenham ya England ambaye ni raia wa Togo, Emmanuel Adebayor jana ameachia sehemu ya pili inayohusu sakata lake na familia yake. Katika sehemu hii, Adebayor amemuelezea kaka yake aitwaye Rotimi. Na hivi ndivyo alivyomwaga ubuyu kupitia ukurasa wake wa Facebook ambapo ameahidi pia kutoa sehemu nyingine ya tatu hivi karibuni: Hii ni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani