siku ya msanii inakuja karibuni
![](http://4.bp.blogspot.com/-5xkLuW-1tm0/U4gtKlVjoCI/AAAAAAAFmcs/1A0_Jws4L0U/s72-c/unnamed+(1).png)
Watch this space
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog25 Oct
Filamu mpya kutoka Zimbabwe inakuja hivi karibuni: GRINGO TROUBLEMAKER!
Na Andrew Chale,Modewjiblog
[Harare-ZIMBABWE] Filamu mpya iliyojaa vimbwanga vya kila aina kutoka kwa waigizaji mahiri wa nchini hapa ipo mbioni kuingia mtaani na majumba ya sinema mbalimbali.
Kwa mujibu wa mandao wa Zollywoodzim (http://www.zollywoodzim.co.uk) unaorusha habari za filamu na wasanii mbalimbali wa nchini hapa umeelezea kuwa, filamu hiyo ni ya kipekee na yenye ubora wa hali ya juu ambao mtazamaji anapokuwa anaitazama ikaweza kumvunja mbavu hadi kupitiliza kwa jinsi ilivyojaa...
10 years ago
Dewji Blog23 Sep
Tanzania kuadhimisha siku ya msanii
Kushoto ni Afisa Uhusiano Mwandamizi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Abdul Njaidi. Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, (Kulia), na Katikati ni msanii nguli wa kughani mashairi nchini Mrisho Mpoto.(Picha na Maktaba).
Na Beatrice Lyimo- MAELEZO
Mfuko wa Pensheni (PSPF) umedhamini siku ya Msanii Tanazania itayoadhimishwa Oktoba 25 mwaka huu katika ukumbi wa Mlimani City kwa dhumuni la kuwapa mafunzo wasanii ili waweze kujikwamua kiuchumi.
Akizungumza na waandishi wa...
10 years ago
Tanzania Daima16 Sep
Siku ya Msanii Okt. 25 Dar
SIKU ya Msanii Tanzania inatarajiwa kuadhimishwa Oktoba 25, katika ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam chini ya kauli ya mbiu yake ya ‘Sanaa ni Kazi.’ Maadhimisho hayo yanayofanyika...
11 years ago
Tanzania Daima04 Jun
Siku ya Msanii kuadhimishwa Oktoba 25
BARAZA la Sanaa la Taifa (Basata), kwa kushirikiana na Kampuni ya Haak Neel Production ya jijini Dar es Salaam, wameanzisha Siku ya Msanii Tanzania, ikiwa ni hatua ya kutambua mchango...
9 years ago
Mtanzania14 Dec
Wasanii watunukiwa tuzo Siku ya Msanii
NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
WASANII wanne wa sanaa mbalimbali nchini juzi wametunukiwa tuzo maalumu katika usiku wa tuzo za wasanii zilizofanyika katika ukumbi wa Nyumba ya Sanaa, Posta Dar es Salaam.
Tuzo hizo zilitolewa na Katibu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Michezo na Wasanii, Elisante Gabriel, huku ikihudhuriwa na wasanii mbalimbali.
Tuzo ya kwanza ya heshima ya sanaa za maonyesho ilikwenda kwa mwigizaji mkongwe nchini ambaye michezo yake ilikuwa ikisikika kwenye redio Tanzania...
10 years ago
Dewji Blog29 Oct
Jhikoman, TaSUBa wapamba Siku ya Msanii
Jhikoman akitoa burudani.
Na Andrew Chale, Bagamoyo
MWANAMUZIKI nguli wa miondoko ya Afro reggae, Jhikolabwino Manyika maarufu Jhikoman pamoja na wasanii mbalimbali waliungana na wenzao kote duniani kuazimisha siku ya msanii Afrika, kwenye viunga vya chuo cha sanaa Bagamoyo.
Shoo hiyo iliyofanyika mwishoni mwa wiki, Oktoba 25 kwenye viunga vya Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) maarufu chuo cha sanaa Bagamoyo, wasanii wa sanaa tofauti walipata kuonyesha kazi zao ikiwemo...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/TzObvhxOuaemLfAcvlmBtUXafhT-ElWGiTKAux0UAM0SaREj7P0cgxkSPseKHracCXH3Y*8c135d1f9RvMOJtQ5x9cjQG7nG/SYMFINALFLYER.jpg?width=650)
SEMINA SIKU YA MSANII KUFANYIKA KESHO
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-QU4n8fMU6HU/VmrAs2V88II/AAAAAAAILpg/Vvh03BjSuno/s72-c/NAPELAANA-620x400.jpg)
Nape Mgeni Rasmi Tuzo Siku Ya Msanii
![](http://4.bp.blogspot.com/-QU4n8fMU6HU/VmrAs2V88II/AAAAAAAILpg/Vvh03BjSuno/s640/NAPELAANA-620x400.jpg)
Hii ni mara ya pili kwa tuzo za Siku Ya Msanii kufanyika, ambapo mara ya kwanza zilifanyika mwaka jana kwenye ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam.Mwaka huu zitatolewa tuzo nne ikiwa ni nyongeza ya tuzo mbili tofauti za zile za mwaka jana....
9 years ago
Mtanzania11 Dec
Bitchuka, Sikinde kutumbuiza Siku ya Msanii kesho
NA MWANDISHI WETU
MWANAMUZIKI mahiri nchini, Hassan Rehani Bitchuka, leo ataongoza kikosi kamili cha bendi ya Mlimani Park Orchestra kutoa burudani katika onyesho la kazi za wasanii katika viwanja vya Makumbusho, Posta, jijini Dar es Salaam.
Maonyesho hayo ni sehemu ya shamrashamra za kuelekea Tuzo za Siku ya Msanii, iliyozinduliwa juzi na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Vijana na Michezo, ambaye aliwakilishwa na Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO), Assah Mwambene.
Mlimani...