Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jhikoman, TaSUBa wapamba Siku ya Msanii

Jhikoman

Jhikoman akitoa burudani.

Na Andrew Chale, Bagamoyo

MWANAMUZIKI nguli wa miondoko ya Afro reggae, Jhikolabwino Manyika maarufu Jhikoman pamoja na wasanii mbalimbali waliungana na wenzao kote duniani kuazimisha siku ya msanii Afrika, kwenye viunga vya chuo cha sanaa Bagamoyo.

Shoo hiyo iliyofanyika mwishoni mwa wiki, Oktoba 25 kwenye viunga vya Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) maarufu chuo cha sanaa Bagamoyo, wasanii wa sanaa tofauti walipata kuonyesha kazi zao ikiwemo...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Jhikoman: Bila kujua kupiga ala, huwezi kuwa msanii kamili

>Jhikolabwino Manyika maarufu Jhikoman, ni kati ya wasanii 200 kutoka nchi tofauti, watakaotumbuiza tamasha la Sauti za Busara msimu wa 11, tamasha linalotarajiwa kufanyika Februari 13 hadi 16 mwaka huu.

 

10 years ago

Vijimambo

JHIKOMAN & AFRIKABISA BAND KUTINGISHA JIJI LA DAR SIKU 12.12.2014

Mfalme wa mziki wa Reggae barani Afrika Jhikoman mwenye makao yake mijini Bagamoyo,aiongoza bendi yake Afrikabisa katika shamra shamra za shereheza kuadhimisha siku ya uhuru wa Tanganyika.Onyesho hilo linawashirikishawasanii wengi litafanyika.
Mahali; Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni,mkabala na chuo cha usimamizi wa fedha (IFM).Barabara ya Samora, mtaa wa Shaabani Robert kati ya Jiji la Dar-Es-Salaam.
www.jhikoman.com

 

10 years ago

Tanzania Daima

Siku ya Msanii Okt. 25 Dar

SIKU ya Msanii Tanzania inatarajiwa kuadhimishwa Oktoba 25, katika ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam chini ya kauli ya mbiu yake ya ‘Sanaa ni Kazi.’ Maadhimisho hayo yanayofanyika...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Siku ya Msanii kuadhimishwa Oktoba 25

BARAZA la Sanaa la Taifa (Basata), kwa kushirikiana na Kampuni ya Haak Neel Production ya jijini Dar es Salaam, wameanzisha Siku ya Msanii Tanzania, ikiwa ni hatua ya kutambua mchango...

 

11 years ago

Michuzi

10 years ago

Dewji Blog

Tanzania kuadhimisha siku ya msanii

RISHO mPOTOZ

Kushoto ni Afisa Uhusiano Mwandamizi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Abdul Njaidi. Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, (Kulia), na Katikati ni msanii nguli wa kughani mashairi nchini Mrisho Mpoto.(Picha na Maktaba).

Na Beatrice Lyimo- MAELEZO

Mfuko wa Pensheni (PSPF) umedhamini siku ya Msanii Tanazania itayoadhimishwa Oktoba 25 mwaka huu katika ukumbi wa Mlimani City kwa dhumuni la kuwapa mafunzo wasanii ili waweze kujikwamua kiuchumi.

Akizungumza na waandishi wa...

 

9 years ago

Mtanzania

Wasanii watunukiwa tuzo Siku ya Msanii

JANGALANA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM

WASANII wanne wa sanaa mbalimbali nchini juzi wametunukiwa tuzo maalumu katika usiku wa tuzo za wasanii zilizofanyika katika ukumbi wa Nyumba ya Sanaa, Posta Dar es Salaam.

Tuzo hizo zilitolewa na Katibu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Michezo na Wasanii, Elisante Gabriel, huku ikihudhuriwa na wasanii mbalimbali.

Tuzo ya kwanza ya heshima ya sanaa za maonyesho ilikwenda kwa mwigizaji mkongwe nchini ambaye michezo yake ilikuwa ikisikika kwenye redio Tanzania...

 

10 years ago

GPL

SEMINA SIKU YA MSANII KUFANYIKA KESHO

SEMINA ya wasanii mbalimbali iliyoandaliwa na Kamati ya Siku Ya Msanii itafanyika kesho Alhamisi katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa Mjini Dar es Salaam. Ofisa Uhusiano wa Siku Ya Msanii, Petter Mwendapole alisema maandalizi yote kwa ajili ya semina hiyo yamekamilika na kwamba wasanii 400 mpaka jana walikuwa wameshajiandikisha. “Lengo letu ni kuwaelimisha wasanii katika kazi zao, lakini pia kuweza kuwapa nafasi ya kupata...

 

10 years ago

Michuzi

Erick na Fred Omondi kutumbuiza Siku Ya Msanii

MSANII wa vichekesho kutoka Kenya, Fred Omondi akisaini mkataba wa kufanya onyesho la Siku Ya Msanii katika ofisi za Siku Ya Msanii, Mikocheni Dar es Salaam, pembeni ni Mratibu wa Siku Ya Msanii, Justin Jones Kussaga. Picha zingine ni Erick Omondi

WACHEKESHAJI maarufu kutoka nchini Kenya, Erick Omondi na Fred Omondi wamealikwa kutumbuiza katika Tamasha la Siku Ya Msanii litakalofanyika Jumamosi ijayo kwenye ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam.


Mratibu wa Siku Ya Msanii, Justin Jones...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani