Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nape Mgeni Rasmi Tuzo Siku Ya Msanii

.Twanga, K-Mondo Muzika, Mafumu Bilal kutoa burudaniWAZIRI wa Habari, Wasanii, Utamaduni, Vijana na Michezo, Nape Nnauye leo anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika tuzo za Siku Ya Msanii zitakazofanyika kwenye ukumbi wa Makumbusho, Posta, Dar es Salaam.
Hii ni mara ya pili kwa tuzo za Siku Ya Msanii kufanyika, ambapo mara ya kwanza zilifanyika mwaka jana kwenye ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam.Mwaka huu zitatolewa tuzo nne ikiwa ni nyongeza ya tuzo mbili tofauti za zile za mwaka jana....

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Nape mgeni rasmi tamasha la Krismasi

WAZIRI wa Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye anatarajiwa kumwakilisha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwenye Tamasha la Krismasi litakalofanyika Desemba 25 kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee ,Dar es Salaam.

 

11 years ago

CloudsFM

RAIS KIKWETE MGENI RASMI KWENYE MAADHIMISHO YA SIKU YA KUMBUKUMBU YA MASHUJAA SIKU YA JANA

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka ngao kwenye mnara wakati wa Maadhimisho ya siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa iliyofanyika jana katika bustani ya Mnazi mmoja jijini Dar es salaam.

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Mohamed Ali Shein kwenye Maadhimisho ya siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa iliyofanyika katika bustani ya Mnazi mmoja jijini Dar es salaam jana. Wengine ni Makamu wa Rais Dkt Mohamed...

 

10 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete kuwa mgeni rasmi TUZO YA JAMII

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya KikweteRais Jakaya Kikwete anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye TUZO YA JAMII itakayofanyika Aprili 13 mwaka huu.
Kwa mujibu wa Afisa Habari wa tuzo hizo Gadiel Urioh, tuzo hizo zitatolewa kwenye ukumbi wa Julius Nyerere Convention Center jijini Dar Es Salaam.
Utaratibu mzima wa upigaji kura umefafanuliwa kwenye video na / ama taarifa kwa vyombo vya habari hapa chini


 

10 years ago

Habarileo

Bilal mgeni rasmi tuzo kwa kampuni bora

Makamu wa Rais, Dk Ghalib BilalMAKAMU wa Rais, Dk Mohamed Gharib Bilal anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika hafla ya kutoa tuzo kwa kampuni bora kwa mwaka 2014.

 

10 years ago

Habarileo

JK mgeni rasmi Siku ya Ualbino

RAIS Jakaya Kikwete anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Siku ya Kimataifa ya Ualbino Duniani, inayotarajiwa kufanyika kwa siku tano kuanzia Juni 9 katika Viwanja vya Shekhe Amri Abeid, Arusha.

 

10 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN KUWA MGENI RASMI UTOAJI TUZO ZA TASWA

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohammed Shein anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika utoaji wa tuzo za Wanamichezo Bora Tanzania Ijumaa wiki hii.
Tuzo hizo zinaandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) na mwaka huu zimedhaminiwa na Selcom Wireless, Said Salim Bakhresa & Co Ltd - Bakhresa Group, IPTL, mifuko ya hifadhi ya jamii, PSPF na NSSF.
TASWA inaishukuru Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa ushirikiano wake na kukubali Rais Dk. Shein...

 

10 years ago

Habarileo

JK mgeni rasmi siku ya albino Arusha

Rais Jakaya KikweteRAIS Jakaya Kikwete anatarajia kuwa mgeni rasmi siku ya Maadhimisho ya Watu Wenye Ulemavu wa Ngozi (Albino) kitaifa, yatakayofanyika Jumamosi wiki hii, jijini Arusha, kwenye uUwanja wa Shekhe Amri Abeid.

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE MGENI RASMI MAADHIMISHO SIKU YA SHERIA

Jaji Mkuu wa Tanzania Mh. Othman Chande (Kulia) akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari kuhusu maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini mwaka 2015. Maadhimisho hayo yanaongozwa na maudhui yasemayo “ Fursa ya kupata haki: wajibu wa Serikali, Mahakama na wadau”. Kushoto ni Mh. Hussein Kattanga, Mtendaji Mkuu wa Mahakama. Msajili Mkuu wa Mahakama, Ignas Kitus (kulia) akizungumza akifafanua jambo wakati Jaji Mkuu wa Tanzania Mh. Othman Chande alipokutana na waandishi wa habari kuzungumzia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani