Nape mgeni rasmi tamasha la Krismasi
WAZIRI wa Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye anatarajiwa kumwakilisha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwenye Tamasha la Krismasi litakalofanyika Desemba 25 kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee ,Dar es Salaam.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMwakalebela mgeni rasmi Tamasha la Krismasi Iringa
Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama Mwakalebela anatarajia pia kuwaongoza waumini mbalimbali mkoani humo kwa lengo la kumtukuza Mungu kupitia waimbaji mbalimbali hapa nchini.
Msama alisema Mwakalebela atafanikisha lengo la kusaidia wenye uhitaji maalum kama Yatima, Wajane na walemavu...
9 years ago
MichuziMaaskofu wafurahishwa Makamu wa Rais kukubali kuwa mgeni rasmi Tamasha la Krismasi
Tamasha hilo linalokwenda sambamba na Shukrani kwa Mungu baada ya uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 25 kwa amani na utulivu, uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Askofu wa Kanisa la KKKT, Dk Alex Malasusa anasema ni jambo jema kumshukuru Mungu...
9 years ago
MichuziWaziri Nape kumwakilisha Makamu wa Rais Samia Suluhu Tamasha la Krismasi
Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama, Makamu huyo wa rais alitarajiwa kuwa mgeni rasmi katika tamasha hilo lakini kutokana na majukumu mengine ya kikazi, hivyo tunaendelea na...
9 years ago
MichuziNape Mgeni Rasmi Tuzo Siku Ya Msanii
Hii ni mara ya pili kwa tuzo za Siku Ya Msanii kufanyika, ambapo mara ya kwanza zilifanyika mwaka jana kwenye ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam.Mwaka huu zitatolewa tuzo nne ikiwa ni nyongeza ya tuzo mbili tofauti za zile za mwaka jana....
9 years ago
Habarileo28 Sep
JK mgeni rasmi Tamasha la Amani
RAIS Jakaya Kikwete amekubali kuwa mgeni rasmi katika Tamasha la Kuombea Amani nchini litakalofanyika kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, Jumapili wiki hii. Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama, Rais Kikwete amekubali kuwa mgeni rasmi siku hiyo katika tamasha la kuombea amani Tanzania kuelekea katika Uchaguzi Mkuu mwezi ujao.
10 years ago
MichuziMEMBE MGENI RASMI TAMASHA LA PASAKA
Mwenyekiti wa Tamasha la Pasaka, Alex Msama akifafanua jambo kwa waandishi wa habari jijini Dar es salaam jana (hawapo pichani) kuhusu maandalizi ya tamasha hilo litakalofanyika Aprili 5, ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe. Kulia ni Mjumbe wa Kamati ya Maandalizi, Jimmy Charles. (Picha na Francis Dande) Msama akifafanua jambo mbele ya waandishi wa habari kuhusu maandalizi ya tamasha hilo.Mjumbe wa Kamati ya Maandalizi ya...
10 years ago
Uhuru NewspaperDk Bilal mgeni rasmi tamasha la MOWE leo
NA EMMANUEL MOHAMED
MAKAMU wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika tamasha la wanawake wajasiriamali mali (MOWE), litakalofanyika leo katika viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es salaam.
Akizungumza na waandishi wa habari jana, Mwenyekiti wa tamasha hilo, Helihaka Mrema, alisema tamasha hilo lina lengo la kuwakutanisha wajasiriamali hao na wadau mbalimbali ili kuboresha ubora wa bidhaa zao kwa lengo la kukidhi haja ya masoko ya ndani na nje.
Helihaka alisema tamasha...
9 years ago
Dewji Blog11 Dec
Makamu wa Rais mgeni rasmi Tamasha la Amani
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake Kinondoni wakati alipomtangaza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. Samia Hassan Suluhu kuwa mgeni rasmi wa Tamasha la Kushukuru kufuatia kufanyika kwa uchaguzi wa amani na utulivu tarehe 25 mwezi Oktoba mwaka huu nchini kote huku nchi ikiendelea kuwa na utulivu na amani ya hali ya juu. Kushoto ni Mratibu Tamasja la Kushukuru masuala ya usalama Bw. Hamisi Pembe
10 years ago
MichuziMH. MEMBE KUWA MGENI RASMI TAMASHA LA PASAKA
Na Mwandishi Wetu
WAZIRI wa Mambo ya Nje na...