MEMBE MGENI RASMI TAMASHA LA PASAKA
Mwenyekiti wa Tamasha la Pasaka, Alex Msama akifafanua jambo kwa waandishi wa habari jijini Dar es salaam jana (hawapo pichani) kuhusu maandalizi ya tamasha hilo litakalofanyika Aprili 5, ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe. Kulia ni Mjumbe wa Kamati ya Maandalizi, Jimmy Charles. (Picha na Francis Dande)
Msama akifafanua jambo mbele ya waandishi wa habari kuhusu maandalizi ya tamasha hilo.
Mjumbe wa Kamati ya Maandalizi ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMH. MEMBE KUWA MGENI RASMI TAMASHA LA PASAKA
Na Mwandishi Wetu
WAZIRI wa Mambo ya Nje na...
11 years ago
Tanzania Daima07 Apr
Nchimbi mgeni rasmi Tamasha la Pasaka Songea
ALIYEKUWA Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Emmanuel Nchimbi, anatarajia kuwa mgeni rasmi katika Tamasha la Pasaka linalotarajia kufanyika Aprili 26 mjini Songea mkoani Ruvuma. Mwenyekiti wa Kamati ya...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-eMYj6Ts8F-0/Uzozc1CjxZI/AAAAAAAFXoA/EfZVwlOWqbs/s72-c/mh-william-ngeleja-waziri-wa-nishati-na-madini-akihutubia-pic-by-baraka-baraka.jpg)
Ngeleja mgeni rasmi tamasha la Pasaka jijini Mwanza
![](http://2.bp.blogspot.com/-eMYj6Ts8F-0/Uzozc1CjxZI/AAAAAAAFXoA/EfZVwlOWqbs/s1600/mh-william-ngeleja-waziri-wa-nishati-na-madini-akihutubia-pic-by-baraka-baraka.jpg)
Mang’era alisema tamasha hilo litakuwa ni la aina yake ambako alitoa wito kwa wakazi wa Kanda ya ziwa kujitokeza kwa wingi katika tamasha...
10 years ago
Michuzi18 May
WAZIRI BERNALD MEMBE KWA MGENI RASMI TAMASHA LA QASWIDA MEI 25
![Q1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/05/Q1.jpg)
10 years ago
Dewji Blog19 May
Waziri Bernard Membe kuwa mgeni rasmi tamasha la Qaswida Mei 25
Jumanne Ali Ligopora Mkurugenzi wa Taasisi ya Ulamaa Qaswida Promotion Centre akizungumza na waandishi wa habari kwenye hoteli ya Traveltine Magomeni jijini Dar es salaam wakati akizungumzia mashindano ya kuimba Qaswida yatakayofanyika kwenye viwanja vya shule ya Sekondari ya Benjamin Mkapa mgeni rasmi akiwa Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh. Bernald Membe.Tamasha hilo litafanyikaMei 25 kuanzia saa saba mchana, Kulia ni Sheikh Muharami Pembe na kushoto ni Ustaadhi...
10 years ago
Tanzania Daima04 Dec
Membe mgeni rasmi mahafali UB
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, Jumamosi ya wiki hii anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mahafali ya pili ya Chuo Kikuu cha Bagamoyo (UB). Kwa...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Y_XzQi5VU2M/VIF4_tSRMQI/AAAAAAABOtM/jC-VFu9ws44/s72-c/membe%2Bvn.jpg)
Membe mgeni rasmi mahafali UB, kufanyika kesho Bagamoyo
![](http://4.bp.blogspot.com/-Y_XzQi5VU2M/VIF4_tSRMQI/AAAAAAABOtM/jC-VFu9ws44/s1600/membe%2Bvn.jpg)
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa vyombo kwa vyombo vya Habari Dar Es Salaam, na Ofisa Habari wa ( UB), Happiness Katabazi, inasema Kuwa Membe ndiye Atakuwa mgeni rasmi Katika mahafali hayo ambayo yatafanyika Katika Hoteli ya Kiromo View Resort kijijini Kiromo Wilayani Bagamoyo,Mkoani Pwani.
Katabazi alisema...
9 years ago
Habarileo28 Sep
JK mgeni rasmi Tamasha la Amani
RAIS Jakaya Kikwete amekubali kuwa mgeni rasmi katika Tamasha la Kuombea Amani nchini litakalofanyika kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, Jumapili wiki hii. Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama, Rais Kikwete amekubali kuwa mgeni rasmi siku hiyo katika tamasha la kuombea amani Tanzania kuelekea katika Uchaguzi Mkuu mwezi ujao.