WAZIRI BERNALD MEMBE KWA MGENI RASMI TAMASHA LA QASWIDA MEI 25
Jumanne Ali Ligopora Mkurugenzi wa Taasisi ya Ulamaa Qaswida Promotion Centre akizungumza na waandishi wa habari kwenye hoteli ya Traveltine Magomeni jijini Dar es salaam wakati akizungumzia mashindano ya kuimba Qaswida yatakayofanyika kwenye viwanja vya shule ya Sekondari ya Benjamin Mkapa,ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh. Bernald Membe.Tamasha hilo litafanyikaMei 25 kuanzia saa saba mchana, Kulia ni Sheikh Muharami Pembe na kushoto...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog19 May
Waziri Bernard Membe kuwa mgeni rasmi tamasha la Qaswida Mei 25
Jumanne Ali Ligopora Mkurugenzi wa Taasisi ya Ulamaa Qaswida Promotion Centre akizungumza na waandishi wa habari kwenye hoteli ya Traveltine Magomeni jijini Dar es salaam wakati akizungumzia mashindano ya kuimba Qaswida yatakayofanyika kwenye viwanja vya shule ya Sekondari ya Benjamin Mkapa mgeni rasmi akiwa Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh. Bernald Membe.Tamasha hilo litafanyikaMei 25 kuanzia saa saba mchana, Kulia ni Sheikh Muharami Pembe na kushoto ni Ustaadhi...
10 years ago
MichuziMEMBE MGENI RASMI TAMASHA LA PASAKA
10 years ago
MichuziMH. MEMBE KUWA MGENI RASMI TAMASHA LA PASAKA
Na Mwandishi Wetu
WAZIRI wa Mambo ya Nje na...
10 years ago
Michuzi25 Dec
MGENI RASMI WAZIRI MKUU MSTAAFU FREDRICK SUMAYE AWASILI JIJINI MBEYA, TAYARI KWA KUONGOZA TAMASHA LA KRISMAS

10 years ago
Michuzi
TAMASHA LA QASWIDA SASA KUFANYIKA MEI 31 JIJINI DAR


10 years ago
GPL
MGENI RASMI WAZIRI MKUU MSTAAFU FREDRICK SUMAYE AWASILI JIJINI MBEYA, TAYARI KWA KUONGOZA TAMASHA LA KRISMAS
10 years ago
MichuziWAZIRI MEMBE MGENI RASMI MAADHIMISHO YA MIAKA 25 YA UHURU WA NAMIBIA
10 years ago
MichuziWaziri Membe mgeni rasmi kwenye sherehe za kuukaribisha mwaka Mpya waKichina
11 years ago
Michuzi
Wakazi wa Mtwara na Lindi kushuhudia fursa za Utalii na Uchumi kupitia Tamasha la Utamaduni la Mtwara,Waziri mkuu pinda kuwa mgeni rasmi.

Waziri Mkuu Mizengo Pinda.
Tamasha la Mkoa wa Mtwara, ‘Mtwara Festival’, linatarajia kufungua milango ya fursa kwa wakazi wa mikoa ya Mtwara na Lindi katika kuziona fursa kadhaa kwenye sekta ya Utalii na Uchumi.Tamasha hilo linatarajiwa kufanyika kwa siku mbili kuanzia mwezi Agosti 16 na 17 mwaka huu kwenye uwanja wa Nangwanda Sijaona ulipo Mtwara mjini. Mgeni rasmi katika Tamasha hilo anatarajiwa kuwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda huku likiwa na kauli mbiu isemayo ‘Fursa Zimefunguka,...