Waziri Membe mgeni rasmi kwenye sherehe za kuukaribisha mwaka Mpya waKichina
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe (Mb.) akipokelewa kwa furaha na Balozi wa China hapa nchini Mhe. Dkt. Lu Youqing alipowasili katika hafla ya kuukaribisha mwaka mpya wa Kichina. Waziri Membe amemwakilisha Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, kwenye hafla hiyo ilifanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Mhe. Membe pamoja na Balozi Lu Youqing wakiimba wimbo wa Taifa katika Hafla ya kuukaribisha mwaka...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-sVa92OS-k94/VLFG_2SDazI/AAAAAAAG8gQ/YVFHKrwjKM8/s72-c/unnamed%2B(32).jpg)
SHEREHE YA MAOFISA MAGEREZA KUUAGA MWAKA 2014 NA KUUKARIBISHA MWAKA MPYA 2015 YAFANA JIJINI DAR
![](http://1.bp.blogspot.com/-sVa92OS-k94/VLFG_2SDazI/AAAAAAAG8gQ/YVFHKrwjKM8/s1600/unnamed%2B(32).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-dM-T8w4-2tQ/VLFHAHztCMI/AAAAAAAG8gU/V1fA78CRfmY/s1600/unnamed%2B(34).jpg)
10 years ago
VijimamboVIVAZI KWENYE SHEREHE YA KUUKARIBISHA mwaka 2015 YA JUMUIYA YA WATANZANIA DMV
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-EdUq_XkDLEU/VP2Hy4Q7ooI/AAAAAAAHJD0/7RslUvzdURc/s72-c/unnamed%2B(1).jpg)
membe mgeni rasmi katika sherehe za kumkumka Chifu Wanzagi wa Wazanaki kijijini Butiama leo
![](http://4.bp.blogspot.com/-EdUq_XkDLEU/VP2Hy4Q7ooI/AAAAAAAHJD0/7RslUvzdURc/s1600/unnamed%2B(1).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-MuOKhHJSssY/VP2HXs5EdOI/AAAAAAAHJDs/zNLrAzn3rYw/s1600/unnamed.jpg)
10 years ago
MichuziWAZIRI MEMBE MGENI RASMI MAADHIMISHO YA MIAKA 25 YA UHURU WA NAMIBIA
10 years ago
Michuzi18 May
WAZIRI BERNALD MEMBE KWA MGENI RASMI TAMASHA LA QASWIDA MEI 25
![Q1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/05/Q1.jpg)
10 years ago
Dewji Blog19 May
Waziri Bernard Membe kuwa mgeni rasmi tamasha la Qaswida Mei 25
Jumanne Ali Ligopora Mkurugenzi wa Taasisi ya Ulamaa Qaswida Promotion Centre akizungumza na waandishi wa habari kwenye hoteli ya Traveltine Magomeni jijini Dar es salaam wakati akizungumzia mashindano ya kuimba Qaswida yatakayofanyika kwenye viwanja vya shule ya Sekondari ya Benjamin Mkapa mgeni rasmi akiwa Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh. Bernald Membe.Tamasha hilo litafanyikaMei 25 kuanzia saa saba mchana, Kulia ni Sheikh Muharami Pembe na kushoto ni Ustaadhi...
9 years ago
Habarileo24 Dec
Magufuli mgeni rasmi mwaka mpya
RAIS John Magufuli anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Mkesha wa kuiombea Amani Tanzania utakaofanyika Desemba 31 katika uwanja wa Taifa. Akizungumza Dar es Salaam jana Mwenyekiti wa Jumuiya ya Makanisa ya Pentekoste (TFC) Godfrey Malassy alisema maandalizi yote yamekamilika ikiwemo kibali kutoka polisi, pamoja washiriki mbalimbali watakaoshiriki katika mkesha huo.
10 years ago
StarTV30 Dec
Dk. Bilal mgeni rasmi mkesha wa mwaka mpya.
Na Grace Semfuko,
Dar Es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta Gharib Bilal anatarajia kuwa mgeni rasmi kwenye Mkesha maalum wa mwaka mpya utakaofanyika Desemba 31 Jijini Dar Es Salaam kwa ajili ya kuliombea Taifa amani na utulivu kwa mwaka ujao wa 2015.
Mkesha huo ulioandaliwa na kamati maalum ya mikesha ya mwaka mpya tayari maandalizi yake yamekamilika ambapo pia utafanyika kwenye mikoa mingine 16 Nchini na wakuu wa mikoa hiyo watakuwa wageni...